Zitto Kabwe: Nitashangaa sana tukishindwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 dhidi ya Orca Energy

Na nilazima tutashindwa tu.Maana Kwa Sasa wameona tz ni shamba la bibi.
 
Wanasheria wenyewe ndio wale wale waimba mapambio alafu utegemee watafanya nini kwenye mahakama za kimataifa 🤔 bado hapo lazima kutakua na waswahili wanasubiria mgao wao kwenye hiyo pesa 🙆🏿‍♂️ alafu unaenda mahakamani unakutana na pro mruma 😄😄
 
Kupitia Ukurasa wake wa X (Twitter) Kiongozi wa Chama Mstaafu kutoka ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameandika "Nitashangaa sana kushindwa hii kesi. Kampuni ya PAET, mtoto wa ORCA, alipokuja nchini mwaka 2001 alikuta tuna gesi imeshavumbuliwa. Hawakuwekeza hata senti tano nyekundu kutafuta Gesi Asilia kule Songosongo.

Fedha yote iliyowekwa kujenga mitambo ya kunyonya gesi na kujenga bomba kuja Dar es Salaam ilikuwa ni mkopo wa Benki ya Dunia kwa Tanzania. Hawakuweka mtaji hata thumni. Mradi mzima ulikuwa debt financed. Hapakuwa na equity.

Walipewa mpaka mwaka 2026 watukabidhi tuendeshe wenyewe au tutafute mwekezaji mwengine au tuwaongezee muda. Wamekuwa waki lobby tuongeze muda ( na kuna hoja kwenye hili ingawa sio kwa mikataba kama hii ya mwaka 2021).

Sasa wameamua kutushitaki kututisha ( blackmailing). Ofisi ya AG inapaswa kupata wanasheria wabobezi kutoka pia nje ya Serikali na kuunganisha nguvu na wana harakati kama ilivyokuwa kwa kesi ya City Water. Tutawashinda"
View attachment 3066326
Nitashangaa sana "TUKISHINDA".
 
Hizi, Mambo huwa hazitokei hivi hivi, kuna watu insiders , inside threats wapo ndani ya ofisi ya AG, wizara ya nishati, wanakula pamoja na Hao wazungu,
Kama wanasheria wetu ndio wale kina profesa mruma, na, wale wadada waliokuwa wanaonwkana kama wameenda kwenye kitchen party, lazima tutapigwa tu,
Serikali, ya ccm imejaa vilaza, watupu
 
Back
Top Bottom