Jamaa_Mbishi
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 10,181
- 7,382
Zitto kwa mbwembwe fake, sijawahi mkubali huyu msanii wa bongo movie hata siku moja. Ni mupuuzi mno, katawaliwa na uchawi sana.Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Akihutubia iku ya Alhamisi Julai 10, 2025 katika Jimbo la Tunduru Kaskazini, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma katika mwendelezo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho, Zitto ameeleza kuwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ACT Wazalendo ilimkamata afisa wa polisi akiwa amepakia kura bandia kwa lengo la kuzisambaza kwenye kituo cha kupigia kura.
"Tunajua CCM wanatumia kura bandia, kura bandia zinapigwa halafu zinaletwa kwenye kituo cha kupigia kura. Isivyo bahati, kule Kigoma tulimkamata Afisa wa Polisi akiwa amepakia kura bandia. Afisa yule alichokipata sidhani kama atarudia jambo lile," amesema Zitto.
Katika kauli hiyo, Zitto amesema chama hicho hakitavumilia tena majaribio yoyote ya kuvuruga uchaguzi kwa mbinu chafu kama hizo.
"Ninataka nitangaze rasmi hapa, na maafisa wa polisi watusikie: hatutajali magwanda yao, hatutajali nyota zao, hatutajali mitutu yao. Polisi atakayebeba kura bandia ni halali yetu," ameongeza kwa msisitizo.
Suala la maafisa wa usalama kuhusishwa na uingizaji wa kura bandia ni mojawapo ya hoja kubwa zilizowasilishwa na ACT Wazalendo katika mashauri kadhaa waliyoyafungua kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, hasa katika baadhi ya maeneo ya Kigoma.
Zitto amesisitiza kuwa Operesheni Majimaji inalenga kulinda demokrasia na kuhakikisha kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 unakuwa huru na wa haki.
Hapaswi kupuuzwa kiustaarab, inabidi apigwe tu mawe na kuzomewa kila apitapo.Zitto ni mpuuzi anepaswa kupuuzwa kistaarabu tu
Zito ni kajitu ka hovyo sanaZitto kwa mbwembwe fake, sijawahi mkubali huyu msanii wa bongo movie hata siku moja. Ni mupuuzi mno, katawaliwa na uchawi sana.
Baba levo kaanza kumkaanga na chadema watamuunguza kabsaHapaswi kupuuzwa kiustaarab, inabidi apigwe tu mawe na kuzomewa kila apitapo.
Safi sana hiiBaba levo kaanza kumkaanga na chadema watamuunguza kabsa
Hakafai katika jamii na ndiyo maana watu washaanza mkimbia baada ya kumgundua kuwa ni bundi mtu.Zito ni kajitu ka hovyo sana
Kukubali kushiriki kwenye hili zoezi ni kuipa legitimacy ile staged election ya watawala.Kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, ametoa onyo kali kwa maafisa wa polisi na watendaji wengine wa serikali wanaoshiriki katika kile alichokiita uingizaji wa kura bandia kwenye uchaguzi, akisema chama hicho hakitasita kuchukua hatua hata kama mhusika ni askari wa vyombo vya ulinzi na usalama.
Akihutubia iku ya Alhamisi Julai 10, 2025 katika Jimbo la Tunduru Kaskazini, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma katika mwendelezo wa Operesheni Majimaji ya chama hicho, Zitto ameeleza kuwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2024, ACT Wazalendo ilimkamata afisa wa polisi akiwa amepakia kura bandia kwa lengo la kuzisambaza kwenye kituo cha kupigia kura.
"Tunajua CCM wanatumia kura bandia, kura bandia zinapigwa halafu zinaletwa kwenye kituo cha kupigia kura. Isivyo bahati, kule Kigoma tulimkamata Afisa wa Polisi akiwa amepakia kura bandia. Afisa yule alichokipata sidhani kama atarudia jambo lile," amesema Zitto.
Katika kauli hiyo, Zitto amesema chama hicho hakitavumilia tena majaribio yoyote ya kuvuruga uchaguzi kwa mbinu chafu kama hizo.
"Ninataka nitangaze rasmi hapa, na maafisa wa polisi watusikie: hatutajali magwanda yao, hatutajali nyota zao, hatutajali mitutu yao. Polisi atakayebeba kura bandia ni halali yetu," ameongeza kwa msisitizo.
Suala la maafisa wa usalama kuhusishwa na uingizaji wa kura bandia ni mojawapo ya hoja kubwa zilizowasilishwa na ACT Wazalendo katika mashauri kadhaa waliyoyafungua kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, hasa katika baadhi ya maeneo ya Kigoma.
Zitto amesisitiza kuwa Operesheni Majimaji inalenga kulinda demokrasia na kuhakikisha kuwa uchaguzi wa mwaka 2025 unakuwa huru na wa haki.
Haukuwa umoja wa kisheria, na wala hakukuwa na vigezo vinavyokubalika kwa wote nchi nzima. Hata sasa kuna waliohama cdm ili wakagombee uchaguzi pengine, kama kuna waliohama kwa kutokubaliana na msimamo ww chama, ulitegemea nini katika kuachiana majimbo kwa mtu wa chama kingine?Mlitaka afanye nn?
Mbn hata ninyi CDM ni matapeli tu.
* 2015 mliunda ukawa - majimbo mengi mliyavuruga kwa kutowaachia wenzenu i.e Jimbo la buyungu ilikuwa wapewe nccr lkn baadae mkaweka mgombea
Jimbo la bukoba mjini cuf lkn mkaweka mgombea wa CDM
Kosoeni wengine, nanyi jikosoeni
Huyu Zitto ameshakuwa mpumbavu! Sasa kama maafisa kuingiza kura bandai vituoni walishalitoa mahakamani kama ushahidi kuna kesi yoyote walishinda? Na mwaka huu kura zitaingizwa tena kwa kusindikizwa na mitutu atawafanya nini?Suala la maafisa wa usalama kuhusishwa na uingizaji wa kura bandia ni mojawapo ya hoja kubwa zilizowasilishwa na ACT Wazalendo katika mashauri kadhaa waliyoyafungua kupinga matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024, hasa katika baadhi ya maeneo ya Kigoma.
Mwisho wa siku hayo majimbo si yalienda UKAWA? Mlitaka tuweke wagombea dhaifu ili mshinde kirahisi?Mlitaka afanye nn?
Mbn hata ninyi CDM ni matapeli tu.
* 2015 mliunda ukawa - majimbo mengi mliyavuruga kwa kutowaachia wenzenu i.e Jimbo la buyungu ilikuwa wapewe nccr lkn baadae mkaweka mgombea
Jimbo la bukoba mjini cuf lkn mkaweka mgombea wa CDM
Kosoeni wengine, nanyi jikosoeni
Huyu amechanganyikiwa sio bure
Zito tokea aanze kuvuta Bangi anazeeka vibaya kawa mtu wa hovyo sanaHuyu ZZK aache unafiki..... Chama chenyewe wafuasi hawajai hata kiganja kwa huku Tanganyika....
🤣🤣🤣... Kabisa Bora aachane na siasa tuZito tokea aanze kuvuta Bangi anazeeka vibaya kawa mtu wa hovyo sana
Umewaza kama mm mkuu au labda wana kakikundi ka uasi..labda Act wana bunduki na mabomu ya kupambana na Polisi