Zitto Kabwe: Nitashangaa sana tukishindwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 dhidi ya Orca Energy

Na nilazima tutashindwa tu.Maana Kwa Sasa wameona tz ni shamba la bibi.
 
Wanasheria wenyewe ndio wale wale waimba mapambio alafu utegemee watafanya nini kwenye mahakama za kimataifa πŸ€” bado hapo lazima kutakua na waswahili wanasubiria mgao wao kwenye hiyo pesa πŸ™†πŸΏβ€β™‚οΈ alafu unaenda mahakamani unakutana na pro mruma πŸ˜„πŸ˜„
 
Nitashangaa sana "TUKISHINDA".
 
Hizi, Mambo huwa hazitokei hivi hivi, kuna watu insiders , inside threats wapo ndani ya ofisi ya AG, wizara ya nishati, wanakula pamoja na Hao wazungu,
Kama wanasheria wetu ndio wale kina profesa mruma, na, wale wadada waliokuwa wanaonwkana kama wameenda kwenye kitchen party, lazima tutapigwa tu,
Serikali, ya ccm imejaa vilaza, watupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…