Kwa hyo wizara sio taasis?WHAT A FOOLISH FOOLRais ni taasisi na Lugola ni mtu.. Umeelewa Zitto? Kamwe milele yote huwezi mlinganisha Rais na mtu yeyote yule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hyo wizara sio taasis?WHAT A FOOLISH FOOLRais ni taasisi na Lugola ni mtu.. Umeelewa Zitto? Kamwe milele yote huwezi mlinganisha Rais na mtu yeyote yule.
Naye huyu bado yupo.Dili za NSSF hazipo tena kaa kimya!!!ulivyokuwa unakula na magl hatukusemaRais Magufuli anasema Kangi Lugola na wenzake wamesaini Mkataba bila ruhusa ya Bunge. Hii ndio standard? Mkataba Gani? Mbona kama hiyo ndio standard wengi hawapaswi kuwepo ofisini hata yeye mwenyewe.
Ujenzi wa Chato Airport Shs 69 bilioni haukupitishwa na BUNGE
Ununuzi wa Helkopta 13 USD 200m za kumlinda yeye Rais haukupitishwa na Bunge
Mkataba wa SGR haukupitishwa na Bunge, Shs 5 Trilioni
Mkataba wa passport mpya haukupitishwa na BUNGE, shs 230 bilioni
Ununuzi wa ndege haukupitishwa na BUNGE, 1.5 Trilioni. Juzi Serikali imesaini Mkataba na Boeing kununua ndege ya pili ya Dreamliner kwa Mkopo ( lease purchase) BILA RUHUSA YA BUNGE wala huo mkopo haumo kwenye mikopo iliyoruhusiwa na BUNGE
Mkataba wa Barrick haukupitishwa na BUNGE
Rais aliidhinisha Fedha Shs 600 bilioni kutoka Benki Kuu ili kununua Korosho zilizoleta hasara ya USD 500m ( Shs 1.2 Trilioni) bila idhini ya Bunge.
Tangu lini Rais anaheshimu Bunge?
Kuna jambo. SIO HILI AMESEMA Rais. Najua kosa la Kangi kafanya Dili kwa kumzunguka Rais. Rais amekasirika. Rafiki yangu Kangi hakujua kuwa hakuna DILI nchini bila mkono wa Rais. Hoja ya BUNGE ni kisingizio tu.
Sasa kama taasisi ya urais inafanya itakavyo, kuna haja gani ya kuwa na bunge?Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Zamani nilikuwa nawafahamu watu wa Musoma kama wenye akili, wananaojiamini na hawajikombikombi kwa mtu .... Mpaka nilipokuja kuwafahamu hawa wawili, Lugola na Msiba.Zitto ndio hajui!
Yeye Zitto na Waziri hana tofauti yoyote labda anazidiwa marupurupu tu........team Kangi vs team Musiba!
Kwa hiyo kuna Taasisi zinazoruhusiwa kuvunja sheria. Kama ingekuwa hivyo basi hakuna haja ya BungeRais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Kwamba kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri yetu Taasisi ya Urais ina ruhusa ya kutumia pesa za umma kwa namna yoyote na bila idhini ya Bunge? 😱Rais ni taasisi na Lugola ni mtu.. Umeelewa Zitto? Kamwe milele yote huwezi mlinganisha Rais na mtu yeyote yule.
Chakaza we upo nchi gani...Ibara ya37 ya katiba ya Tz...ipo wazi
Zitaje hizo dharura na sheria inazozibainisha dharura hizo...bwege wewe unakurupuka wakati huna kitu chochote kichwaniS
siwezi bishana na mtu ambaye upo malinyi lakini akili yako inashikiliwa lumumba(praise team)
Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Kabla ya kuliangazia hili, tufahamu wigo Wa majukumu ya waziri Wa mambo ya ndani na mamlaka ya raisi na uraisi kama kiongozi Mkuu Wa nchi.
Wananchi wa TanzaniaRais aliagiza kujengwa kwa Uwanja wa Ndege wa Chato wakati hapakuwa na Bajeti iliyopitishwa na Bunge na kazi kutolewa kwa Kampuni ambayo ina mahusiano na Rais na inasemekana ni kampuni yake bila Zabuni yenye ushindani. Kampuni hiyo ni Mayanga Construction Limited #HATUDANGANYIKI.
Kwahiyo tuhalalishe double standards?Rais ni taasisi na Waziri ni mtu. Zitto anakurupuka!
Zito wewe umeshindwa kufanya hats uchambuzi wa ibara ya 62 (1) ya katiba ya jamuhuri ya muungano wa tanzania.Bunge lina sehemu 2,yaani Wabunge na Rais.Jpm alipomwambia lugola hakulishirikisha bunge alikusudia upande wake na sio wabunge...na ndio sababu alimwambia aliestahiki kusain mkataba huo ni waziri wa fedha.Rais Magufuli anasema Kangi Lugola na wenzake wamesaini Mkataba bila ruhusa ya Bunge. Hii ndio standard? Mkataba Gani? Mbona kama hiyo ndio standard wengi hawapaswi kuwepo ofisini hata yeye mwenyewe.
Ujenzi wa Chato Airport Shs 69 bilioni haukupitishwa na BUNGE
Ununuzi wa Helkopta 13 USD 200m za kumlinda yeye Rais haukupitishwa na Bunge
Mkataba wa SGR haukupitishwa na Bunge, Shs 5 Trilioni
Mkataba wa passport mpya haukupitishwa na BUNGE, shs 230 bilioni
Ununuzi wa ndege haukupitishwa na BUNGE, 1.5 Trilioni. Juzi Serikali imesaini Mkataba na Boeing kununua ndege ya pili ya Dreamliner kwa Mkopo ( lease purchase) BILA RUHUSA YA BUNGE wala huo mkopo haumo kwenye mikopo iliyoruhusiwa na BUNGE
Mkataba wa Barrick haukupitishwa na BUNGE
Rais aliidhinisha Fedha Shs 600 bilioni kutoka Benki Kuu ili kununua Korosho zilizoleta hasara ya USD 500m ( Shs 1.2 Trilioni) bila idhini ya Bunge.
Tangu lini Rais anaheshimu Bunge?
Kuna jambo. SIO HILI AMESEMA Rais. Najua kosa la Kangi kafanya Dili kwa kumzunguka Rais. Rais amekasirika. Rafiki yangu Kangi hakujua kuwa hakuna DILI nchini bila mkono wa Rais. Hoja ya BUNGE ni kisingizio tu.
Wapi katiba inaposema raisi wa nchi yupo juu ya katiba. Acha umbumbu wewe kama umeenda shule lazima ikusaidie. Usiwe kipofu kwa sababu magufuli ni msukuma mwenzio
Elewa nilichoandika kabla ya kupostWote wana Mamlaka ila yasio lingana na wote wana simamiwa na Katiba ya Nchi ktk kutekeleza Majukumu yao.Hata Jeshi la Polis wakati mwingine ktk Hali flani wana ruhusiwa na Sheria kuvunja baadhi ya Sheria ili kutekeleza Majukumu yao lakini kwa Utaratibu flani.Hiyo yote ni kutambua Hali ya kibinadamu ,hivyo usimfanye Rais kama malaika.
Muhimili upi wewe ?tafsiri ya bunge nenda ibara ya 62(1),Bunge lina sehemu 2, Rais na WabungeKwa kusema hivyo ,hakukuwa na Sababu ya kuwepo kwa Mihimili mingine.Umeongea Jambo la Ujinga kabisa Mkuu.
Chakaza we upo nchi gani...Ibara ya37 ya katiba ya Tz...ipo wazi
37,(1) mbali Na kuzingatia mashart yaliyomo katika katiba hii,na sheria za jamuhuri ya muungano katika utendaji wa kazi na shughuli sake,Rais atakua huru na hatalazimika kufuata ushauri atakaopewa na mtu yoyote isipokua tu pale anapotakiwa Na katiba hii
Elewa kwanza ndipo upost weweee, alafu unajifanya umesoma. Ndo tatizo la ninyi mnaojifanya mmesoma.Wapi katiba inaposema raisi wa nchi yupo juu ya katiba. Acha umbumbu wewe kama umeenda shule lazima ikusaidie. Usiwe kipofu kwa sababu magufuli ni msukuma mwenzio