Rais Mtarajiwa LISSU ,Mtanzania namba Moja mwenye Uwezo mkubwa wa Akili, Uzalendo, Mwenye Haki, Mpaka Mafuta wa Mungu ( Kwa hizo sifa tu nloandika, Samia alisoma hapa, anajisikia vibaya)... Huyu Mh Lissu Kesi yake ya UHAINI imejikita kwenye Maneno ya 'Tutakinukisha '.
Haraka sana Kilaza Mmoja Ofisi ya DPP, Kwa ushirikiano wa CCM wakaelekeza Polisi wamkamate na kumpa Kesi ya UHAINI.
Kwa Upande wa pili, Zitto Licha ya Hotuba zake zinazohimiza Machafuko, Majuzi amenukuliwa akisema " POLISI ATAKAYEBEBA KURA FEKI HUYO MI HALALI YETU".... Kwa Zitto, Polisi huyo atatakiwa Kusulubishwa/Kuwajibishwa na Wanachama wake wa ACT Yaan Apigwe !!.
Maajabu ni kwamba CCM, DPP, na Polisi wa Bilionea IGP , wako kimyaa, hawajaangaika kusema na kumkamata Zitto Kwa UHAINI !!.
Baadae nawaambia kwann Zitto Kabwe kabadili Gia angani na kuanza kushambulia CCM.