Tulia sindano ikuingie vizuri, waliposema NRNE uliwaona wajingaKiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Akihutubia iku ya Alhamisi Julai 10, 2025 katika Jimbo la Tunduru Kaskazini, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma katika mwendelezo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho, Zitto ameeleza kuwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ACT Wazalendo ilimkamata afisa wa polisi akiwa amepakia kura bandia kwa lengo la kuzisambaza kwenye kituo cha kupigia kura.
"Tunajua CCM wanatumia kura bandia, kura bandia zinapigwa halafu zinaletwa kwenye kituo cha kupigia kura. Isivyo bahati, kule Kigoma tulimkamata Afisa wa Polisi akiwa amepakia kura bandia. Afisa yule alichokipata sidhani kama atarudia jambo lile," amesema Zitto.
Katika kauli hiyo, Zitto amesema chama hicho hakitavumilia tena majaribio yoyote ya kuvuruga uchaguzi kwa mbinu chafu kama hizo.
"Ninataka nitangaze rasmi hapa, na maafisa wa polisi watusikie: hatutajali magwanda yao, hatutajali nyota zao, hatutajali mitutu yao. Polisi atakayebeba kura bandia ni halali yetu," ameongeza kwa msisitizo.
Suala la maafisa wa usalama kuhusishwa na uingizaji wa kura bandia ni mojawapo ya hoja kubwa zilizowasilishwa na ACT Wazalendo katika mashauri kadhaa waliyoyafungua kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, hasa katika baadhi ya maeneo ya Kigoma.
Zitto amesisitiza kuwa Operesheni Majimaji inalenga kulinda demokrasia na kuhakikisha kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 unakuwa huru na wa haki.
Zito hana uwezo huo jamani hebu tusidanganyane mchana kweupe! Yeye asubiri viti vya huruma tu!Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Akihutubia iku ya Alhamisi Julai 10, 2025 katika Jimbo la Tunduru Kaskazini, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma katika mwendelezo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho, Zitto ameeleza kuwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ACT Wazalendo ilimkamata afisa wa polisi akiwa amepakia kura bandia kwa lengo la kuzisambaza kwenye kituo cha kupigia kura.
"Tunajua CCM wanatumia kura bandia, kura bandia zinapigwa halafu zinaletwa kwenye kituo cha kupigia kura. Isivyo bahati, kule Kigoma tulimkamata Afisa wa Polisi akiwa amepakia kura bandia. Afisa yule alichokipata sidhani kama atarudia jambo lile," amesema Zitto.
Katika kauli hiyo, Zitto amesema chama hicho hakitavumilia tena majaribio yoyote ya kuvuruga uchaguzi kwa mbinu chafu kama hizo.
"Ninataka nitangaze rasmi hapa, na maafisa wa polisi watusikie: hatutajali magwanda yao, hatutajali nyota zao, hatutajali mitutu yao. Polisi atakayebeba kura bandia ni halali yetu," ameongeza kwa msisitizo.
Suala la maafisa wa usalama kuhusishwa na uingizaji wa kura bandia ni mojawapo ya hoja kubwa zilizowasilishwa na ACT Wazalendo katika mashauri kadhaa waliyoyafungua kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, hasa katika baadhi ya maeneo ya Kigoma.
Zitto amesisitiza kuwa Operesheni Majimaji inalenga kulinda demokrasia na kuhakikisha kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 unakuwa huru na wa haki.
Huu sasa ni uchochezi, hahaahaa.Yetu macho...Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Akihutubia iku ya Alhamisi Julai 10, 2025 katika Jimbo la Tunduru Kaskazini, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma katika mwendelezo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho, Zitto ameeleza kuwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ACT Wazalendo ilimkamata afisa wa polisi akiwa amepakia kura bandia kwa lengo la kuzisambaza kwenye kituo cha kupigia kura.
"Tunajua CCM wanatumia kura bandia, kura bandia zinapigwa halafu zinaletwa kwenye kituo cha kupigia kura. Isivyo bahati, kule Kigoma tulimkamata Afisa wa Polisi akiwa amepakia kura bandia. Afisa yule alichokipata sidhani kama atarudia jambo lile," amesema Zitto.
Katika kauli hiyo, Zitto amesema chama hicho hakitavumilia tena majaribio yoyote ya kuvuruga uchaguzi kwa mbinu chafu kama hizo.
"Ninataka nitangaze rasmi hapa, na maafisa wa polisi watusikie: hatutajali magwanda yao, hatutajali nyota zao, hatutajali mitutu yao. Polisi atakayebeba kura bandia ni halali yetu," ameongeza kwa msisitizo.
Suala la maafisa wa usalama kuhusishwa na uingizaji wa kura bandia ni mojawapo ya hoja kubwa zilizowasilishwa na ACT Wazalendo katika mashauri kadhaa waliyoyafungua kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, hasa katika baadhi ya maeneo ya Kigoma.
Zitto amesisitiza kuwa Operesheni Majimaji inalenga kulinda demokrasia na kuhakikisha kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 unakuwa huru na wa haki.
Haahaa mkivunjwa viuno huyo zitto mtamuona?hio ndio njia pekee ya kupambana na CCM
Kwa hali ya sasa, maneno haya yakisemwa na mpinzani kiongozi wa CHADEMA; yanatosha kumfungulia mhusika kesi ya UHAINI; lakini siyo kwa Zitto, kwa sababu wahusika wanajuwa ni maneno anayoyasema bila kuyaamini."Ninataka nitangaze rasmi hapa, na maafisa wa polisi watusikie: hatutajali magwanda yao, hatutajali nyota zao, hatutajali mitutu yao. Polisi atakayebeba kura bandia ni halali yetu," ameongeza kwa msisitizo.
Wakati chadema tunadai mabadiliko Kwa njia ya amani na akili huyu ndie anayehubiri vurugu kwetu sisi chadema hii ni hatua ya mwisho mno ndio maana tumechagua reforms ila wanatuona mazuzu Sasa ngoja haya mapandikizi yao yanayopima upepo yaitikiwe vizuri na wananchi watoto wa polisi wanaoenda twisheni wakianza kutekwa na kukatwa vichwa au kuombwa ransom msije mkamsingizia Lissu.Utapeli mtupu!
Mbn umesikiliza na umekomenti - kwani wewe siyo MTU?Zito hana sifa hizo, wakati akiwa cdm alikuwa anasema dola inachukuliwa kwa hoja na sio vurugu. Sasa hivi anaongea lugha alizokuwa anazikataa akiwa cdm. Hakuna mjinga wa kusikiliza utapeli wa Zito labda wasiomjua. Cdm ndio wapinzani walio serious.
Uchaguzi upi? Kuna Uchaguzi Tanzania? Uchaguzi bila chadema huo si Uchaguzi ni maigizo ya ibirisi wa ccmKiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Akihutubia iku ya Alhamisi Julai 10, 2025 katika Jimbo la Tunduru Kaskazini, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma katika mwendelezo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho, Zitto ameeleza kuwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ACT Wazalendo ilimkamata afisa wa polisi akiwa amepakia kura bandia kwa lengo la kuzisambaza kwenye kituo cha kupigia kura.
"Tunajua CCM wanatumia kura bandia, kura bandia zinapigwa halafu zinaletwa kwenye kituo cha kupigia kura. Isivyo bahati, kule Kigoma tulimkamata Afisa wa Polisi akiwa amepakia kura bandia. Afisa yule alichokipata sidhani kama atarudia jambo lile," amesema Zitto.
Katika kauli hiyo, Zitto amesema chama hicho hakitavumilia tena majaribio yoyote ya kuvuruga uchaguzi kwa mbinu chafu kama hizo.
"Ninataka nitangaze rasmi hapa, na maafisa wa polisi watusikie: hatutajali magwanda yao, hatutajali nyota zao, hatutajali mitutu yao. Polisi atakayebeba kura bandia ni halali yetu," ameongeza kwa msisitizo.
Suala la maafisa wa usalama kuhusishwa na uingizaji wa kura bandia ni mojawapo ya hoja kubwa zilizowasilishwa na ACT Wazalendo katika mashauri kadhaa waliyoyafungua kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, hasa katika baadhi ya maeneo ya Kigoma.
Zitto amesisitiza kuwa Operesheni Majimaji inalenga kulinda demokrasia na kuhakikisha kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 unakuwa huru na wa haki.
Hakuna uchaguzi Tanzania bali kuna maigizo ya uchaguzi kuihadaa Dunia, Zito anajisumbua na upumbavu wake, uchaguzi bila chadema ni kunajisi kubaka haki za wapiga kuraInahitajika moyo wa bandia kumwamini tapeli z kabwe.kura haibiwi kwnye vituo tu pia mshndi anapatikana kwa yule mwenye mamlaka anaxemtangaza.arejee kauli ya nape.ZITO NI CCM PURE AMETUMIKA AWAMU YA JK MAGU AKAMTOSA AKAANZA KULALAMA.LEO YUKO NA SAMIA KTK ULAGAI WA SIASA.
Uchaguzi upi sasa? Kuna Uchaguzi Tanzania?Mlitaka afanye nn?
Mbn hata ninyi CDM ni matapeli tu.
* 2015 mliunda ukawa - majimbo mengi mliyavuruga kwa kutowaachia wenzenu i.e Jimbo la buyungu ilikuwa wapewe nccr lkn baadae mkaweka mgombea
Jimbo la bukoba mjini cuf lkn mkaweka mgombea wa CDM
Kosoeni wengine, nanyi jikosoeni
Mbowe kwa sasa ni mshauri wa mama mkoloni kaburu kitengo cha kuwahujumu kuidhoofisha chadema na binafsi Mbowe anataka Lisu afie jela ili afanye kama Lipumba kwa cuf arejee chadema kwa njia haramu za kishetaniPOROJO tu...sema huwa najiuliza huko (CCM) nani boss sasa, Mbowe or Dalali?
Tanzania hakuna uchaguzi kwani ibirisi wa ccm kura wanazo mifukoni kilichobaki ni siku ya kujitangaza tu, uchaguzi wa maigizo magumashi Uongo wizi mwingi ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, bora ccm wajitangazie Ufalume tu kuliko kupoteza pesa bure kwa uchaguzi hewa wa maigizo, hizo pesa zielekezwe kwenye maendeleo zijenge barabara za vijijini hospital vyuo mashule huduma za maji kiliko zipotee kwa uchaguzi feki wa kizushiZitto usiwafanye watanzania ni wajinga, kama suala ni kulinda kura watanzania wamelinda kura toka mwaka 1995 enzi za Mrema hadi majuzi kati 2020 enzi za Mwendazake.
Mara zote hizo hao walinzi wamepigwa, wamepewa kesi kubwa kubwa hadi za mauaji na wengine kupoteza maisha.
Sasa ndugu Zitto hapo huna hoja ya kuwaambia watanzania kuhusu uchaguzi huu.
Wewe Chonga Rungu lako afu utazilinda hizo kura mwenyewe.
Zito kwa sasa anashinda ghetto kwa Amos makala akivuta Bangi hana loloteZito hana uwezo huo jamani hebu tusidanganyane mchana kweupe! Yeye asubiri vitu vya huruma tu!
Tanzania hakuna Uchanguzi bila chadema bora ibirisi wa ccm wajitangaze Ufalume waache kupoteza mabilioni ya pesa za walipa kodi kwa chaguzi bandia za magumashi ni wizi na matumizi mabaya ya pesa za ummaWakati chadema tunadai mabadiliko Kwa njia ya amani na akili huyu ndie anayehubiri vurugu kwetu sisi chadema hii ni hatua ya mwisho mno ndio maana tumechagua reforms ila wanatuona mazuzu Sasa ngoja haya mapandikizi yao yanayopima upepo yaitikiwe vizuri na wananchi watoto wa polisi wanaoenda twisheni wakianza kutekwa na kukatwa vichwa au kuombwa ransom msije mkamsingizia Lissu.