KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Eeenh, na ataruhusu hiyo?
Hebu ngoja tusubiri hawa madikteta wawili wanatupangia nini!
Ingependeza sana ndege yetu ingeanzisha 'route' kama hiyo, lakini sio za majirani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeenh, na ataruhusu hiyo?
Imenibidi nicheke kwa maneno yako haya, tena ambayo umeyasema ukiwa muwazi kweli!Mimi nilipo nunua gari Aina ya mark two ukoo mzima ulisimama maana hakukuwa hata ukoo wa mababu aliyekuwa amefanya hivyo. Nilionekana shujaa, na kweli magufuli chuma.
Sembuse ndege za matrioni ya fedha tusishangilie Kama taifa eti kagame hakushangilia! Ebo vipi wewe mwana kigoma? Watanzania sehemu mbalimbali wanaitaji usafiri huu hili wafanye kazi kwa uhakika. Rwanda nchi ndogo ndani ya nchi sijui Kama wanaitaji Sana.
Kwani amesema hatapanda? Anachoeleza ni ule ushamba wa viongozi wote kuacha shughuli zao na kwenda kupokea bombadier.Kesho utamwona amependa ndege anaenda kigoma kupiga picha na Wananchi
Sisi Wananchi tunachukizwa sana na uwongo wa Zitto
Hao mnaowaita mabeberu ndio hao hao mnaowalipa mabilioni ya fedha za wananchi kununua mandege kutoka kwao. Jaribuni basi kuficha upuuzi wenu.Wewe na Zitto hamna hoja ni vibaraka wa mabeberu
Nimeamua kuwa puuuza rasmi sasa
Lakini on a serious note mauzinduzi na mapokezi yamezidi sana awamu hii, zote hizi ni kodi za walala hoi zinateketezwa! Ule msururu wa wageni waalikwa wa jana hawakwenda pale bure. Tuna kiongozi mnafiki mno!
Kama nchi imekabidhiwa washamba halafu wewe labda unataka kuichukua kwao lakini umeshindwa, wewe tukuite nani? Just wondering!
Mmeambiwa muache ushamba, kupokea ndege hiyo ni kazi ya waziri husika tu, acheni kupotezeana watu muda bhana.
Lakini on a serious note mauzinduzi na mapokezi yamezidi sana awamu hii, zote hizi ni kodi za walala hoi zinateketezwa! Ule msururu wa wageni waalikwa wa jana hawakwenda pale bure. Tuna kiongozi mnafiki mno!
ukweli unauma , Garama za kupokea ndege zitafikia ela ya kununulia ndege mpya baada ya mapokezi kadhaa, kuna muda atazoeaZitto anaumia anavyopuuzwa na Rais wetu mpendwa
Ajiandae kustaafu ubunge tu apishe kiongozi wanaowajali wanakigoma