Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

Uchaguzi 2020 Zitto Kabwe: Oktoba 3 tutatangaza Mgombea wa Urais atakayewakilisha Upinzani

Tayari bundi ametua huko upinzani, vipi kujusu membe yeye si alichukua fomu ya kugombea uraisi kupitia ACT wazalendo sasa huyu watakae muunga mkono tofauti na membe ni nani, kwaiyo uwekezaji wa membe kwa ACT ni bure kabisa au ndio wameamua kumchinjia baharini
Membe ni mwanamkakati mzuri anawazubaisha ccm,, na ndio kapewa kazi ya kutibua uhuni wa maDED
 
Tayari bundi ametua huko upinzani, vipi kujusu membe yeye si alichukua fomu ya kugombea uraisi kupitia ACT wazalendo sasa huyu watakae muunga mkono tofauti na membe ni nani, kwaiyo uwekezaji wa membe kwa ACT ni bure kabisa au ndio wameamua kumchinjia baharini
Na pesa ya TUME kwa kila chama chenye mgombea wa urais inakuaje hapo
 
Membe amepata anachostahili, baada ya kujiunga na chama ambacho kingempa control, kama nccr, cuf ya Lipumba nk.., akaenda kujiunga chama chenye mafahali wawili waliokwisha kugawana mamlaka na sehemu za kutawala, akategemea atawazidi akili. Apana wamemfanya chambo, wamemtumia na sasa wakati wa kumbwaga ushafika.

Uhaini huu unefanywa kwa ushorimiano wa chadema na ACT, wamepatana iwapo Lissu atachinda nafasi 2 za uwaziri muhimu na 4 za kawaida watapewa ACT, na ukuu wa mikoa 6, pamoja na mgawanyo wa sehemu nyingine nyeti.

Membe umuhimu wake umeshakwisha
 
..subiri October 3.

..inawezekana Tundu Lissu ndio atakayechinjiwa baharini.

..it is still 50/50.
Mbona wamechelewa, 2015 nyakati hizi tunamgombea wa UKAWA anaunguruma. Sasa kwa siku 24 kweli, upinzani wanafanya majaribio uongozi.
 
Tayari bundi ametua huko upinzani, vipi kujusu membe yeye si alichukua fomu ya kugombea uraisi kupitia ACT wazalendo sasa huyu watakae muunga mkono tofauti na membe ni nani, kwaiyo uwekezaji wa membe kwa ACT ni bure kabisa au ndio wameamua kumchinjia baharini
Haya yanatokea duniani kote tuache ushamba
 
Mkuu ukisikia Membe ana muunga mkono Lisu atakuwa bado siyo mpinzani?

Acha tu kumuunga mkono Lissu, hata angeenda kuishi nyumbani kwa Lisu, bado Membe sio mpinzani bali ni bosheni la ccm. Hata sasa kujiunga na cdm baada ya kuona hana mvuto wowote. Hata Lowassa 2015 angejichanganya kwenda chama kingine nje ya cdm, angepata kura 10 za familia yake. Nimeshukuru sana cdm hawakuungana na Membe mapema, vinginevyo huu umati wa sasa wa Lisu ingesemekana ni kwakuwa Membe kajiunga na CHADEMA.

Tena CHADEMA wanatakiwa watunge sheria kuwa ili ugombee urais ndani ya cdm, unatakiwa uwe umekaa cdm zaidi ya miaka 7, na upinzani wako usiache shaka. Hatutaki muhuni yoyote toka ccm kuja kutunajisia chama.
 
Mtakoma mwaka huu. Kila mti mkishika unateleza tu. Kwahiyo sasa hivi mataga mnataka Membe aendelee? Watu wana jambo lao Oktoba 28. Nyie tulieni muwe watazamaji.
Sasa Membe ana nini kipya?

Katimuliwa ccm bila huruma alafu aje aogopwe leo?

Yani ccm iogope mtu ambae akiitisha mkutano hawaendi watu hata 100?
 
Kimenukaaaaa, mwamba ameshapita.. Mwanamayu akachunge ng'ombe sasa.
Ha ha ha, akili za design hizi. Walishaungana, 2015 wakapigwa knockout. Ukawa uliwapa wabunge 70,safari hii mwaona maji yanazidi unga mtapata 10 tu, huku yule mmoja wa kigoma akiwa mtazamaji.
 
Porojo tu!

Rais ni JPM hizi nyingine ni sarakasi za watoto

IMG_20200922_173958.jpg
 
Uchaguzi 2020 - Ukweli Mchungu: CCM is too complicated kwa Vyama vyetu vya Upinzani

ACT Imekufa kabla ya uchaguzi kuisha

Hili game ni la CCM na Chadema kwa Mbali

Ukitoa jimbo la Zitto ni Jimbo gani chadema watawaachia ACT. Ila Hivi vyama vya upinzani, ukiwauliza akina Abdul Nondo mambo ya msingi wanaleta ujuaji mwingi kumbe akili sifuri

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuachiana kwenyewe ni mmoja kuacha kupiga kampeni maana oktoba majina yote yatakuwepo kwenyw form!

Wapinzani huwa wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe kama kitimoto vile
 
Uchaguzi 2020 - Ukweli Mchungu: CCM is too complicated kwa Vyama vyetu vya Upinzani

ACT Imekufa kabla ya uchaguzi kuisha

Hili game ni la CCM na Chadema kwa Mbali

Ukitoa jimbo la Zitto ni Jimbo gani chadema watawaachia ACT. Ila Hivi vyama vya upinzani, ukiwauliza akina Abdul Nondo mambo ya msingi wanaleta ujuaji mwingi kumbe akili sifuri

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Halafu hawajui kwa kumtoa MEMBE ni kuiongezea CCM kura, kwa sababu maswahiba wa Membe wa CCM waliotaka kumpigia basi wataamua kuipigia CCM.
 
Acha tu kumuunga mkono Lisu, hata angeenda kuishi nyumbani kwa Lisu, bado Membe sio mpinzani bali ni bosheni la ccm. Hata sasa kujiunga na cdm baada ya kuona hana mvuto wowote. Hata Lowassa 2015 angejichanganya kwenda chama kingine nje ya cdm, angepata kura 10 za familia yake. Nimeshukuru sana cdm hawakuungana na Membe mapema, vinginevyo huu umati wa sasa wa Lisu ingesemekana ni kwakuwa Membe kajiunga na cdm.

Tena cdm wanatakiwa watunge sheria kuwa ili ugombee urais ndani ya cdm, unatakiwa uwe umekaa cdm zaidi ya miaka 7, na upinzani wako usiache shaka. Hatutaki muhuni yoyote toka ccm kuja kutunajisia chama.
Kwahiyo Membe akianza kukaa meza moja na Lisu kwenye kampeni utamuonaje Membe na chadema kwa ujumla?
 
Membe sio mpinzani, ni bosheni la ccm. Bahati nzuri wapinzani wameshamstukia. Kosa la Lowassa safari hii tumegoma kulirudia.
Hivi Ukawa au chadema waliwahi kukiri kuwa walikosea kwa Lowassa?
 
Back
Top Bottom