Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

NEC wametoa statement kuwatisha Act-wazalendo.
 
Membe alidanganywa na maneno ya mitandaoni eti kachero!

Yani Membe alivimba kichwa akajiona kabisa yeye ni mkubwa kuliko tz
 
Hakuna 50/50 ipo wazi kabisa magufuli anashinda kwa kishindo kikali sana

..Nazungumzia nani atasimamishwa kati ya Membe, na Lissu.

..tuwe na subiri mpaka Oct 3, wagombea wote hao wana nafasi sawa..
 
Membe alidanganywa na maneno ya mitandaoni eti kachero!

Yani Membe alivimba kichwa akajiona kabisa yeye ni mkubwa kuliko tz
Mitandao sio ya kuamini kilicho mkuta Mange kimemkuta Membe na kinaenda kumkuta Lisu
 
Tayari bundi ametua huko upinzani, vipi kujusu membe yeye si alichukua fomu ya kugombea uraisi kupitia ACT wazalendo sasa huyu watakae muunga mkono tofauti na membe ni nani, kwaiyo uwekezaji wa membe kwa ACT ni bure kabisa au ndio wameamua kumchinjia baharini

Membe sio mpinzani, ni bosheni la ccm. Bahati nzuri wapinzani wameshamstukia. Kosa la Lowassa safari hii tumegoma kulirudia.
 
Membe sio mpinzani, ni bosheni la ccm. Bahati nzuri wapinzani wameshamstukia. Kosa la Lowassa safari hii tumegoma kulirudia.
Mkuu ukisikia Membe ana muunga mkono Lisu atakuwa bado siyo mpinzani?
 
Tayari bundi ametua huko upinzani, vipi kujusu membe yeye si alichukua fomu ya kugombea uraisi kupitia ACT wazalendo sasa huyu watakae muunga mkono tofauti na membe ni nani, kwaiyo uwekezaji wa membe kwa ACT ni bure kabisa au ndio wameamua kumchinjia baharini
Mtakoma mwaka huu. Kila mti mkishika unateleza tu. Kwahiyo sasa hivi mataga mnataka Membe aendelee? Watu wana jambo lao Oktoba 28. Nyie tulieni muwe watazamaji.
 
Huyu membe ni mlafi wa madaraka hafai kabisa
hapo lazima tuu atakuwa anataka umakamu wa rais badala ya S.mwalimu
 
Yan hapa ndo HUWA nasema kuwa CCM HUWA inamipango na mikakati madhubuti dhidi ya wapinzani wake Sasa Kama lissu na membe walichukua fomu kule tume ya uchaguzi Sasa huo muungano vepee pia ielewekee kila mmoja Ana watu wake binafsi achilia mbali wapenzi wa vyama vyao binafsi kiufupi CCM tayari njia nyeupe japo kiuhalisia tunajua hakuna chama Cha kuitoa CCM madarakani
 
Back
Top Bottom