Wewe huuoni huo upumbavu wa kuteka watoto wadogo kuwauliza habari za Zitto, Sarungi na Karume?Hahaha utoto pure, attention seeking!
Wewe huuoni huo upumbavu wa kuteka watoto wadogo kuwauliza habari za Zitto, Sarungi na Karume?
Hawa watu ni wajinga au anaye watuma ndio mjinga?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii serikali ya waoga kama ile ya Mobutu
Soon atakuwa kwenye mikono salama asitutishe na uchawi wake uchawi haujawahi kumsaidi MTU
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hamuwezi kunyamazisha wa Tz 50 milioni acheni akili za kifashist.Yajayo yanafurahisha, serikali inachekesha na vyovyote vile, mjipange, hawajakurupuka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo habari za kukamata watu na kuwahoji kuhusu zitto ni maigizo tu yanayolenga kumoa zitto Fire Cover ionekana eti na yeye anatafutwaMh Zitto, tunakupongeza na kukutia moyo kwa kuwa this much daring dhidi ya watesi wa raia wasio na hatia yoyote.
Mungu atatenda at some point am sure!
Hv hakuna mwanaume alowah kutekwa akatoa kisago heavy!hao watekaji si wanajulikana tayari?unalivizia linatoka bar!unakesha nalo ukilipa "miazabu" tu!dadeq!
Kwahiyo watu kukamatwa nakupewa kesi za uhujumu uchumi ni fire cover?.Kisa Zitto eti.Hizo habari za kukamata watu na kuwahiji kuhusu zitto ni maigizo tu yanayolenga kumoa zitto Fire Cover ionekana eti na yeye anatafutwa
Asijifu vyombo havijapata ushahidi tu wa kumuunganisha na kosa maneno hayo NI kwasababu hawajapata ushahidi na wanayoyatafuta kwakeHii serikali ya waoga kama ile ya Mobutu
Anamakesi kibao atafugwa soonAsijifu vyombo havijapata ushahidi tu wa kumuunganisha na kosa maneno hayo NI kwasababu hawajapata ushahidi na wanayoyatafuta kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
Na siku ya Christmas kuna mtu ataenda kushiriki ekaristi takatifu huku akijua yeye ni sadist.