Jidondofila
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 286
- 105
Don't argue with a fool... Fool hapa haimaanishi mjinga bali mpumbavu. Shule alienda kusoma ujinga! Balaa kubwa sana. Unataja ibara ya katiba kujifurahisha! Soma basi uelewe. Muswada unaletwa na rais bungeni. Bunge likiupitisha, rais anausaini na hapo ndipo tu unakuwa sheria. Rais analeta bajeti bungeni. Bunge linaweza kuipitisha au likakataa. Rais hatoi muswada na kuusaini kuwa sheria pasipo Bunge. Rais hatayarishi bajeti na kuanza kuitekeleza bila ya ridhaa ya Bunge.
Jidondofila, hayo maelezo ni kwa ajili ya chekechea. Nimelazimika kuyatoa kwako kwa kuwa wewe ni mpumbavu. Ulienda shule kujua KKK tu bila kuongeza maarifa. Awamu ya 5 wanasaini miswada pasipo Bunge. Hivyo matamko lukuki bila sheria. Wanaanzisha miradi bila baraka za Bunge. Wananunua ndege bila kibali cha Bunge. Halafu anakuja mpumbavu wa jina lako na kuuliza katiba imevunjwa wapi? Pathetic!
Bungua .Bungua na Bungua ...umeandika insha nzuri isiokua na hata msingi wa kuegemea....ibara ya 62(1) ipo wazi bunge nguzo zake ni 2 Rais na wabunge...toa ibara ibara katika katiba ya mama yako ambayo ambayo inasema bunge ni wabunge pekee..Upumbavu wa hali ya juu unauonyesha..wewe na wapumbavu wenzio mnadhani bunge ni wabunge pekee.