Zitto Kabwe tumia vizuri hii fursa ya CHADEMA kususia chaguzi zote nchini

rabish
 
Labda tuanzie hapa,
1)Kuna umuhimu wa kuwa na demokrasia ya vyama vingi nchini?
2) Unaona manufaa gani kuwepo kwa CHADEMA au ACT?
3)Mambo wanayolalamikia Chadema je ACT wanayakubali au wanaona ni sawa?,na je wao watastawi katika hayo mazingira?,na kwa nini unafikiri wao watafanikiwa ktk mazingira yaliyowashinda wenzao?
 
Chadema hawataki kusema kweli kwamba hawana hela
 
Ushauri wako ni mzuuur lkn unasahau kwamba ACT ni cha cha upinzaniii kwaiyo Yale yanayosababisha CDM kususia uchaguzi yasipo rekebishwa ACT wataaangukia pua kama CDM kikubwa ni marekebisho yafanyike kwenye tume huru ya uchaguziiii
 
Kweli majina yanaumba....haya ndio madhara ya kuitwa Polepole ..... Thinking capacity iko chini sana .....khaaaa!!!!?
 
Yani reasoning zetu ziko chini sana kama wanafunzi wa darasa la saba duh!!!!!
Darasa la saba wanauelewa angalau kidogo...
Uwezo wake ni kama wa wanafunzi wa shule maalu ya matahila...(utindio wa ubongo)
 
Ushauri wako ni mzuuur lkn unasahau kwamba ACT ni cha cha upinzaniii kwaiyo Yale yanayosababisha CDM kususia uchaguzi yasipo rekebishwa ACT wataaangukia pua kama CDM kikubwa ni marekebisho yafanyike kwenye tume huru ya uchaguziiii
Chadema hawana hela za kushiriki uchaguzi ,sasa wamebuni kichaka cha tume huru.
 
Kuna mdau amesema huna tofauti na funza
 
Tunalo taifa la ajabu na watu wa ajabu sana aiseeeee, yani mtu kama ww ungekuwa ndg yangu aiseeeee ningekutoa kafara nipate mtaji wa biashara
Kwa mtu mwenye akili kama hizo huwa hana thamani kwenye kafara. Ukimtoa unaweza ukapata vitz used tu
 
ukonga shahada za kupigia kura mlinunua shilling 10000/. sheria ya takwimu imebadilishwa kwa kumzuia zitto asihoji hicho mnachoita kukua kwa uchumi. musiba alimtaja zitto kama mtu hatari. hayo mapenzi kwa zitto yanatoka wapi?
 
Tulieni jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…