Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

Ukiona uzi umevamiwa na CCM na wanaponda sana ujue kisu kimeingia kwenye mfupa wanaumia sana.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukiona uzi umevamiwa na CCM na wanaponda sana ujue kisu kimeingia kwenye mfupa wanaumia sana.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂 poleni sana yani uchaguzi huu magufuli atagalagaza yule kilema kwa kura nyingi sana tena za kishindo alafu mumtafutie kazi ya kufanya baada ya uchaguzi asije kua ombaomba
 
Tayari bundi ametua huko upinzani, vipi kujusu membe yeye si alichukua fomu ya kugombea uraisi kupitia ACT wazalendo sasa huyu watakae muunga mkono tofauti na membe ni nani, kwaiyo uwekezaji wa membe kwa ACT ni bure kabisa au ndio wameamua kumchinjia baharini

..subiri October 3.

..inawezekana Tundu Lissu ndio atakayechinjiwa baharini.

..it is still 50/50.
 
Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo , Zitto Kabwe amesema vyama vya upinzani nchini vimekubaliana kumuunga mkono Mgombea mmoja wa Urais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania na pia, kwa upande wa Zanzibar.

Zitto ameongeza kuwa Oktoba 3, 2020 watatangaza ni nani hasa atasimama kama Mgombea Urais katika mkutano wa hadhara utakaohusisa CHADEMA, ACT Wazalendo na vyama vingine vya upinzani.

Amesema ACT-Wazalendo wameshajadiliana na wameshawasilisha mapendekezo yao kwa CHADEMA na baada ya pande zote kukamilisha mazungumzo watatangaza makubaliano yatakayofikiwa.
Hayo ndiyo maneno
 
[emoji23][emoji23][emoji23] poleni sana yani uchaguzi huu magufuli atagalagaza yule kilema kwa kura nyingi sana tena za kishindo alafu mumtafutie kazi ya kufanya baada ya uchaguzi asije kua ombaomba
Hizo kejeli za kumwita mwingine kilema utaziacha tu ngoja uumie au ndugu wa karibu apate na ajali ,hiyo sasa hivi ni kiburi ya uzima inakusumbua
 
Hizo kejeli za kumwita mwingine kilema utaziacha tu ngoja uumie au ndugu wa karibu apate na ajali ,hiyo sasa hivi ni kiburi ya uzima inakusumbua
🤣🤣 Mkuki kwa nguruwe sio, jamaa alidhulumu watu ndio maana wakaamua kumshughulikia sema kwakuwa mshkaji mwanasiasa ameamua kuisingizia serikali kwaiyo kile kilema amejitakia
 
[emoji1787][emoji1787] mkuki kwa nguruwe sio, jamaa alidhulumu watu ndio maana wakaamua kumshughulikia sema kwakuwa mshkaji mwanasiasa ameamua kuisingizia serikali kwaiyo kile kilema amejitakia
Mwaka huu mtapoteana mmebaki kuropoka ,kazi mnayo labda awe chief wa wasukuma siyo urais
 
Back
Top Bottom