Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee hapa issue inayoongelewa ni Zitto siyo Msigwa. By the way Mimi siyo Chadema. Soma post yangu aelewe. Ukileta ya Msigwa nitandika yanayomhusu Msigwa. Sasa post inahusu Zitto unataka niseme ya Msigwa au Kitila Mkumbo? Niko specific Mimi.Zitto siyo mpinzani, anatumika na usalama ila Mch Msigwa anaekula meza moja na jiwr na kuhudhuria vikao vyote vya juu vya CHADEMA tunamwamini.
Chadema sijui mnavuta mavi ya popo, aisee
Hivi Zitto kutoka CHADEMA alitoka kununuliwa, alihama mwenyewe au alifukuzwa?Kwani akiyekuambia Zitto ni mpinzani kwa sasa ni nani? Bei ilitimia kumtoa Chadema na kumleta kwetu. Yuko kwenye umbrella zenu anatekeleza majukumu yake.
Kupeleka shauri mahakamani ilikuwa ni kuficha ukweli au niseme uhalisia . Kufukuzwa ni matokeo ya mipango ilivuja. Kundi lake na Kitila na Habibu Mchange umelisahau? Hivyo ufahamu kila chama cha Siasa kina mikakati yake na CCM tuko vizuri kwa hilo. Chama DumeHivi Zitto kutoka CHADEMA alitoka kununuliwa, alihama mwenyewe au alifukuzwa?
Si alipeleka shauri mahakamani kabisa kupinga kufukuzwa uanachama CHADEMA?
Chenge hakushindwa kura za maoni ...AliongozaChenge umri apumzike sasa, na inawezekana aliwasiliana na mwenyekiti wake akamwambia kuhusu hilo,kushindwa kura za maoni tu kwa mtu mzito kama yule hakuwezi kuwa ndio sababu, angechomekwa tu kama angetaka.