Huyu anatumika vibaya, Watanzania wa leo siyo wa jana. Tunajua kupambanua mambo, heri huyo anayemwita fisadi huku yaliyofanyika yanaonekana, hawezi zungumzia awamu ya nne wala ya sita kwa sababu ndiyo wanaofadhiri proganda zake ili kutusahaurisha uovu wao, Mimi binafsi sidanganyiki na hawa walamba asali.Huu ufisadi wa Magufuli ndio unamuuma sana Zitto zaidi ya ule wa Escrow, EPA nk
Huyu mmoja alikuwa anaiba huku anajiita mzalendo ili kutudanganya, yule mwingine alikuwa anaiba kimya kimya, hawa kwangu wote ni wezi tu.
Najua Zitto anashindwa kumlaumu mmoja kwasababu aliwahi kusema huyo alikuwa ni sawa na baba yake, anamfichia aibu.
Anajua kulalamika kama vile ni mzalendo wa kweli, kumbe akiambia habari za Katiba Mpya naye hataki kuzisikia, maana yake huyu mnafiki anataka tuendelee kuibiwa na marafiki zake ili nae agaiwe, ila tukiibiwa na wale wasio rafiki zake ndio anaumia.
Kuendelea kumshangilia huyu tapeli na hizi kelele zake za kila siku kwa Magufuli ni kujidumaza akili tu, anawazubaisha wajinga.
Kiongozi wa hao wajinga huyu hapa.Njooni huku walinda legacy@yehodaya Crimea Suzy Elias Nyankurungu2020 Wakudadavuwa johnthebaptist Mudawote Nyani Ngabu et al
Marehemu anasulubiwa
...na vijana tungelipiwa mahari !Hii nchi bila upigaji barabara zote za vijijini zingekua na lami. Tiba ya cancer kila mkoa, kila kata ingekua na affordable homes to rent. Unapata one bedroom flat kwa laki moja. Mishahara ya kima cha chini kuanzia laki sita. Tatizo la maji lisinge kuwepo.
Hii sasa ni agenda yako...na vijana tungelipiwa mahari !
Umesahau ya Libya ,kama Hela zipo why not!Hii sasa ni agenda yako
Mahari unalipa mwenyewe ndiyo unaijua thamani ya mke wako.Umesahau ya Libya ,kama Hela zipo why not!
Yote ni mifumo tu ..na kupanga ni kychaguaMahari unalipa mwenyewe ndiyo unaijua thamani ya mke wako.
Mambo mazuri sana haya.Hii nchi bila upigaji barabara zote za vijijini zingekua na lami. Tiba ya cancer kila mkoa, kila kata ingekua na affordable homes to rent. Unapata one bedroom flat kwa laki moja. Mishahara ya kima cha chini kuanzia laki sita. Tatizo la maji lisinge kuwepo.
Kwanza kabisa kunahitajika utawala wa haki na sheria ambao msingi wake ni Katiba ambayo kila anaevunja sheria anawajibishwa.Mambo mazuri sana haya.
Sasa tufanyeje mkuu 'Sky Eclat.' ili tuyapate haya!
Naona sasa "kula ni kwa urefu wa kamba", wengine wanasema wapo wanaokula "free range", hakuna kamba yoyote inayowazuia kula.
Zitto ni mdini sana na ni mnafiki aliyepitiliza chadema walifanya jambo jema kumtema mchawi huyu.Huu ufisadi wa Magufuli ndio unamuuma sana Zitto zaidi ya ule wa Escrow, EPA nk
Huyu mmoja alikuwa anaiba huku anajiita mzalendo ili kutudanganya, yule mwingine alikuwa anaiba kimya kimya, hawa kwangu wote ni wezi tu.
Najua Zitto anashindwa kumlaumu yule mmoja kwasababu aliwahi kusema huyo alikuwa ni sawa na baba yake, anamfichia aibu.
Anajua kulalamika kama vile ni mzalendo wa kweli, kumbe akiambiwa habari za Katiba Mpya naye hataki kuzisikia. Maana yake huyu mnafiki anataka tuendelee kuibiwa na marafiki zake ili nae agaiwe, ila tukiibiwa na wale wasio rafiki zake ndio anaumia.
Kuendelea kumshangilia huyu tapeli na hizi kelele zake za kila siku kwa Magufuli ni kujidumaza akili tu, anawazubaisha wajinga, na kwa ujinga wao wanazidi kumshangilia.
Mabomba yangetoa maziwa,sukari,mafuta ya kula na petrol tungepewa bure,bahari ingechimbwa mpaka kigoma bila kusahau kila kijana angejengewa nyumba upewe mtaji na kulipiwa mahari.Hii nchi bila upigaji barabara zote za vijijini zingekua na lami. Tiba ya cancer kila mkoa, kila kata ingekua na affordable homes to rent. Unapata one bedroom flat kwa laki moja. Mishahara ya kima cha chini kuanzia laki sita. Tatizo la maji lisinge kuwepo.
YEHODAYANjooni huku walinda legacy@yehodaya Crimea Suzy Elias Nyankurungu2020 Wakudadavuwa johnthebaptist Mudawote Nyani Ngabu et al
Marehemu anasulubiwa