johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wakati huo hilo bunge la akina Mbowe lilikuwa wapi?!Rais aliagiza kujengwa kwa Uwanja wa Ndege wa Chato wakati hapakuwa na Bajeti iliyopitishwa na Bunge na kazi kutolewa kwa Kampuni ambayo ina mahusiano na Rais na inasemekana ni kampuni yake bila Zabuni yenye ushindani. Kampuni hiyo ni Mayanga Construction Limited #HATUDANGANYIKI.