Zitto Kabwe tumia vizuri hii fursa ya CHADEMA kususia chaguzi zote nchini

It wont work ..........!!

Zitto siyo mjinga kiasi unachomfikiria.
 
Inapendeza.Karibu Zito.
Na waambieni CDM kuwa hatutaki tume huru ya Uchaguz
 
Baada ya kukosa wa kumla nyama mmeanza hata kufukua hadi marehemu ila mradi muonekane mnakubalika kwa kushindana na chama cha anna ngwila na yule katibu mkuu wa wizara ya maji
 
Kama sio bangi,basi utakuwa umenusa ugoro. sio kwa ujinga huo uliochaisha....rip 2u.
 
Kwa anayemfahamu, huyu mleta hoja hii ni mzima?

Kama hujui, Zito ana akili timamu. Huu ushauri ungemfaa Lipumbaa na Lyatonga.
 
Kwa anayemfahamu, huyu mleta hoja hii ni mzima?

Kama hujui, Zito ana akili timamu. Huu ushauri ungemfaa Lipumbaa na Lyatonga.
Kwa hiyo siku hizi Zito siyo msaliti tena ?

Kwa hiyo sasa hivi mnampenda hadi mnampa ushauri?

Chadema acheni unafiki
 
Mkuu zitto anajielewa nyie jitangazeni tu wala msitumie gharama za kuendesha uchaguzi
 
Ushauri mzuri. Tena akitumia na yale maujanjaujanja ya Kigoma aliyotaka kumfanyia Musiba, hakuna mtu atakayethubutu kumwiibia kura zake kwani ataota mapembe. Tena zao zitageuka kuwa zake kimauzauza!
 
Duniani kuna watu na viatu
 
haa haa. yaani washindwe chadema aweze zitto? haa haa. pokepole jana kampa dongo baya sana ziito
Kumbe wewe huelewi kitu, ccm watamshindisha zitto hata wabunge 3,ili ionekane kuna mfumo wa vyama vingi
 
Kumbe wewe huelewi kitu, ccm watamshindisha zitto hata wabunge 3,ili ionekane kuna mfumo wa vyama vingi
Hilo linawezekana kwa hakika.
Sasa sijui kama Zitto yupo tayari kulipokea!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…