Zitto Kabwe, Pemba sio Kigoma

Zitto Kabwe, Pemba sio Kigoma

Hivi ni mimi tu ninayehisi Maalim Seif alikua double agent all along.... mzee wa systemo kutuliza munkari za wapemba
 
Wewe jamaa ni wa hovyo sana. Kwani Zitto amesema mahali popote kuhusu yeye kuwa mfalme wa Pemba. Think before you write. Maalim alijiunga na ACT baada ya kuona kwamba ndio chama chenye watu wenye akili. Hayo mengine unayoyasema ni ya akili yako ya kipumbavu.
 
Umejibu baada ya kuelewa nimeandika nini?
 
Zitto ana akili sana,Waliopata kunsikiliza jana katika salamu zake juu ya msiba wa Kiongozi wa chama cha Act, Alizungumza mengi hakika kwa vijana walio wengi Zzk ni mfano wa kuigwa.
 
Kwani Chadema ipo?

Ukiacha kiburi cha madaraka ya urais yanayobeba chama kiitwacho ccm, nionyeshe ccm yenye ushawishi wa kisiasa kwa wananchi. Rejea ushindi wa kura za kwenye mabeg wa CCM uchaguzi uliopita.
 
We jamaaa huwa kila ukipost humu Jf ni kulalamika kuhusu wizi wa kura za kwenye mabeg. Hivi uligombea wapi? Ulipoteza sh ngapi?

Mbona Mdee hakufungua kesi?

Ushawishi wa Ccm hauouoni? Maana ndio imeshika dola.
 
Zitto ana akili sana,Waliopata kunsikiliza jana katika salamu zake juu ya msiba wa Kiongozi wa chama cha Act, Alizungumza mengi hakika kwa vijana walio wengi Zzk ni mfano wa kuigwa.
Kumbuka alikuwa anatembea kwa mgongo wa Maalim.
 
Asubuh yote hii unaandika ujingaujinga kanywe chai Kwanza njaa ipungue
 
We jamaaa huwa kila ukipost humu Jf ni kulalamika kuhusu wizi wa kura za kwenye mabeg. Hivi uligombea wapi? Ulipoteza sh ngapi?

Mbona Mdee hakufungua kesi?

Ushawishi wa Ccm hauouoni? Maana ndio imeshika dola.

Unadhani nalalamika basi, hapa naweza rekodi sawa. Sijawahi kugombea popote na wala sitegemei. Mdee afungue kesi kwa mahakama gani labda? Ccm ingekuwa na ushawishi tusingeona mwenyekiti wake akitumia kundi la watu wasiojulikana, na kunajisi uchaguzi. Kwahiyo huna namna bali itabidi uishi kwa kusikia ukweli usiopenda.
 
Hizi mahakama ambazo miaka yote zimeshughulikia uchaguzi leo hii hazifai?
Hizo tuhuma zingine ni maneno ya kushindwa.
 
Hizi mahakama amabazo miaka yote zimeshughulikia uchaguzi leo hii hazifai?
Hizo tuhuma zingine ni maneno ya kushindwa.

Labda kwa kiwango fulani awamu zilizopita hizo mahakama zilijaribu, ila sio kipindi hiki cha mlevi wa madaraka.
 
Tafuta hela ewe fukara wa roho na mwili.......usipende kutumwatumwa....
 
Labda kwa kiwango fulani awamu zilizopita hizo mahakama zilijaribu, ila sio kipindi hiki cha mlevi wa madaraka.
Pole sana, maana Halima yupo tuli mjengoni. Wewe unaumia moyoni.
 
Na mimi nipo tuli huku mtaani naanika ushenzi uliofanyika uchaguzi uliopita, wa maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Tulia [emoji867][emoji867][emoji867]
.
giphy.gif
 
Yaani wapemba ni balaa Jana nilisikia BBC hata huruma zimekata Kwa ajili ya maombolezo
 
Back
Top Bottom