Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Wamemchinjia baharini siasa hizi kweli hazina muamana usisahau kumpigia kura yako mh Magufuli maana yeye anatufufaa hawa wengine ni janja janjaKimenukaaaaa, mwamba ameshapita.. Mwanamayu akachunge ng'ombe sasa.
Nakuamulia mimi na wanachama wenzangu wa chama cha mapinduzi pamoja na watz kwa ujumla! Nyie bavicha endeleeni kumshsrehesha huyo kibaraka wenu wa Amsterdam.Wewe pimbi unatuamulia kama nani wakati kura bado
Wewe pimbi unatuamulia kama nani wakati kura bado
Shikilia hivyo hivyo hiyo kabali huo mwamba usigeuke laiti akigeuka utashuhudia Moto mweusi...Kimenukaaaaa, mwamba ameshapita.. Mwanamayu akachunge ng'ombe sasa.
Anawafaaa watu wa Chato tu. Magufuli ni Mbinafsi, mbaguzi wa kidini, kikanda, kichama na kikabila.Wamemchinjia baharini siasa hizi kweli hazina muamana usisahau kumpigia kura yako mh magufuli maana yeye anatufufaa hawa wengine ni janja janja View attachment 1577547
Wanachama wenzako ni kina nani usitusemee hatujakutuma humu kutusemeaNakuamulia mimi na wanachama wenzangu wa chama cha mapinduzi pamoja na watz kwa ujumla! Nyie bavicha endeleeni kumshsrehesha huyo kibaraka wenu wa Amsterdam.
Mbobezi hawezi kukubali kirahisi hivyo.Tayari bundi ametua huko upinzani, vipi kujusu membe yeye si alichukua fomu ya kugombea uraisi kupitia ACT wazalendo sasa huyu watakae muunga mkono tofauti na membe ni nani, kwaiyo uwekezaji wa membe kwa ACT ni bure kabisa au ndio wameamua kumchinjia baharini
Picha hii na vedio ya leo nimecheka mpaka wanangu wananishangaa ,hii ndo ilitakiwa kuwa kwenye mabango nchi nzima ,jpm Leo katoa mpya ,Wamemchinjia baharini siasa hizi kweli hazina muamana usisahau kumpigia kura yako mh magufuli maana yeye anatufufaa hawa wengine ni janja janja View attachment 1577547
Hatoki kwenye boksi ,ikulu asahauhatoki kweli,kwani unadhani anatoka!!!!
bado yupo sana hapo ikulu.