My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,932
- 13,306
I think soIla cha Ajabu hatakamatwa wala ya Tundu Lissu hayatamkuta... Sijui naye ni mtu wa system ndani ya upinzani
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I think soIla cha Ajabu hatakamatwa wala ya Tundu Lissu hayatamkuta... Sijui naye ni mtu wa system ndani ya upinzani
Tunajua sana mkuukwani Zitto kakosea wapi kwenye hili?
uchaguzi upo October 2020 na lolote linaweza kutokea ukizingatia huku ndani ya CCM yetu kuna mpasuko wa kufa mtu.... ninyi mlioko huko nje hamjui tu!
Wewe ni mpumbavu sana, JPM ni Mungu hata asisemwe?Mpuuzi sana huyu mtu,badala aseme kuwa mwaka huu ni wamwisho kwake kuwa bungeni anamsemea jpm,Nina uhakika act- haitapata hata diwani wa sawa,so zzk anahaha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mpumbavu sana, JPM ni Mungu hata asisemwe?
Jinga kweli wewe,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nafikiri wew ndo lipuuzi sana.Unachokiita upuuz kinazidi upuuzi wako.NyambafuMpuuzi sana huyu mtu,badala aseme kuwa mwaka huu ni wamwisho kwake kuwa bungeni anamsemea jpm,Nina uhakika act- haitapata hata diwani wa sawa,so zzk anahaha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Uchaguzi mkuu wa rais na wabunge ni october au mwenzetu ni mentally sick hujui km kuna uchaguzi wa rais mwaka huu?Kweli kinywa!! Unapata wapi umahiri wa kuyatamka maneno kama haya?? Zitto, unaweza kututhibitishia maono yako kuhusu huu mwisho??
Mimi nafikiri wew ndo lipuuzi sana.Unachokiita upuuz kinazidi upuuzi wako.Nyambafu
Kwa nini akamatwe kwa kosa gani tatizo lenu nyie mafisiem mnadhani mzee meko ni mfalme kwamba atatawala milele ...yite yanawezekana na wala sio ajabu na yeye zito kama kiongozi wa kisiasa lazima ajipe moyo kwamba chama anachokiongoza kitaibuka mshindi uchaguzi unaokujaHivi kwanini huwa hawamkamati ZZK wanamwogopa eeh ??
We ni lipiga ramli lipuuzi
InawezekanaIla cha Ajabu hatakamatwa wala ya Tundu Lissu hayatamkuta... Sijui naye ni mtu wa system ndani ya upinzani
Waganga wake amempromiss kumpa jini ambalo sasa litamzuia kabisa JPM kurudi kwenye uchaguzi kama lile la moshi la kule kusini.
Kosa au uongo huko wapi apo kadaMpuuzi sana huyu mtu,badala aseme kuwa mwaka huu ni wamwisho kwake kuwa bungeni anamsemea jpm,Nina uhakika act- haitapata hata diwani wa sawa,so zzk anahaha sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ilekesi yakifafa hua inanitesa mpaka muda hua nawaza au ndomana kitengo muh2 kiliazishwa fastaWaganga wake amempromiss kumpa jini ambalo sasa litamzuia kabisa JPM kurudi kwenye uchaguzi kama lile la moshi la kule kusini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha haha mkuu hyo ya bendera huo niutafiti wakweli .mi ndo umening'amua nikweli bendera nyingi kuliko wa2.ZZK almaarufu Ayatollah ana wenge sana baada ya tathmini ya chama kuonesha chama kina bendera nyingi kuliko wanachama.