Zitto Kabwe tumia vizuri hii fursa ya CHADEMA kususia chaguzi zote nchini

Etwege

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
7,207
Reaction score
17,674
Wahenga walishasema siku zote adui yako muombee njaa, pia wakasema wakati wa shida ndiyo muda wa kujipatia fursa kwa wenye uelewa mkubwa.

Baada ya Chadema kupitia mwenyekiti wake kutangaza kususia chaguzi zote nchini ,hii ni fursa adhimu kwa chama cha ACT Wazalendo kujiimarisha na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini kufikia uchaguzi mkuu mwaka 2020.!

Ikumbukwe kuwa Zito Kabwe alifukuzwa kinyama Chadema baada ya kuhoji uenyekiti wa milele wa Mbowe ,hivyo hana sababu yoyote ya kuwaonea huruma wala kuungana na Chadema katika kipindi hiki kigumu wanachopitia.

Wazalendo na wapenda mabadiliko wa nchi yetu wanatuma salamu kwa Zito Kabwe na kumwambia kuwa nyota ya mafanikio kwake sasa inawaka na nyota ya chadema inazima rasmi.

Zito Kabwe huko uliko anza kushangilia na kuwazomea wabaya wako Chadema huku ukijiimarisha kisiasa na ukijiandaa kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mwaka 2020. Ikumbukwe kuwa hamna aliyewahi kushindana na Zito Kabwe alafu akabaki salama, kususia chaguzi zote ndiyo kifo na mwisho wa Chadema.

Kwa heri ,Mbowe ,kwa heri Chadema na karibu ACT Wazalendo na karibu Zito Kabwe kama kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni.
 
Wahenga walishasema siku zote adui yako muombee njaa, pia wakasema wakati wa shida ndiyo muda wa kujipatia fursa kwa wenye uelewa mkubwa.

Baada ya Chadema kupitia mwenyekiti wake kutangaza kususia chaguzi zote nchini ,hii ni fursa adhimu kwa chama cha ACT Wazalendo kujiimarisha na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini kufikia uchaguzi mkuu mwaka 2020.!

Ikumbukwe kuwa Zito Kabwe alifukuzwa kinyama Chadema baada ya kuhoji uenyekiti wa milele wa Mbowe ,hivyo hana sababu yoyote ya kuwaonea huruma wala kuungana na Chadema katika kipindi hiki kigumu wanachopitia .

Wazalendo na wapenda mabadiliko wa nchi yetu wanatuma salamu kwa Zito Kabwe na kumwambia kuwa nyota ya mafanikio kwake sasa inawaka na nyota ya chadema inazima rasmi.

Zito Kabwe huko uliko anza kushangilia na kuwazomea wabaya wako Chadema huku ukijiimarisha kisiasa na ukijiandaa kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mwaka 2020.
Ikumbukwe kuwa hamna aliyewahi kushindana na Zito Kabwe alafu akabaki salama, kususia chaguzi zote ndiyo kifo na mwisho wa Chadema.

Kwa tume hii, aisee hebu acheni kumlisha maneno Mh. Zitto; ni mwanasiasa makini sana na anajua kipi kinachoendelea..
 
Wahenga walishasema siku zote adui yako muombee njaa, pia wakasema wakati wa shida ndiyo muda wa kujipatia fursa kwa wenye uelewa mkubwa.

Baada ya Chadema kupitia mwenyekiti wake kutangaza kususia chaguzi zote nchini ,hii ni fursa adhimu kwa chama cha ACT Wazalendo kujiimarisha na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini kufikia uchaguzi mkuu mwaka 2020.!

Ikumbukwe kuwa Zito Kabwe alifukuzwa kinyama Chadema baada ya kuhoji uenyekiti wa milele wa Mbowe ,hivyo hana sababu yoyote ya kuwaonea huruma wala kuungana na Chadema katika kipindi hiki kigumu wanachopitia .

Wazalendo na wapenda mabadiliko wa nchi yetu wanatuma salamu kwa Zito Kabwe na kumwambia kuwa nyota ya mafanikio kwake sasa inawaka na nyota ya chadema inazima rasmi.

Zito Kabwe huko uliko anza kushangilia na kuwazomea wabaya wako Chadema huku ukijiimarisha kisiasa na ukijiandaa kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mwaka 2020.
Ikumbukwe kuwa hamna aliyewahi kushindana na Zito Kabwe alafu akabaki salama, kususia chaguzi zote ndiyo kifo na mwisho wa Chadema.

Kwa heri ,Mbowe ,kwa heri Chadema na karibu ACT Wazalendo na karibu Zito Kabwe kama kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Sasa Zitto ndio atashinda katika wizi huu wa kimfumo wa kura
 
Nasikia Zitto kaandika yake huko facebook, ngoja nikasome kwenye ukurasa wake kwanza,halafu nitarudi ku comment
 
Wahenga walishasema siku zote adui yako muombee njaa, pia wakasema wakati wa shida ndiyo muda wa kujipatia fursa kwa wenye uelewa mkubwa.
Pole Sana kwako na kwa atakaepotea na kupokea ushauri toka kwako. Ungekuwa na hekima japo kidogo tu ingekusaidia kuacha kuhangaika mambo ya CDM. BADALA yake ungetumia muda wako kwa ufanisi zaidi kwa kuanza kwanza kuijenga CCM ili isimame dede bila kushikiliwa wala mbeleko maana umri wake umeenda.

Bila hivyo ndg yangu wakosa sifa za msingi za kufanya ushauri wako uthamaniwe. Chama chako bado hakijiwezi na ni tegemezi mzigo, wataka nao wadumae kama nyie? Ili nji hii iweje? Amen.
 
Wahenga walishasema siku zote adui yako muombee njaa, pia wakasema wakati wa shida ndiyo muda wa kujipatia fursa kwa wenye uelewa mkubwa.

Baada ya Chadema kupitia mwenyekiti wake kutangaza kususia chaguzi zote nchini ,hii ni fursa adhimu kwa chama cha ACT Wazalendo kujiimarisha na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini kufikia uchaguzi mkuu mwaka 2020.!

Ikumbukwe kuwa Zito Kabwe alifukuzwa kinyama Chadema baada ya kuhoji uenyekiti wa milele wa Mbowe ,hivyo hana sababu yoyote ya kuwaonea huruma wala kuungana na Chadema katika kipindi hiki kigumu wanachopitia .

Wazalendo na wapenda mabadiliko wa nchi yetu wanatuma salamu kwa Zito Kabwe na kumwambia kuwa nyota ya mafanikio kwake sasa inawaka na nyota ya chadema inazima rasmi.

Zito Kabwe huko uliko anza kushangilia na kuwazomea wabaya wako Chadema huku ukijiimarisha kisiasa na ukijiandaa kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mwaka 2020.
Ikumbukwe kuwa hamna aliyewahi kushindana na Zito Kabwe alafu akabaki salama, kususia chaguzi zote ndiyo kifo na mwisho wa Chadema.

Kwa heri ,Mbowe ,kwa heri Chadema na karibu ACT Wazalendo na karibu Zito Kabwe kama kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Zitto ana akili kuliko wewe hadanganyiki
 
Pole Sana kwako na kwa atakaepotea na kupokea ushauri toka kwako. Ungekuwa na hekima japo kidogo tu ingekusaidia kuacha kuhangaika mambo ya CDM. BADALA yake ungetumia muda wako kwa ufanisi zaidi kwa kuanza kwanza kuijenga CCM ili isimame dede bila kushikiliwa wala mbeleko maana umri wake umeenda.
Bila hivyo ndg yangu wakosa sifa za msingi za kufanya ushauri wako uthamaniwe.
Chama chako bado hakijiwezi na ni tegemezi mzigo, wataka nao wadumae kama nyie? Ili nji hii iweje? Amen.
Tulieni mnyolewe bila maji mmeyataka wenyewe
 
Wahenga walishasema siku zote adui yako muombee njaa, pia wakasema wakati wa shida ndiyo muda wa kujipatia fursa kwa wenye uelewa mkubwa.

Baada ya Chadema kupitia mwenyekiti wake kutangaza kususia chaguzi zote nchini ,hii ni fursa adhimu kwa chama cha ACT Wazalendo kujiimarisha na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini kufikia uchaguzi mkuu mwaka 2020.!

Ikumbukwe kuwa Zito Kabwe alifukuzwa kinyama Chadema baada ya kuhoji uenyekiti wa milele wa Mbowe ,hivyo hana sababu yoyote ya kuwaonea huruma wala kuungana na Chadema katika kipindi hiki kigumu wanachopitia .

Wazalendo na wapenda mabadiliko wa nchi yetu wanatuma salamu kwa Zito Kabwe na kumwambia kuwa nyota ya mafanikio kwake sasa inawaka na nyota ya chadema inazima rasmi.

Zito Kabwe huko uliko anza kushangilia na kuwazomea wabaya wako Chadema huku ukijiimarisha kisiasa na ukijiandaa kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mwaka 2020.
Ikumbukwe kuwa hamna aliyewahi kushindana na Zito Kabwe alafu akabaki salama, kususia chaguzi zote ndiyo kifo na mwisho wa Chadema.

Kwa heri ,Mbowe ,kwa heri Chadema na karibu ACT Wazalendo na karibu Zito Kabwe kama kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Ili ionekane wapinzani wameshiriki huo uchafu, bora umwambie vibaraka kina lipumba na mrema
 
Hamko tayari kushindana lakini mnataka kushinda.

CHADEMA kususia chaguzi inawauma sana CCM kwasababu ushindi mnautaka na bila CHADEMA kushiriki ushindi hamuuoni kama ushindi.

Wanataka kuonekana washindi dhidi ya CHADEMA lakini utayari wa kushindana nao bila kuwachezea rafu hawana!
 
Wahenga walishasema siku zote adui yako muombee njaa, pia wakasema wakati wa shida ndiyo muda wa kujipatia fursa kwa wenye uelewa mkubwa.

Baada ya Chadema kupitia mwenyekiti wake kutangaza kususia chaguzi zote nchini ,hii ni fursa adhimu kwa chama cha ACT Wazalendo kujiimarisha na kuwa chama kikuu cha upinzani nchini kufikia uchaguzi mkuu mwaka 2020.!

Ikumbukwe kuwa Zito Kabwe alifukuzwa kinyama Chadema baada ya kuhoji uenyekiti wa milele wa Mbowe ,hivyo hana sababu yoyote ya kuwaonea huruma wala kuungana na Chadema katika kipindi hiki kigumu wanachopitia .

Wazalendo na wapenda mabadiliko wa nchi yetu wanatuma salamu kwa Zito Kabwe na kumwambia kuwa nyota ya mafanikio kwake sasa inawaka na nyota ya chadema inazima rasmi.

Zito Kabwe huko uliko anza kushangilia na kuwazomea wabaya wako Chadema huku ukijiimarisha kisiasa na ukijiandaa kuwa kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni mwaka 2020.
Ikumbukwe kuwa hamna aliyewahi kushindana na Zito Kabwe alafu akabaki salama, kususia chaguzi zote ndiyo kifo na mwisho wa Chadema.

Kwa heri ,Mbowe ,kwa heri Chadema na karibu ACT Wazalendo na karibu Zito Kabwe kama kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni.
Duh!!! Jf INA mazwazwa kabisaa MTU akisusa ww bado unazo la kula wengne wanasusa wakigundua chakula kina sum we kula uone[emoji40] [emoji40]
simo katika siasa
 
Umeandika takataka tupu na pumba km kichwa chako kilivo!!

Back
Top Bottom