Zitto Kabwe: Serikali ya awamu ya 5 acheni ushamba

Zitto Kabwe: Serikali ya awamu ya 5 acheni ushamba

kipimo cha kutokuwa mshamba ni kufanya kama Kagame??

JPM ana uhuru wake wa kuamua analolitaka.

Na labda soon Kagame ataiga anavyofanya JPM.....

Mbona Kagame hafanyi meaning Kagame ndio reference ama SI Unit ya maisha ya Magufuli?

So who is really mshamba hapa kama sio yeye Zitto?
Mh Zitto amenena. Mimi nimemuelewa. Watanzania tumemuelewa. Walengwa mjitafakari!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom