Zitto Kabwe sio wa kumuamini, alisema atagombea Urais iweje akachukua fomu ya Ubunge?

Zitto Kabwe sio wa kumuamini, alisema atagombea Urais iweje akachukua fomu ya Ubunge?

Takribani mwaka mmoja uliopita, May 6, 2024 Zitto Kabwe alituambia kuwa amejiandaa kuwa Rais na maana yake angegombea mwaka huu.

Imekuaje akabadili gia angani? Huyu sio wa kumuamini hata kidogo!View attachment 3325473
Huyu ingekuwa Chadema wanagombea, ili kupunguza kura, ungeona naye anagombea Urais ili kugawanya kura za upinzani!
Kwa sasa, ili alipwe ubunge, ameachia!
 
Amebadili gia angani! Huenda amesha tonywa kuwa kuna asante ya kurudishiwa ubunge pale Kigoma.
Zitto sio mjinga anajua baadhi ya vyama havina hesabu za kugombea uraisi,day dreamers.
Safe zone ni udiwani na mwisho ni ubunge.
Uwakilishi unaanzia chini kwenye shina na kwenda juu.
 
Ni ka kibaraka ka CCM hako, afu ni ka dini dini balaa - hakafai.
 
Anagombea ubunge na nmeambiwa ataupata yeye na baadhi ya wabunge ambao watatoka chadema kwenda ACT. Mkakati ni kuonyeshwa kuwa uchaguzi ulikuwa huru na haki. Badae ACT itakuwa chama kikuu cha upinzani bungeni halafu mission accomplished

Kirahisi Hivyo.
Ngoja tuone.
 
Zawadi ya viti kadhaa kwa hisani ya sa100 kimoja wapo ni hicho Cha Mwami na hizi ndiyo 4R sa100 alizomaanisha sio zile reform za kina Lissu
 
Back
Top Bottom