GE2025 Zitto Kabwe: Polisi atakayebeba Kura Bandia ni halali yetu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
raisi wa chadema tafadhali***
 
Huu ushabiki utakuja kutuua ipo siku...sasa kwa mfano mimi sina hata hiyo kadi ya kupigia kusa kwaiyo hata kama reform zikifanyika kwangu mimi zitakua hazina faida yoyote kwamaana ya kuchagua

Tupo wengi ambao hatuna kadi, hayo mambo tuwaachie wenye kadi
 
Wakumbusheni polisi kuwa kuna kustaafu. Kamanda Moloto aliyekuwa RPC Dodoma hivi sasa analinda godown la wachina
Unajizima data wewe, wakati mwenzio yupo mgodini huko mkuu wa walinzi na anakula above 8m kwa mwezi
 
Wakumbusheni polisi kuwa kuna kustaafu. Kamanda Moloto aliyekuwa RPC Dodoma hivi sasa analinda godown la wachina
Hivi hii ni Kweli au kuna namna, mbona yeye hajapendelewa na kizimkazi au alikosea wapi?
 
Inasikitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…