Zitto Kabwe: Njooni mnikamate mimi mnihoji, mnaogopa nini? Wacheni kuwaonea Watanzania wengine kwa ajili yangu

Zitto Kabwe: Njooni mnikamate mimi mnihoji, mnaogopa nini? Wacheni kuwaonea Watanzania wengine kwa ajili yangu

hapo nimeona majina makubwa 2..Maria Sarungi na Fatuma Karume na Zitto

ikiwa na maana Zitto yuko kwenye safe zone...hakamatiki

lakini lolote linaweza kutokea kwake...inatafutwa link... au linkage

asishangae...awape posho mzuri waganga wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni udhaifu uliopitiliza wa serikali.

Ni ishara ya unyonge,hofu,ghiriba na uhalifu.

Inashangaza sana serikali kufanya uhalifu dhidi ya raia wake.

Rais kama mkuu wa nchi anapashwa kukemea haya mara moja.

Viongozi pia waliokabidhiwa majukumu wanapashwa kutoka hadharani na kusemea haya mambo.

Hizi ni tabia mbaya kabisa kwa nchi hii tunayojivunia upendo,amani na mshikamano tukichagizwa na uzalendo kuendekeza huu uzandiki.

Mungu utazame watu wako,maana wewe ndiye mlinzi pekee usiyeshindwa.

Mungu wewe ndiye mwenye haki na mtoa haki ya kweli.

Sisi tunaokuamini na wasiokuamini tunajikabidhi kwako utupiganie dhidi ya wote wanaotutendea udhalimu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku watanzania wataposema inatosha kunyanyasika, sidhani kama Meko atafurahia vile viyoyozi vya pale nyumba nyeupe.
Atatamani ardhi ipasuke ajizike kama ilivyokuwa kwa dikteta mwenzie Hosny Mubarak.
Soon atakuwa kwenye mikono salama asitutishe na uchawi wake uchawi haujawahi kumsaidi MTU



USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Zitto, tunakupongeza na kukutia moyo kwa kuwa this much daring dhidi ya watesi wa raia wasio na hatia yoyote.

Mungu atatenda at some point am sure!


Hizo habari za kukamata watu na kuwahoji kuhusu zitto ni maigizo tu yanayolenga kumoa zitto Fire Cover ionekana eti na yeye anatafutwa
 
Back
Top Bottom