Duh....aisee...self defeating opinion..kumtukana mwenzio bila hoja...wewe ni Nani kusema CCM itashindwa?! Yeye ametoa maoni yake kwa hiyo huna mamlaka ya kumtaka afikiri Kama wewe kwamba CCM haitashinda...halafu ukisema watanzania tumechoka kunyanyasika katika nchi yetu ni uongo.Una mahaba ya kipumbavu kweli wewe kubwa jinga. Kwani wewe ni nani nchi hii mpaka useme kuishinda ccm ni mwiko? Wewe si una kura moja tu? Lolote linaweza kutokea. Watanzania tumechoka na kunyanyasika kwenye nchi yetu. Tunataka uhuru na haki.
pengine umechoka wewe na wenzio wachache kwa mnachoona mnanyanyaswa...lakini wako Watanzania wengi kwa mamilioni ambao wataipa kura CCM na hwajaichoka CCM...matusi mnayotumia mitandaoni hayawezi kuwazuia watu wasiipigie kura CCM...Kati ya wapiga kura milioni 29 CCM itapata kura zaidi ya milioni 25 Kama wote watapiga kura.
wapinzani ukiwemo wewe mtagawana hizo milioni 4....hata Askari wa Marekani na Ubelgiji wakija kulinda kura CCM itashinda kwa kishindo...huu ndio ukweli mchungu kwenu ninyi wapenda mabeberu...Watanzania hawawezi kufanya kosa kuwapa ridhaa ya kuongoza nchi watu wa upinzani mnaotaka kuleta utawala wa majimbo Tanzania na hivyo kuigawa nchi...nasubiri matusi kutoka kwako na wenzio wa aina yako...