Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la Omwami Ruyagwa anapenda sana kutumia fursa hata kama ni kuwakana ndugu zake.Kama Seif kafia ACT basi hiyo pia inaweza kuwa blessing kwa Zitto.
Umejibu baada ya kuelewa nimeandika nini?Wewe jamaa ni wa hovyo sana. Kwani Zitto amesema mahali popote kuhusu yeye kuwa mfalme wa Pemba. Think before you write. Maalim alijiunga na ACT baada ya kuona kwamba ndio chama chenye watu wenye akili. Hayo mengine unayoyasema ni ya akili yako ya kipumbavu.
CUF IPI TENA MKUU MANAKE KAMA NI ILE YA LIPUMBA ILISHAGA KUFAKwani CUF wanasemaje kuhusu ili
Kwani Chadema ipo?
Haupo peke yako mkuu tuko wengi,kuna vitu unaviona tu kabisa viko wazi.hivi ni mimi tu ninayehisi maalim seif alikua double agent all along.... mzee wa systemo kutuliza munkari za wapemba
We jamaaa huwa kila ukipost humu Jf ni kulalamika kuhusu wizi wa kura za kwenye mabeg. Hivi uligombea wapi? Ulipoteza sh ngapi?Ukiacha kiburi cha madaraka ya urais yanayobeba chama kiitwacho ccm, nionyeshe ccm yenye ushawishi wa kisiasa kwa wananchi. Rejea ushindi wa kura za kwenye mabeg wa CCM uchaguzi uliopita.
We jamaaa huwa kila ukipost humu Jf ni kulalamika kuhusu wizi wa kura za kwenye mabeg. Hivi uligombea wapi? Ulipoteza sh ngapi?
Mbona Mdee hakufungua kesi?
Ushawishi wa Ccm hauouoni? Maana ndio imeshika dola.
Hizi mahakama ambazo miaka yote zimeshughulikia uchaguzi leo hii hazifai?Unadhani nalalamika basi, hapa naweza rekodi sawa. Sijawahi kugombea popote na wala sitegemei. Mdee afungue kesi kwa mahakama gani labda? Ccm ingekuwa na ushawishi tusingeona mwenyekiti wake akitumia kundi la watu wasiojulikana, na kunajisi uchaguzi. Kwahiyo huna namna bali itabidi uishi kwa kusikia ukweli usiopenda.
Hizi mahakama amabazo miaka yote zimeshughulikia uchaguzi leo hii hazifai?
Hizo tuhuma zingine ni maneno ya kushindwa.
Pole sana, maana Halima yupo tuli mjengoni. Wewe unaumia moyoni.
.Tulia [emoji867][emoji867][emoji867]