Zitto Kabwe sasa umefika wakati wa kuambiwa ukweli

Zitto Kabwe sasa umefika wakati wa kuambiwa ukweli

Yawezekana Zitto ni double agent,kama angekuwa Mbowe au Lema agekuwa jela.
Achana na Zitto ni maji marefu.
 
Nyie wapiga zumari, mwambieni bwana wenu Meko aache uonevu kwetu sisi wavuja jasho.

Huyo Zitto ndiye kimbilio la watanzania zaidi ya 70% wanaonyanyaswa na serikali hii ya kidhalimu.

Tutaendelea kumuunga mkono Zitto pasi kuchoka kwani ameonesha dhamira ya kweli ya kutupigania.

Nenda, nenda, nenda, Zitto. Wewe ndiye unathamini utu wetu kuliko hili jitu la Chato lisilo na huruma.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom