ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #141
Punguani,Nchi hii Ina makapu mengi Kupitia kile kinachoitwa Mambo ya Muungano.Onyesha katika hilo kapu la mapato ni kiasi gani kiliingizwa kutoka Zanzibar.
Hata hiyo 2% wanayopewa hawakustahiki.
Kwa hiyo ulitaja 50% kwa 50% sioZitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
Hivi unasoma kweli hata hizi taarifa unazo share?Punguani,Nchi hii Ina makapu mengi Kupitia kile kinachoitwa Mambo ya Muungano.
Mojawapo ya vyanzo ni TRA
YesKwa hiyo ulitaja 50% kwa 50% sio
Wewe ulitaka kujua mchango wa Zanzibar,Rudi usome hapo TRA inakusanya hela kutoka Zanzibar,angalia mwisho huko utaona.Hivi unasoma kweli hata hizi taarifa unazo share?
Au unaelewa unachoulizwa? Haya rudi usome upya nilichosndika, halafu tumia hiyo document uliyo share ku react kwenye nilichoandika.
Kwa hiyo ameangalia mapato tu, tena anaonesha tunawanyonya Zanzibar. Ila anataka wazanzibar ndiyo walalamike sio?Alichoongea ni nini kama sio ratio?
CHADEMA Ni wa kweli hawahubiri mgawanyiko wala chuki, wewe na Wapuuzi wachache kama ZZK ni wanafiki.Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
Kwenye hiyo 100% ngapi inachangiwa na Mapato ghafi toka Zanzibar?Zanzibar inajitegemea Kwa Mapato yake ,kinachotoka Bara kwenda huko ni 2% tuu na wakati Bara mnakomba 98% ya Mapato yanayotokana na Muungano zikiwemo zaidi ya Bilioni 400 ambazo TRA anakusanya Bado taasisi zingine kama uhamiaji ,Utalii nk.
Kwa masilahi ya ccm, andaa pasport kuingia zanzibarZitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
Soma madaKwenye hiyo 100% ngapi inachangiwa na Mapato ghafi toka Zanzibar?
Yaani Zanzibar kabla ya kuchukua 2% wao wameingiza nini ndani ya kapu la Muungano?
Tanzania Bara=TanganyikaCHADEMA Ni wa kweli hawahubiri mgawanyiko wala chuki, wewe na Wapuuzi wachache kama ZZK ni wanafiki.
Tanganyika ni nchi gani? Iko wapi?
Tuambie jumla ya mapato ya Muungano yanakusanywaje? Je mapato ya ZRA na ZPA Yananingia kwenye kapu la Muungano?
Unaposema mapato ya muungano ni yapi yataje yooote kwanza, Tuanzie hapo.
zito ni mbumbumbu atuambie kazi ya ZRA. na kwenye ZRA tanganyika inapata mgawo kiasi ganiAnaongelea TRA ilhali anafahamu fika kuwa Zanzibar wana mamlaka yao ya mapato ZRA, ambayo Zanzbar inatumia mapato yake yote kwa 100%
Kama suala la mapato ni la Muungano, ZRA ni ya kazi gani Zenji? Si iwe tu hiyohiyo TRA...!!?
Kumbe kweli Zitto ni "mpumbavu"
Tanzania Bara ≠Tanganyika.Tanzania Bara=Tanganyika
unaijua ZRA wewe tuambie tanganyika tunapata % ngapiZito huwa yuko makini sana, huchagua angel moja muhimu na kuielezea kifasaha sana kwa lugha rahisi, ya busara na ya staha sana.....
sasa sikilizia mamluki wa kibaraka, kwanza watachangamka kidogo, japo watakua wamechanganyikiwa vibaya zaidi 🐒
Sasa hapo Zanzibar inaibiwa na kupunjwaTanzania Bara ≠Tanganyika.
Tanzania = Tanganyika+Zanzibar
Mpate kipi kutoka ZRA wakati hawakusanyi haya Senti huku Bara? TRA inakusanya pesa Zanzibar Kwa nini?unaijua ZRA wewe tuambie tanganyika tunapata % ngapi
Zanzibar Wana bodi Yao ya Kodi wanachokusanya Zanzibar ni Chao tu hawakileti Tanzania bara
Anaongelea TRA ilhali anafahamu fika kuwa Zanzibar wana mamlaka yao ya mapato ZRA, ambayo Zanzbar inatumia mapato yake yote kwa 100%
Kama suala la mapato ni la Muungano, ZRA ni ya kazi gani Zenji? Si iwe tu hiyohiyo TRA...!!?
Kumbe kweli Zitto ni "mpumbavu"
Onyesha hiyo 20% ulikoitoa maana hiyo hoja ndio Zito kaioinga hapo Juu Kwa kusema ni 4.5% only.
Pili mbona huzungumzii hoja yake ya kwanza?
Msitafute excuses TRA peke yake inakusanya zaidi ya Bilioni 400 kutoka Zanzibar hapo sijataja taasisi zingine za Muungano mfano Uhamiaji nk.