Zitto Kabwe: Serikali ya awamu ya 5 acheni ushamba

Zitto Kabwe: Serikali ya awamu ya 5 acheni ushamba

Kama ni karama yake ya kuwatumikia Watanzania bado ataendelea kuwatumikia hata nje ya bunge. Tunajua Ccm hivi sasa hamna hoja za kushawishi wapiga kura wawape ridhaa zaidi ya mbinu ya kuitumia tume ya uchaguzi na vyombo vya dola mpate viongozi wa viti maaalum.. Mambo ya kipuuzi kabisa
Zitto anaumia anavyopuuzwa na Rais wetu mpendwa

Ajiandae kustaafu ubunge tu apishe kiongozi wanaowajali wanakigoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh Zitto amenena.
Mimi nimemuelewa.
Watanzania tumemuelewa.
Walengwa mjitafakari!


Tunamjibu kwa picha sio maneno tuu
IMG-20191215-WA0031.jpg
IMG-20191215-WA0032.jpg
 
"What comes around, goes around" Kwa kadiri hii shirika la ATCL lilivyofufuliwa, huku huduma zikilazimishwa kupitia"supply driven" na wala si kwa "demand driven" basi tutegemee hasara juu hasara katika uendeshaji wake. Katika mambo ambayo yatazidi kuitia doa serikali ya awamu ya tano ni pamoja na hili shirika ambalo linaendeshwa kwa hasara, huku wao wakizidi kuling'ang'ania kwa ajili tu ya kiki za kisiasa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ramli, Nyinyi ndiyo wachawi wenyewe.
 
Zitto naye anaanza kujadili vitu vya kishamba sasa, unaanzaje kuilinganisha Giant Tanzania na sisimizi Rwanda? Anywaya waha wanatafuta Ligi ya ubishi kwenye hili tuwaache
 
Mh Zitto amenena.
Mimi nimemuelewa.
Watanzania tumemuelewa.
Walengwa mjitafakari!


Hata Mimi ningecheza Siasa za ushamba maana Siasa za kuwafanya watu wawe assurance hazinaga national Agenda
 
Mmeambiwa muache ushamba, kupokea ndege hiyo ni kazi ya waziri husika tu, acheni kupotezeana watu muda bhana.
Kesho utamwona amependa ndege anaenda kigoma kupiga picha na Wananchi

Sisi Wananchi tunachukizwa sana na uwongo wa Zitto
Zitto anaumia anavyopuuzwa na Rais wetu mpendwa

Ajiandae kustaafu ubunge tu apishe kiongozi wanaowajali wanakigoma
 
Zito acha kamba wewe, hao Rwanda unaowatukuza hata shirika lao la ndege wanamiliki asilimia 40 au 60 tu hivi sasa. Sisi tunamiliki la kwetu 100%. BTW pengine huna taarifa wameomba kwa kupiga magoti tuwainue kidogo kwa kuruhusu waruke kutoka Mwanza - London ili wapate ujiko kidogo.

Mila zetu Tanzania sio sawa na Wanyarwanda elewa hilo.

Duuuuh ndio maana Kingwangala akaona atudanganye kwa kusema timu kubwa za Ulaya(Chelsea,Man u,Man city) zinakuja kumlilia zikiomba Tz izi dhamini hahahah.
 
Kesho utamwona amependa ndege anaenda kigoma kupiga picha na Wananchi

Sisi Wananchi tunachukizwa sana na uwongo wa Zitto
Hiyo haihusiani na hoja ya kishamba ya kukusanya viongozi wote kupokea huu ujinga , naona aibu sana kuwemo kwenye nchi hii
 
Back
Top Bottom