Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

Wakati huo hilo bunge la akina Mbowe lilikuwa wapi?!
 
Mkuu una mantiki lakini, sasa tuanzishe hashstag ya Hatudanganyiki
 

NI wazi basi neno "Bunge" likitamkwa na raisi Magufuli linakuwa na subjectivity. Linaweza kumaanisha Ndugai, Tulia au yeye mwenyewe Rais, na mara chache Bunge kama tunavyolifahamu sisi.

Lakini hawa watu wanafiki sana, hebu rejea hii thread;

 
Mkuu Zitto niliku PM tangia mwezi huu January mwanzoni nikupe huu mkasa ukazingua.

Nilitaka nikupe mikasa ya mawaziri wanne akiwemo Kangi yani serikali ya Magufuli imeoza mpaka mwisho. Sema kwakuwa uliniona yanki ukadharau ila nilitaka nikupe uiweke hadharani.

Kutokana na position niliyo nayo naona mengi na siyafurahii kabisa ila pia nikiyaweka humu nina uhakika nitakamatwa ila kiukweli uozo ni mkubwa kuliko kawaida.
 
Mkuu usisahau kuna utaratibu wa Executive Order; inawezekana mengine yalipitia utaratibu huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…