Zitto Kabwe sasa umefika wakati wa kuambiwa ukweli


Yaani umekaa kimya muda mrefu lakini unakuja na upuuzi humu JF!

Acha ujinga kuwa na akili.

Unafahamu kuwa kila kitu huwa kinabadilika kulingana na mazingira na wakati?

Rais Magufuli alishawai msifia Zitto na kumuita mbunge wa kuigwa......leo hii anasema ni adui wa maendeleo na anatumiwa na mabeberu.

Unasemaje kuhusu hili?

Think big, acha ujinga.
 
Mnaopinga hoja ni wapuuzi.

Swali ni kwamba kwa nini kipindi kile Lissu alipokuwa anafanya anachofanya Zitto sasa alimbeza na kumpinga ila yeye sasa hivi ndo anakifanya kile kile alichokuwa anakifanya.

Ndo naamini na mimi hapa kuwa bongo hakuna upinzani maana hawana misimamo na hoja zao na wengi wa upinzani ni bendera fuata upepo maana hata ikitolewa hoja ya ajabu watasifia tu ili mradi aliyeitoa ni mpinzani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafuu hicho kichwa uendelee kufugia nywele tu kuliko kuleta kutujazia mboji kwenye jukwaa. Yote haya kwa sabau ya Buk 7. Poleni Watanzania msiojitambua
 
Nothing is static
 
Lakini rais kesha sema nchi yetu ni tajiri hata tusipopewa hizo hela tutatumia za kwetu wenyewe mbona tunajenga miradi mikubwa kwa pesa zetu?
 
Huu siyo msaada wewe, huu ni mkopo ambao hata wanaobeba mimba na kufukuzwa shule watakuja kuulipa
Watu wengi huwa hawajui wana changia kitu gani hapa Jf. Wao wana mlaumu Zitto kwa maamuzi ambayo yamefanywa kweli nanserikali yetu bila kuangalia impact yake. Maana kama umemkatalia alie beba mimba kwa bahati mbaya kuto kurudi shule kuendelea na masomo je? Unafanyaje asihusishwe kwenye kulipa huo mkopo? Na ni kwanini hiyo adhabu aibebe huyu msichana mwenyewe? Sasa wana haha kumlaumu Zitto bila kuangalia hizo mantiki. Pia Zitto hajasema huo mkopo ufutwe, anaomba uachwe hadi hapo sheria zitakapo kuwa sawa kwa wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye so anaona ni saws watoto wa kike kutiwa mimba na kuendelea na shule!!!Kama ana watoto wa kike watiwe mimba ili ajifunze!!!
 
Kuna msemo unasema" Mahakamani mtu anayeweza kudhibitisha kile asemacho na yule wa upande wa pili kushindwa kufanya hivyo basi sheria hutoa haki kwa aliyedhibitisha bila kutoa nafasi ya shaka katika ushahidi mbele ya mahakama". Mtoa udhi kama Zitto anajenga hoja na kuitetea na udhibitisho akatoa then upande wa pili ukawa wa kukanusha tu bila kutoa udhibitisho badi ni haki yake kushinda, binafsi i side with facts having evidence that don't give me an inch of doubt.

Don't hunt what you can't kill.
 
Lumumba wanashindana kupayuka, kutoa macho tu kumsafisha Jiwe bingwa wa kuropoka bila hoja. Shetani aliyewapotosha nae keshawachoka, kwa mwendo wa pole kasi ya kuporomoka BABELI nayo yaongezeka. AMEN
 
Swala la hoja ya mkopo kama tunastahili ama hapana inahitaji mjadala mpana ingawa siungi mkono kushangilia kunyimwa huo mkopo kwasababu hizo zinazopiganiwa. Lakini hapa ni malengo ya hawa wanasiasa hasa tuliowaamini muda mrefu.

Vipo vitu ambavyo Zitto anavipinga awamu hii lakini asingeweza kupinga awamu iliyopita na tweet iliyopo kwenye mada ni ushahidi tosha. Inaonekana hawa wanasiasa wanatumia matatizo yetu kupenyeza mambo yao binafsi.

Unasemaje Zitto kuponda Chadema walipoomba misaada isitishwe kwa hoja mambo ya ndani yamalizwe ndani alafu anakuja kufanya alichowapinga Chadema? Kama hatuoni hata mambo kama haya hatutakuja kubadilika kuchagua watu sahihi na wao hawatajirekebisha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye so anaona ni saws watoto wa kike kutiwa mimba na kuendelea na shule!!!Kama ana watoto wa kike watiwe mimba ili ajifunze!!!
Kwanza wakuanze wewe kabla ya hao watoto
 
Yaani hapo u.efikiria?sasa wewe mbona ni hunan soni mara Mia ya huyo zitto?
Mnatwambia nchi tahir af mnalila misaads
Unaongea kosa la ditto kumiliki mashamba ya korosho lakini busemi uwanja wa ndege wa chatte umejengwa na kampuni ya nanii
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Duh! Huyu naye sijui kapewa hela ngapi ila hata jero hastahili kabisa. Yani uneshindwa kujenga hoja!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Madini tupu hii. Sio wale vibaka wa Lumumba. Shenzi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maji yamewafika shingoni hawa wezi wa nji hii. Hawana namna zaidi ya kutapatapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunazuiaje watoto wetu wasipate mimba shuleni?
 
Ukiulizwa kwenye mtihani disadvantages za multipartism ukamtaja Zitto unapata alama zote tatu bila kuelezea
 
Hivi mabeberu ni wakina nani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…