Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu


Bungua .Bungua na Bungua ...umeandika insha nzuri isiokua na hata msingi wa kuegemea....ibara ya 62(1) ipo wazi bunge nguzo zake ni 2 Rais na wabunge...toa ibara ibara katika katiba ya mama yako ambayo ambayo inasema bunge ni wabunge pekee..Upumbavu wa hali ya juu unauonyesha..wewe na wapumbavu wenzio mnadhani bunge ni wabunge pekee.
 
Kama chato ndiyo nchi hii sawa. Huo ubinafsi hata Nyerere hakuwahi kuufanya. Mazuri yake yanazidiwa na.mabaya yake.. Assad kasema 1.5 trillion haionekani kaonekana mbaya.
 
Kama bunge ni wabunge na rais, iweje rais anajifsnyia tu mambo atakavyo bila wabunge kuhusishwa!? Toa ibara inayoonesha bunge ni rais pekee yake.
 
Where did the money come from?
 

Hivi hata project zilizoko jeshini zinajadiliwa na bunge? Mfano ni huo ununuzi wa helicopter.
Hayo mengine ni kweli wanahitaji hekima kuangalia vizuri
 
Huyu mzee meko ilitakiwa awe chini ya ni mtu wa ajabu ajabu tu na mambo na matendo yake ni ya ajabu ajabu tu.
 
Ujinga huo ulionao ndio tatizo...nimekueleza vizuri unapotamka bunge unamaanisha Rais na Wabunge...bunge lina sehemu 2,Moja rais na Wabunge.Kaa ukijua Rais ni sehem ya bunge.
Kwa hiyo akiamua Rais peke yake ni sawa na kuwa bunge limeamua?
 
Kama bunge ni wabunge na rais, iweje rais anajifsnyia tu mambo atakavyo bila wabunge kuhusishwa!? Toa ibara inayoonesha bunge ni rais pekee yake.
Ibara ya 63(1) inasema;
Rais kama sehem moja ya Bunge atatekeleza madaraka yote aliyokabidhiwa na katiba hii kwa ajili hio.
Ibara hio imetungiwa sheria mwaka 1984,Sheria ya madaraka ya bunge.
 
Kwa hiyo akiamua Rais peke yake ni sawa na kuwa bunge limeamua?
Ndio kaka na analindwa na ibara ya 63(1),,,ipo wazi hata zitto analijua hilo...kumbukeni katiba ndio iliompa madaraka makubwa Rais kias kwamba hata akitaka kua mungu mtu anakua
 
Ndio kaka na analindwa na ibara ya 63(1),,,ipo wazi hata zitto analijua hilo...kumbukeni katiba ndio iliompa madaraka makubwa Rais kias kwamba hata akitaka kua mungu mtu anakua
Kwa hiyo kutokana na katiba, Rais akitaka anaweza kutunga sheria na kuipitisha yeye mwenyewe?
 
Come on bwana Zitto...you and us know how our Bunge operates na for your information..you guys have let us down almost all the time.. sometimes I wonder if we really needs you guys...I sometimes dare say we can do without you people coz to be honest! Most of you are a disgrace... let magu try his way/ true African way and see where he get us..if we are not happy..the results will tell in less than ten months... after all what is wrong trying new approach?..Bunge had over 50yrs of failure and going back to the drawing board is not a sin..few will cry but many will prosper... THINK BIG Mr MP.
 
Kwa hiyo kutokana na katiba, Rais akitaka anaweza kutunga sheria na kuipitisha yeye mwenyewe?
Tumia akili Na vifungu vya katiba.kazi ya wabunge na sehemu yao ya bunge ni
1,kuuliza maswali
2,kujadili na kuidhinisha budget na mipango ya serikali
3,Kujadili utekelezaji wa kila wizara Wakati wa mkutano wa bunge wa kila mwaka wa budget .
Hizo ndizo kazi za bunge
 
Mkuu anatafuta kisingizio cha kuwadanganya watanzania.
Kama kweli tatizo ni hilo la hiyo bajeti kutopitishishwa na bunge, basi msaku ufanyike kwa miradi yote inayotekelezwa na serikali tuone kama hizo pesa zimepitishwa na bunge.

Aseme tu kuwa kuna conflict of interest kati yake na hao walio waliosaini katika mkataba huo.
 
Wapumbavu wote hukimbilia matusi. Sichoki, utaelimika tu. Sasa maelezo kwa level ya pre- kindergaten. Bunge = rais+ wabunge ( pengine mara mbili katika muda wa miaka mitano). Inapokuwa hivyo, rais anaenda bungeni. Mambo yote yanafanyika kibunge, mkuu wa Bunge akiwa ni Spika. Akimaliza kama ni hotuba anaondoka. Rais hajiandikishi kwenye mahudhurio, hayumo kwenye kamati za Bunge wala hachangii lolote ndani ya Bunge.
Hiyo ibara haimpi rais mamlaka ya kutunga sheria wala kupitisha bajeti ya serkali yake. Akifanya hivyo amevunja katiba ya nchi( na si ya mamako). Mambo yote yanayolalamikiwa kayafanya pasipo baraka za Bunge. Hapa sio baraka za ilani ya uchaguzi ya CCM ( M. Njemba) wala za baraza la mawaziri. Hapa ni Bunge tu. Hilo watu wenye akili zetu timamu ndilo tunaongelea. Kama na hapa hujaelewa, basi tena. Kuna mithali: mtwange mpumbavu na mchi kinuni bado atatoka na upumbavu wake! Yarabi.
 
Hahahahaha
 
Wewe huna lolote mwanasiasa uchwara tu. Vipi Accacia wako wapi?
 
Wewe hujui kitu waache wanaojua wachangie kafanye home work kijana!
 
Msisahau ya kwambaa mwaka 2020 ndio mwaka wa kutubuu...mimi namuomba Mungu sanaa wale watu wanaona kuwa watanzania ni wajingaa sana basi ujinga wao mwaka huu utaoneka sanaa

2020 msisahau kutubu dhambii zenu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ingine ya bunge ni kutunga sheria. Kwa hiyo Rais anaweza kutunga sheria akiwa kavaa kofia ya bunge halafu akaipitisha akiwa kavaa kofia ya Urais?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…