Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu

Onyesha katika hilo kapu la mapato ni kiasi gani kiliingizwa kutoka Zanzibar.
Hata hiyo 2% wanayopewa hawakustahiki.
Punguani,Nchi hii Ina makapu mengi Kupitia kile kinachoitwa Mambo ya Muungano.

Mojawapo ya vyanzo ni TRA
 
Attachments

Huyu kilaza ndio aliahidiwa uwaziri wa fedha na Kikwete, Zanzibar haijachangia kiendesha serikari ya muungano kwa zaidi ya miaka 55 ya muungano.
Hizo takwimu kapewa na wakina Jusa, hajaeleza katika mapato ya muungano Bara inakusanya asilimia ngapi na Zanzibar inakusanya asilimia ngapi.
Hawa ndio wale utasikia wamepewa. PhD kwa maandiko yasiyoeleweka.
 
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.

Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.

Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19

Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?

Kwa hiyo ulitaja 50% kwa 50% sio
 
Punguani,Nchi hii Ina makapu mengi Kupitia kile kinachoitwa Mambo ya Muungano.

Mojawapo ya vyanzo ni TRA
Hivi unasoma kweli hata hizi taarifa unazo share?
Au unaelewa unachoulizwa? Haya rudi usome upya nilichosndika, halafu tumia hiyo document uliyo share ku react kwenye nilichoandika.
 
Wewe ulitaka kujua mchango wa Zanzibar,Rudi usome hapo TRA inakusanya hela kutoka Zanzibar,angalia mwisho huko utaona.

Sijawahi kurupuka
 
Alichoongea ni nini kama sio ratio?
Kwa hiyo ameangalia mapato tu, tena anaonesha tunawanyonya Zanzibar. Ila anataka wazanzibar ndiyo walalamike sio?

Zito amekuwa hana akili tu, sorry to say. Hivi leo mtu mgeni aje kuwa analala kwako kisa tu unampa mapato kidogo, lakin yeye ndjye mwenye mamlaka ya kila kitu hapo nyumbani kwako.

Hoja zipo nyingi kuanzia za kisiasa hadi kiuchumi. Tusipepese macho ama tuwe na nchi moja tu ama nchi 2 tukawa na serikali tatu.

Hata Zanzibar watafurahi kuchagua viongozi wao wenyewe huko kisiwandui na sio dodoma
 
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.

Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.

Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19

Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?

CHADEMA Ni wa kweli hawahubiri mgawanyiko wala chuki, wewe na Wapuuzi wachache kama ZZK ni wanafiki.
Tanganyika ni nchi gani? Iko wapi?
Tuambie jumla ya mapato ya Muungano yanakusanywaje? Je mapato ya ZRA na ZPA Yananingia kwenye kapu la Muungano?
Unaposema mapato ya muungano ni yapi yataje yooote kwanza, Tuanzie hapo.
 
Zanzibar inajitegemea Kwa Mapato yake ,kinachotoka Bara kwenda huko ni 2% tuu na wakati Bara mnakomba 98% ya Mapato yanayotokana na Muungano zikiwemo zaidi ya Bilioni 400 ambazo TRA anakusanya Bado taasisi zingine kama uhamiaji ,Utalii nk.
Kwenye hiyo 100% ngapi inachangiwa na Mapato ghafi toka Zanzibar?
Yaani Zanzibar kabla ya kuchukua 2% wao wameingiza nini ndani ya kapu la Muungano?
 
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.

Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.

Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19

Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?

Kwa masilahi ya ccm, andaa pasport kuingia zanzibar
 
CHADEMA Ni wa kweli hawahubiri mgawanyiko wala chuki, wewe na Wapuuzi wachache kama ZZK ni wanafiki.
Tanganyika ni nchi gani? Iko wapi?
Tuambie jumla ya mapato ya Muungano yanakusanywaje? Je mapato ya ZRA na ZPA Yananingia kwenye kapu la Muungano?
Unaposema mapato ya muungano ni yapi yataje yooote kwanza, Tuanzie hapo.
Tanzania Bara=Tanganyika
 
Anaongelea TRA ilhali anafahamu fika kuwa Zanzibar wana mamlaka yao ya mapato ZRA, ambayo Zanzbar inatumia mapato yake yote kwa 100%

Kama suala la mapato ni la Muungano, ZRA ni ya kazi gani Zenji? Si iwe tu hiyohiyo TRA...!!?

Kumbe kweli Zitto ni "mpumbavu"
zito ni mbumbumbu atuambie kazi ya ZRA. na kwenye ZRA tanganyika inapata mgawo kiasi gani
 
Zito huwa yuko makini sana, huchagua angel moja muhimu na kuielezea kifasaha sana kwa lugha rahisi, ya busara na ya staha sana.....

sasa sikilizia mamluki wa kibaraka, kwanza watachangamka kidogo, japo watakua wamechanganyikiwa vibaya zaidi 🐒
unaijua ZRA wewe tuambie tanganyika tunapata % ngapi
 
Zanzibar Wana bodi Yao ya Kodi wanachokusanya Zanzibar ni Chao tu hawakileti Tanzania bara

Anaongelea TRA ilhali anafahamu fika kuwa Zanzibar wana mamlaka yao ya mapato ZRA, ambayo Zanzbar inatumia mapato yake yote kwa 100%

Kama suala la mapato ni la Muungano, ZRA ni ya kazi gani Zenji? Si iwe tu hiyohiyo TRA...!!?

Kumbe kweli Zitto ni "mpumbavu"

ZRA inakusanya mapato kwa mambo yasiyo ya muungano tu, masula yote ya Muungano TRA ndio wanakusanya
 
Onyesha hiyo 20% ulikoitoa maana hiyo hoja ndio Zito kaioinga hapo Juu Kwa kusema ni 4.5% only.

Pili mbona huzungumzii hoja yake ya kwanza?

Msitafute excuses TRA peke yake inakusanya zaidi ya Bilioni 400 kutoka Zanzibar hapo sijataja taasisi zingine za Muungano mfano Uhamiaji nk.

Bado kuna na tozo mkuu, Watumiaji wa mitandao wote zanzibar wanakatwa tozo na Jamhuri, Mitandao ya simu, ma bank, yote yana operate zanzibar huku kodi zao wakiwa wanalipa Bara. watalii wote wanaokwenda zanzibar hela ya visa inaingia kwa Jamhuri.
 
Back
Top Bottom