Zitto Kabwe: Tanzania Bara (Tanganyika) inachukua 98% ya Mapato yote ya Muungano, Zanzibar inaambulia 2% tu

Wakati huo, Zanzibar wanachukua mapato ghafi ya Tanganyika ambayo siyo ya kimuungano, wanachukua umeme wetu bure bila hata kulipa chochote, wanamiliki ardhi zetu bure bila kulipia, huku wanadeka kama vile vi lastborn vya nchi...

Solution ya kudumu ni kuunda serikali moja
 
Anaongelea TRA ilhali anafahamu fika kuwa Zanzibar wana mamlaka yao ya mapato ZRA, ambayo Zanzbar inatumia mapato yake yote kwa 100%

Kama suala la mapato ni la Muungano, ZRA ni ya kazi gani Zenji? Si iwe tu hiyohiyo TRA...!!?

Kumbe kweli Zitto ni "mpumbavu"
Wewe pia ni mpumbavu hiyo ZRA ipo kwa mujibu sheria za znz na katiba yao pole sana
 
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.

Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.

Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19

Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?

Hata kama haya anayoyasema Zitto ni ya kweli, hiyo siyo sababu ya Watanganyika kunyamazia kero za Muungano. Sana sana anaendelea kutuonyesha ni jinsi gani Muungano ulivyokuwa na mapungufu mengi.

Wazenji wanao wabunge 80 kwenye Bunge ambao ndiyo wanabariki hiyo bajeti ...... wadai mgao wao kutoka kwa Mwigulu. Ila wasitake tunyamaze kimya wakati wanauza Mbuga, Misitu na Bandari zetu kwa Waarabu kwa sababu hawapati mgao wao toka Tanaganyika.
 
Kama haya anayoyasema Ndugu Zitto,basi ni KWELI kuna TATIZO..ameongezea kwenye HOJA za Mh Lissu..na msingi TUKAE chini,tujadiliane kwa UWAZI n UKWELI huku tukitanguliza MBELE Mama Tanzania,
👌
 
Zito awaokote wasiojielewa.

Wale wasiojua:

Mikopo inachukuliwa na Tanganyika kwa jina la Tanzania. Na siku zote mkopaji ndiye anayedaiwa. Lakini kuanzia mwaka 2022 Zanzibar imekuwa ikipewa 20% ya mikopo hiyo huku Zanzibar ikiwa na watu 3% tu ya watu wote.

Kuanzia mwaka 2022, misaada ambayo imekuwa ikitolewa kwa Tanzania, Zanzibar imekuwa ikichukua 20% wakati idadi ya watu na ukubwa wa eneo la Zanzibar ni chini ya 4% ya nchi.

Makubaliano wakati wa Muungano, Zanzibar inastahili kupewa 8%, ambayo bado ilikuwa kubwa sana kulinganisha na kile wanachopata Tanganyika. Lakini sasa, kimya kimya imetoka kwenye 8% mpaka 20%. Wakati huo huo, bado kuna gharama nyingine kama umeme, Zanzibar imekuwa hailipii kwa maelezo kuwa mapato yake ni madogo!!
Alichomaniisha Zito ndio ukweli wenyewe hata kama watanganyika mutakasirika Muungano unawanufaisha zaidi watanganyika kuliko wazanzibari huo ndio ukweli pole sana
 
Ndio matajiri wa Bara hapa,punguzeni majungu na fitina pigeni kazi
Matajiri ni wapemba waarabu.
Generally tuseme waarabu,wazanzibari hawana hurka ya maendeleo,hawapendi kusoma na wanapenda umwinyi.
Zanzibar kama ingeachwa yenyewe ingebaki MASIKINI KUTUPWA.
Nenda Zanzibar halafu ukaone maisha yao.
Mtu anafanya kazi akishapata hela ya kula basi anarudi nyumbani kupumzika,elimu hawataki wanashikilia kusomeshana elimu ya majini tu.
 
Kwa hiyo siye Watanganyika tutaangamia Bila ya uwepo wa Zanzibar? (Yaani endapo ndoa hii ya kulazimishana itatenguliwa rasmi)
Hatutaangamia ila tutakuwa tumeachia fursa. Zanzibar ukiiacha chap kuna nchi itafunga nayo ndoa hata kama si kwa jina la muungano. Pana pesa pale. Pesa nzuri, pesa mingi. Nyerere hakuwa jinga.
 
Matajiri ni wapemba waarabu.
Generally tuseme waarabu,wazanzibari hawana hurka ya maendeleo,hawapendi kusoma na wanapenda umwinyi.
Zanzibar kama ingeachwa yenyewe ingebaki MASIKINI KUTUPWA.
Nenda Zanzibar halafu ukaone maisha yao.
Mtu anafanya kazi akishapata hela ya kula basi anarudi nyumbani kupumzika,elimu hawataki wanashikilia kusomeshana elimu ya majini tu.
Ndio hao hao Wazanzibar,Samia mnapiga majungu Kwa sababu ana Asili ya Arabuni.

Pigeni kazi acheni majungu ya kijinga nyie watu wa mashambani.
 
Bara inakusanya kiasi gani ?, Ina mahitaji kiasi gani ? Ina ukubwa kiasi gani ? Je ni sawa kwenda 50% / 50% bila kuangalia mahitaji na watu wa kuwahudumia ?
 
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.

Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.

Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19

Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?

Huyu uso fenesi, angetuambia Zanzibar inachangia kiasi gani katika pato la Taifa la Muungano, tungemuelwa.
 
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.

Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.

Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785636663323996254?t=s92jVBKH81hHu1XZDDDIwg&s=19

My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1785629244741005525?t=aa-cd8j2wSKWNuS9EY_8Dw&s=19

Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?

Weka hoja zako badala ya vitisho.
Zanzibar inayo mamlaka yake inayokusanya kodi.
 
Ndio hao hao Wazanzibar,Samia mnapiga majungu Kwa sababu ana Asili ya Arabuni.

Pigeni kazi acheni majungu ya kijinga nyie watu wa mashambani.
Wazanzibari wana kipi we jamaa!?
Hivi umefika Pemba na Unguja!?
Umeona wale jamaa walivyo nyuma kwa exposure na utendaji!?
Samia ana nini bwana wewe!?
Hata dada yangu angeongoza vema kuliko Samia Suluhu Hassa.
Hiyo Zanzibar iliyopiga angalau hatua kidogo ni kwasababu ya wanyamwezi na wasukuma waliolowea huko Unguja.
 
Wakati huo, Zanzibar wanachukua mapato ghafi ya Tanganyika ambayo siyo ya kimuungano, wanachukua umeme wetu bure bila hata kulipa chochote, wanamiliki ardhi zetu bure bila kulipia, huku wanadeka kama vile vi lastborn vya nchi...

Solution ya kudumu ni kuunda serikali moja
Ule uwe mkoa tu maana sisi waTanganyika hatuna mpango wa kuiacha ile ardhi na bahari yake. Ule ni urithi wa baba Nyerere na Karume hauuzwi. Akitokea mtoto anataka kuuza tunamvamia kama nyuki wanavyovamia mvuna asali.
 
Alichomaniisha Zito ndio ukweli wenyewe hata kama watanganyika mutakasirika Muungano unawanufaisha zaidi watanganyika kuliko wazanzibari huo ndio ukweli pole sana
Huu Muungano unawabeba sana wapemba.
Zanzibar ni visiwa vya watu wenye asili ya uvivu na ujinga.
Kupiga hatua kwa Tanganyika kumewaokoa sana hawa jamaa.
Hata huyu Bakhresa kwanini hajawekeza Zanzibar na akawekeza Tanganyika!?
Ulishawahi kujiuliza hilo!?
Kwanini hao wenyewe huja kuwekeza huku bara na sio huko kwao visiwani!?
Tanganyika kuna room of adjustment ambayo huwezi ikuta visiwani.
Embu tembeeni ninyi jamaa mkaone hiyo Zanzibar.
 
Zanzibar inajitegemea Kwa Mapato yake ,kinachotoka Bara kwenda huko ni 2% tuu na wakati Bara mnakomba 98% ya Mapato yanayotokana na Muungano zikiwemo zaidi ya Bilioni 400 ambazo TRA anakusanya Bado taasisi zingine kama uhamiaji ,Utalii nk.
Onyesha katika hilo kapu la mapato ni kiasi gani kiliingizwa kutoka Zanzibar.
Hata hiyo 2% wanayopewa hawakustahiki.
 
Back
Top Bottom