Zitto Kabwe: Sherehe za Mapinduzi za leo ndiyo za mwisho kwa Rais Magufuli ambaye anamaliza muda wake wa Urais Oktoba mwaka huu

Zitto Kabwe: Sherehe za Mapinduzi za leo ndiyo za mwisho kwa Rais Magufuli ambaye anamaliza muda wake wa Urais Oktoba mwaka huu

Kila kauli yako moja zitto unarudi nyuma hatua mia moja utakuja kutafuta maneno mengine ya kituambia!
 
Utekaji, mauaji na mashambalio dhidi ya watu wanaoikosoa watawala yanafanywa na idara inayofahamika lakini wanapofanya huo uharamia wanajiita WASIOJULIKANA wakati wanajulikana kwa wananchi wote. Kama hawalipendi jina lao la sasa, basi Idara hii ijulikane rasmi kwa jina la WASIOJULIKANA.

Hiyo itaondoa utata ambao baadhi ya watu huwa wanaupata wanaposikia mtu fulani amatekwa na watu wasiojulikana wakidhani kuwa waliyemteka hawajulikani kumbe ikimaanishwa kuwa ametekwa na hii idara ya WASIOJULIKANA.

Hawa watu kwa kuwa wanatenda uovu dhidi ya raia, ni vema sasa tupaze sauti zetu maradufu. Sasa ni vema majina ya WASIOJULIKANA kundi la uovu yawekwe wazi ili watu wakikutana nao wachukue tahadhari na kupambana nao kuokoa maisha yao. Nguvu mpya, ushirikiano mpya na jitihada mpya zianze dhidi ya kundi ovu la WASIOJULIKANA. Tusikubali hawa maharamia wamchukue yeyote mbele ya macho yetu na kutokomea naye. Kama watatumia gari tuzibe barabara zote kwa kutumia magari yetu.

Bila umoja wetu watatumaliza.
 
Kweli kinywa!! Unapata wapi umahiri wa kuyatamka maneno kama haya?? Zitto, unaweza kututhibitishia maono yako kuhusu huu mwisho??
Uchaguzi mkuu wa rais na wabunge ni october au mwenzetu ni mentally sick hujui km kuna uchaguzi wa rais mwaka huu?
 
Hivi kwanini huwa hawamkamati ZZK wanamwogopa eeh ??
Kwa nini akamatwe kwa kosa gani tatizo lenu nyie mafisiem mnadhani mzee meko ni mfalme kwamba atatawala milele ...yite yanawezekana na wala sio ajabu na yeye zito kama kiongozi wa kisiasa lazima ajipe moyo kwamba chama anachokiongoza kitaibuka mshindi uchaguzi unaokuja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Joto la uchaguzi linazidi kupanda.
Kwa kuwa mvua nyingi zimenyesha hivyo Mwaka huu kutakuwa na chakula cha kutosha cha kuweza kusababisha watu kumshukuru Mungu na kuliombea Taifa Amani iliyopo iendelee.
 
Ha
ZZK almaarufu Ayatollah ana wenge sana baada ya tathmini ya chama kuonesha chama kina bendera nyingi kuliko wanachama.
Ha haha mkuu hyo ya bendera huo niutafiti wakweli .mi ndo umening'amua nikweli bendera nyingi kuliko wa2.
 
Back
Top Bottom