Kwenye pato la muungano Zanzibar inachangia % ngapi na Bara wanachangia % ngapi? jibu kwanza kabla ya kukimbilia kwenye porojo za wanasiasa. Zitto ni mchumi so nina uhakika anaujua ukweli ila anatafuta kiki tuAlichoongea ni nini kama sio ratio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye pato la muungano Zanzibar inachangia % ngapi na Bara wanachangia % ngapi? jibu kwanza kabla ya kukimbilia kwenye porojo za wanasiasa. Zitto ni mchumi so nina uhakika anaujua ukweli ila anatafuta kiki tuAlichoongea ni nini kama sio ratio?
siyo kama somalia? maana somalia Kuna watu walifukua makaburi ya wamisioni.Zenji shikilieni hapo , mkiwa wachache mtaishi kama Botswana.
DuuuhAnaongelea TRA ilhali anafahamu fika kuwa Zanzibar wana mamlaka yao ya mapato ZRA, ambayo Zanzbar inatumia mapato yake yote kwa 100%
Kama suala la mapato ni la Muungano, ZRA ni ya kazi gani Zenji? Si iwe tu hiyohiyo TRA...!!?
Kumbe kweli Zitto ni "mpumbavu"
kwenye kundi la wahuni huyo hawezi kosa.Kwenye pato la muungano Zanzibar inachangia % ngapi na Bara wanachangia % ngapi? jibu kwanza kabla ya kukimbilia kwenye porojo za wanasiasa. Zitto ni mchumi so nina uhakika anaujua ukweli ila anatafuta kiki tu
Wajinga sana hao mkuu.Kaka leo umenifungua macho! kumbe ndio maana 'wadau' wakaamua katika utawala huu wa MAMA, tujitahidi kuwapa taugh WAZENJ angalau na wao wasogee ili twende kwa umoja wetu! Hatuwezi kuwa na watu ndani ya nchi yetu wenye hali mbaya kama unayoisema, halafu tukabaki salama!
Naunga mkono hoja ya Tito Tanzania bara inachuwa mapato mengi kuliko Zanzibar wanaopaswa kulalamika ni Wa-Zanzibar sio WA-Tanganyika.
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
=======
MAPATO KARIBU YOTE YA MUUNGANO HUCHUKULIWA NA TANZANIA BARA - ZITTO
Zitto Kabwe amesema Mapato yote ya Muungano kutoka mambo ya muungano, Zanzibar inatumia 2% tu, wakati Tanganyika inatumia 98%. Ziada ya mapato ya Muungano ukiondoa matumizi ya muungano yote inachukuliwa na Tanganyika," Zitto Kabwe
Pia ameeleza kuwa Zanzibar wanapata 4.5% tu ya mikopo na misaada ya kimataifa kutoka nje. Zanzibar inaidai Serikali ya Muungano matrilioni ya fedha ambazo hawapati kama mgawo wao. Ukweli ni kwamba hata mtaji wa kuanzisha Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zilitumika fedha za Zanzibar
========
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
Mfanyakazi Online Media
Yani check ulivyokuwa hauna hoja, umebaki kusema mbumbu...😂😂Kwa hiyo wewe na hiyo elimu yako unafananisha Zanzibar na temeke? Pole sana wewe kweli ni mbumbumbu
Anabisha nini huyo!?Yani check ulivyokuwa hauna hoja, umebaki kusema mbumbu...😂😂
Ukiona elimu ni gharama ,jaribu ujinga...Banza hakukosea...
0%Zanzibar inachangia kiasi Gani kwenye bajeti ya mambo ya muungano?
Nawaomba Data za Makusanyo ya Zanzibar,na uchangiaji wake katika pato la Taifa....Anabisha nini huyo!?
Temeke na Zanzibar hazina tofauti sana kama anabisha alete uthibitisho sio kutukana tu.
Hajielewi huyo.Nawaomba Data za Makusanyo ya Zanzibar,na uchangiaji wake katika pato la Taifa....
Halafu aje alinganishe na mapato ya manispaa ya Temeke, manispaa yenye Bandari kubwa Tanzania....anabaki kutukana tu hapa...
Hana data kazi kutukana....
Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa mojawapo ya Changamoto za Muungano Kwa miaka Mingi.
Aidha Kwa wale msiojua TRA inakusanya zaidi ya Bilioni 400 Kila mwaka kutoka Zanzibar ambazo Kwa sehemu kubwa zinatumika Bara.
=======
MAPATO KARIBU YOTE YA MUUNGANO HUCHUKULIWA NA TANZANIA BARA - ZITTO
Zitto Kabwe amesema Mapato yote ya Muungano kutoka mambo ya muungano, Zanzibar inatumia 2% tu, wakati Tanganyika inatumia 98%. Ziada ya mapato ya Muungano ukiondoa matumizi ya muungano yote inachukuliwa na Tanganyika," Zitto Kabwe
Pia ameeleza kuwa Zanzibar wanapata 4.5% tu ya mikopo na misaada ya kimataifa kutoka nje. Zanzibar inaidai Serikali ya Muungano matrilioni ya fedha ambazo hawapati kama mgawo wao. Ukweli ni kwamba hata mtaji wa kuanzisha Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zilitumika fedha za Zanzibar
========
My Take
Naunga mkono hoja ya Zito, Wazanzibar ndio wanapaswa kulaumu na kulalamika kuhusu Muungano kwamba wanapunjwa na sio Tanzania Bara kama wanavyodanganywa na kina Lissu.
Unajaribu kujiuliza, Chadema na Lisu wake na kina Mbowe wanahubiri Mgawanyiko,chuki na Utengano wa Tanzania Kwa maslahi ya nani hasa?
Mfanyakazi Online Media
kwahiyo ulitaka na zanzibar wapate wakati wana rais na serikali yao? na ratial yake je? chukua watanganyika 58m ongeza wazenji 2m gawanya kwa kila mtu uone kama hautapata hiyo ratio, kwanza wanapata kingi sana.Mikopo/miradi inayofadhiliwa na world bank inayokuja kwa jina la Tanzania ,inaweza ikawa donor fund project, n.k kwa kuwa Zanzibar na Tanganyika ni nchi moja ambayo ni Tz
zitto junior uje ujibu swali hukuYeye akiwa Rais atawagawanya bara sawa kwa sawa na visiwani. Je Ratio ya mapato bara na visiwani yakoje?
We jamaa bwana.Hivi mnajua Zanzibar zaidi ya asilimia 90 ya shehia zinafikika kwa lami? Yaani shehia ni mlinganisho wa kitongoji kwa huku bara...
Zote zile ni hela za bara, zile hela wakilalamika kdg wanapewa gawio...
Hivyo basi, Muungano haukomi, yaani hata kitokee nini, jasho letu lipo jingi sana huko , hamuwezi kutuchuna afu mje mvunje ndoa.
Wewe ni tahira.Wewe ni mbumbumbu