PostGE2025 Zitto Kabwe: Tunakiri tulishindwa kulinda kura, sasa tuungane kupigania Haki

PostGE2025 Zitto Kabwe: Tunakiri tulishindwa kulinda kura, sasa tuungane kupigania Haki

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Zitto yeye huwa anasoma upepo tu halafu baadae anawageuka. Chadema hawakukosea kumfukuza chamani. Ni mwanasiasa asiye mkweli.
Zitto alifukuzwa chadema na mbowe; kati ya Zitto na mbowe nani aliye mkweli? Au wote ni ndumilakuwili!
 
Mpuuzi huyo Zito ajiunge na vile vyama 17 vilivyokubali kushiriki huo uchafu. Ameona watu wameandamana, sasa anajirudisha ili aonekane na yeye yuko sehemu ya mabadiliko. Anajua hiki kilichoendelea kitawafaidisha cdm, sasa anataka muungano ili avujishe siri za kambi.
 
Back
Top Bottom