Zitto Kabwe pandikizi la Ccm linalotumika kuua upinzani, mwaka 2014 alitumika kuhujumu CHADEMA iliyokuwa karibu kukamata dola.

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Wakati ule Dk Slaa alikuwa vizuri na sisi tulikubalika na ilikuwa lazima tukate Dola maana Ccm ilikuwa haikubaliki kabisa.

Kwa namna ya njaa ya siasa yake Zitto alitumika na Ccm kuivuruga Chadema ili CCM izidi kukamata dola.

My Take: Huyu mnafiki anapaswa kupigwa mawe hadharani. Kibaraka wa Ccm.
 
Chadmea amkane mumelala usingizi wa pono kabisa Tundulisu anakuongozeni kupitia twitter na youtube siasa za kishamba kabisa nchi kama Tanzania mwananchi aliye kijijini youtube na twitter ataipataje?
 
Siku za hedhi zitawapata wajauzito!!!
 
Kama kweli Zitto Kabwe mmoja ameweza kuzima ndoto za taasisi kubwa kama Chedema kuingia Ikulu basi huyu Zitto ni mwamba.

Chadema na mabingwa wote wale wa siasa washindwe kufikia malengo yao kwa sababu ya Zitto !
Basi mpe heshima yake
 
Leta file hapa siyo povu vinginevyo wewe ni mpuuzi uliyelishwa matango pori
 
Zitto KABWE mnafiki sana ndio maana Chadema Walimfukuza
 
We nia Yako ni kuchonganisha cdm na act unaifanyia kaxi ccm

Wasioelewa wataingia kichaa kichwa
Cdm na act ni vyama marafiki na vinashirikiana kutofautina mbinu sio dhambi
 

Ww boya unayejifanya CDM unadhani utatupoteza maboya. Hayo mambo yako ya ACT na CCM kajadilianeni huko huko kwenye vikao vyenu vya gizani. Zito tunamjua na hatusubiri kuambiwa na we mnafiki wa CCM unayeigiza kuwa ni mwanacdm.
 


Kibaraka gani wa CCM anayetaka na kupigania Mbowe aachiliwe huru??!!
 
Chadmea amkane mumelala usingizi wa pono kabisa Tundulisu anakuongozeni kupitia twitter na youtube siasa za kishamba kabisa nchi kama Tanzania mwananchi aliye kijijini youtube na twitter ataipataje?
Siasa za maana ni kuwatumia TISS na Polisi kuwa sanduku la kura. Siasa safi ni kuwaamuru Wakurugenzi wakimbie fomu za wapinzani, siasa safi ni kuanzisha sera ya kupita bila kupingwa, kabla ya uchaguzi tayari una wabunge 80 wa kupita bila kupingwa! Hizo ndio siasa safi!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ww boya unayejifanya CDM unadhani utatupoteza maboya. Hayo mambo yako ya ACT na CCM kajadilianeni huko huko kwenye vikao vyenu vya gizani. Zito tunamjua na hatusubiri kuambiwa na we mnafiki wa CCM unayeigiza kuwa ni mwanacdm.
Pumbavu mkubwa
 
Dola karibu zote za kiafrika ndivyo zilivyo mnatakiwa kuja na mbinu mbadala siyo kubaki na mifumo ya kizamani, kiongozi wa upinzani yuko nje anaandika tu kwa twitter itasaidia nini? Mbona maalim seif hakukimbia zanzibar? Basigye Uganda, Bobi Wine

Wanachama wenu milioni 8 muliosema mumewapa kadi wako wapi? Zitto anaweza kujenga upinzani imara zaidi mukilegea nyinyi mna theory za kizamani kabisa.,
 
Kwa hali ilivyo ni wazi sasa chadema mnauogopa zitto na ACT kwa kumshambulia kutwa kuchwa ili mjaribu kupunguza makali yake kwa kua mmebaini uwepo wake ni hatari kwa chama chenu ila naona kama mnajiharibia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…