Zitto Hana vigezo?Kama hana vigezo muache akomae na ubunge tu, You Know 😂
OmalagaSisi wasukuma tunasemaga 'Nzala'
Anagombea ubunge na nmeambiwa ataupata yeye na baadhi ya wabunge ambao watatoka chadema kwenda ACT. Mkakati ni kuonyeshwa kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki. Badae ACT itakuwa chama kikuu cha upinzani bungeni halafu mission accomplishedYule jamaa ni mdini haijawahi kutokea. Madamu kuna mwenzake katika imani kwa Ccm hawezi kumpinga kwa kugombea urais.
Hama utizaga buli?Omalaga
Samia mwenyewe hana uhakika wa kugombea urais. Jitahidi kuwa unawafuatilia wabobezi wa maswala ya nchi kina Tumia Akili, Britannica, Resilence sijui km nimespell vizuri na wa kufanana na hao utajua mengi.Anagombea ubunge na nmeambiwa ataupata yeye na baadhi ya wabunge ambao watatoka chadema kwenda ACT. Mkakati ni kuonyeshwa kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki. Badae ACT itakuwa chama kikuu cha upinzani bungeni halafu mission accomplished
(in baraka mpenja voice) anauliza swali zuri paleeeeee ooooh wow!Mwanasiasa yupi unayemwamini??
.mwanasiasa yeyote si mtu wa kuaminika 100% ni watu wa fursa na nyakati!Takribani mwaka mmoja uliopita, May 6, 2024 Zitto Kabwe alituambia kuwa amejiandaa kuwa Rais na maana yake angegombea mwaka huu.
Imekuaje akabadili gia angani? Huyu sio wa kumuamini hata kidogo!View attachment 3325473
Simple kaka. Huyo tapeli zito anajua wazi kabisa kwa sheria na kanuni za uchaguzi huu hawezi kushinda Uraisi . Hivyo ame consipire na matapeli wenzio kuwa gombea ubunge utapewa ili kubalance ionekane kwamba na wapinzani wameshindaTakribani mwaka mmoja uliopita, May 6, 2024 Zitto Kabwe alituambia kuwa amejiandaa kuwa Rais na maana yake angegombea mwaka huu.
Imekuaje akabadili gia angani? Huyu sio wa kumuamini hata kidogo!View attachment 3325473
Sikuntegemea aiseeYeye ni Dini kwanza mengine Baadae,
PojagaHama utizaga buli?
Umemaliza. alimradi apate kitumbuaYule jamaa ni mdini haijawahi kutokea. Madamu kuna mwenzake katika imani kwa Ccm hawezi kumpinga kwa kugombea urais.
Hana vigezo, ndio! Unafikiri URAIS ni kama ubunge, you know 😂Zitto Hana vigezo?
Kabda rais wa tffTakribani mwaka mmoja uliopita, May 6, 2024 Zitto Kabwe alituambia kuwa amejiandaa kuwa Rais na maana yake angegombea mwaka huu.
Imekuaje akabadili gia angani? Huyu sio wa kumuamini hata kidogo!View attachment 3325473