sio lazima nikuelewe
Senior Member
- Sep 26, 2025
- 113
- 223
Yule kavuka level ya udalali, kwa sasa ni KAHABA WA KISIASA, ana magonjwa yote ya ZINAA YA KISIASA, ana HIV ya kisiasa, GONO la siasa, UTI SUGU ya kisiasa na magonjwa mengineUkiona hivyo anataka muungane naye ili awajue viongozi wa Gen Z ni akina nani awachome.
...na angekuwa amefanikiwa kulinda kura na hivyo uchaguzi ule 29 oct ungekuwa wa huru & haki hahhahahaaaaKwahy angeupata ubunge asingepigania haki π
Fucking idiotic twat.Zitto:Kura hata kuhesabiwa hazikuhesabiwa. Zilitangazwa tu. Tulijribu kulinda kura tukashindwa. Tumekiri. Ni muhimu tuungane pamoja kupigania haki za watu.
View attachment 3504158
Kuna member huko tweeter kamuuliza hata za Ado hazikuhesabiwa.Kwahy angeupata ubunge asingepigania haki π
Zitto ni kijambio cha masjid hakuna kitu hapo ni upumbavu tu na uanithi wa akiliZitto:Kura hata kuhesabiwa hazikuhesabiwa. Zilitangazwa tu. Tulijribu kulinda kura tukashindwa. Tumekiri. Ni muhimu tuungane pamoja kupigania haki za watu.
View attachment 3504158
π€£π€£π€£ ETI KURA HAZIKUHESABIWA. AACHE UCHOCHEZIZitto:Kura hata kuhesabiwa hazikuhesabiwa. Zilitangazwa tu. Tulijribu kulinda kura tukashindwa. Tumekiri. Ni muhimu tuungane pamoja kupigania haki za watu.
View attachment 3504158
You will never change, na we will never trust you again, ukipewa tu hapo vijisent unaweza kutuuza kwenye maridhiano hewa, we pambana na chama chako,na maswahiba wako ccm. mambo ya kupigania haki waachie kina LissuZitto:Kura hata kuhesabiwa hazikuhesabiwa. Zilitangazwa tu. Tulijribu kulinda kura tukashindwa. Tumekiri. Ni muhimu tuungane pamoja kupigania haki za watu.
View attachment 3504158
π πππUliambiwa kitakacholinda kura ni sheria siyo kuning'iniza kende kituoni.
Mwisho kutuacha na jibu muhuni sana weweππZitto alifukuzwa chadema na mbowe; kati ya Zitto na mbowe nani aliye mkweli? Au wote ni ndumilakuwili!