Zitto Kabwe: Tangu lini Rais anaheshimu Bunge? Kosa la Lugola ni kufanya dili kwa kumzunguka Rais, hoja ya Bunge ni kisingizio tu

Naye huyu bado yupo.Dili za NSSF hazipo tena kaa kimya!!!ulivyokuwa unakula na magl hatukusema
 
Zitto ndio hajui!

Yeye Zitto na Waziri hana tofauti yoyote labda anazidiwa marupurupu tu........team Kangi vs team Musiba!
Zamani nilikuwa nawafahamu watu wa Musoma kama wenye akili, wananaojiamini na hawajikombikombi kwa mtu .... Mpaka nilipokuja kuwafahamu hawa wawili, Lugola na Msiba.
 
Duh! Aisee wewe ni bonge la kiazi. Hiyo umeitoa nchi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Chakaza we upo nchi gani...Ibara ya37 ya katiba ya Tz...ipo wazi
37,(1) mbali Na kuzingatia mashart yaliyomo katika katiba hii,na sheria za jamuhuri ya muungano katika utendaji wa kazi na shughuli sake,Rais atakua huru na hatalazimika kufuata ushauri atakaopewa na mtu yoyote isipokua tu pale anapotakiwa Na katiba hii
 
S

siwezi bishana na mtu ambaye upo malinyi lakini akili yako inashikiliwa lumumba(praise team)
Zitaje hizo dharura na sheria inazozibainisha dharura hizo...bwege wewe unakurupuka wakati huna kitu chochote kichwani
 
Kabla ya kuliangazia hili, tufahamu wigo Wa majukumu ya waziri Wa mambo ya ndani na mamlaka ya raisi na uraisi kama kiongozi Mkuu Wa nchi.

Wote wana Mamlaka ila yasio lingana na wote wana simamiwa na Katiba ya Nchi ktk kutekeleza Majukumu yao.Hata Jeshi la Polis wakati mwingine ktk Hali flani wana ruhusiwa na Sheria kuvunja baadhi ya Sheria ili kutekeleza Majukumu yao lakini kwa Utaratibu flani.Hiyo yote ni kutambua Hali ya kibinadamu ,hivyo usimfanye Rais kama malaika.
 
Rais anaweza kuvunja sheria na taratibu zote bila kushitakiwa wala kuguswa na jinai.

Katiba hiyo.
 
Wananchi wa Tanzania
Ujenzi wa Chato unafadhiliwa na serikali ya China. Marais wote wa Africa wanajengewa home town zao mara tu wakiingia madarakani. Hii financing ni reciprocal. Rais wote wamejengewa na wengine hupewa fedha.
 
Zito wewe umeshindwa kufanya hats uchambuzi wa ibara ya 62 (1) ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania.Bunge lina sehemu 2,yaani Wabunge na Rais.Jpm alipomwambia lugola hakulishirikisha bunge alikusudia upande wake na sio wabunge...na ndio sababu alimwambia aliestahiki kusain mkataba huo ni waziri wa fedha.
 
Elewa nilichoandika kabla ya kupost
 
Kwa kusema hivyo ,hakukuwa na Sababu ya kuwepo kwa Mihimili mingine.Umeongea Jambo la Ujinga kabisa Mkuu.
Muhimili upi wewe ?tafsiri ya bunge nenda ibara ya 62(1),Bunge lina sehemu 2, Rais na Wabunge
 

Umesha jiuliza hicho kipengele Mstari wa mwisho nna Nukuu "isipokuwa tu pale anapo takiwa na Katiba hii" tayari amewekewa utaratibu wa kuufuata ki'Katiba !?.Usisome Katiba kama unavyo soma Magazeti ,kila Maneno yanayo Maana,ni kwa Sababu tu Afrika hatu heshimu (Katiba) hata ule utaratibu tulio jiwekea.
 
Wapi katiba inaposema raisi wa nchi yupo juu ya katiba. Acha umbumbu wewe kama umeenda shule lazima ikusaidie. Usiwe kipofu kwa sababu magufuli ni msukuma mwenzio
Elewa kwanza ndipo upost weweee, alafu unajifanya umesoma. Ndo tatizo la ninyi mnaojifanya mmesoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…