Zitto Kabwe: Ubadhirifu wa 2020/21 ni mara mbili ya mwaka uliotangulia. Kulikuwa na ubadhirifu kwa jina la uzalendo

Hata kama Zito awe na matatizo gani, lakini anayoyasema dhidi ya utawala wa dikteta Magufuli ni sahihi.
 
Wewe bila shaka ni kipofu wa akili.

Ni nini cha pekee alichofanya Magufuli ambacho hakijawahi kufanyika huko nyuma?

Kama una akili na ufahamu na uwezo wa kufuatilia mambo, utagundua kuwa Magufuli alikuwa anaendesha siasa za uwongo kuwahadaa wajinga wamwone kuwa anafanya mambo makubwa sana ambayo hayajawahi kufanyika, wakati hakuna hata moja lililokuwa jipya.
 
Hata kama Zito awe na matatizo gani, lakini anayoyasema dhidi ya utawala wa dikteta Magufuli ni sahihi.
Wapi nimeandika anachosema Zitto dhidi ya Magufuli sio sahihi?

Nisome unielewe hasa paragraph ya pili.

Ukitoka hapo ndio uone unafiki wa huyo Zitto anapopigia kelele uwepo wa tatizo kila siku, lakini akiambiwa aungane na wanaotaka solution anawakimbia, mimi sio mjinga.
 
Nenda chato kafukue kabuli ulale pale pembeni upate haki yako, mjane mwenzio mama Janet kanenepeana baada ya kufiwa na mme wew unakondeana tu huku jf kwa kutetea ufisadi,upgaji risasi,utekaji,utesaji wa jiwe. R.I.P Ben saanane
 
Ni kweli kabisa Magufuli alikuwa na siasa za uongo:
• Alitudanganya amejenga flyovers
• Alitudanganya amejenga SGR
• Alitudanganya amehamishia serikali Dodoma
• Alitudanganya amejenga vituo vya afya na hospital za willaya na rufaa
• Alitudanganya amekarabati shule kongwe
• Alitudanganya elimu bure
• Alitudanganya kufufua shirika la ndege, reli, na kukarabati na kujenga reli mpya
• Alitudanganya anajenga na kupanua miundombinu ya barabara
• Alitudanganya anajenga bwawa la Mwl Nyerere
• Alitudanganya anapambana na rushwa, mafisadi, wauza madawa ya kulevya na uhakifu mwingine
• Name them

Ni kweli kabisa alitudanganya na aliendesha siasa za uongo na ulaghai.
 
Utawala wa maggufuli ulikuwa wa dikteta na kifisadi kabisa, halafu alikuwa na kipaji Cha kuwa-brain wash Hawa matahira,Walibakia kuimba uzalendo huku mwenzao na team yake kina mffugale wanakwiba
 
Nenda chato kafukue kabuli ulale pale pembeni upate haki yako, mjane mwenzio mama Janet kanenepeana baada ya kufiwa na mme wew unakondeana tu huku jf kwa kutetea ufisadi,upgaji risasi,utekaji,utesaji wa jiwe. R.I.P Ben saanane
Na wewe mjane wake umenenepa au umekonda?
 
Zitto naye alibanwa tu lakini ni mtu mchafu sn, awamu hii yupo kwenye system ajira ya miaka 9
 
Huko hatutafika na CCM
 
Awamu ya 5 hatutakaa tuisahau kwa ufisadi tangu tupate uhuru.
 
Wacha kuremba remba awamu ya 5 walikuwa wezi sana
 
Mambo mazuri sana haya.

Sasa tufanyeje mkuu 'Sky Eclat.' ili tuyapate haya!

Naona sasa "kula ni kwa urefu wa kamba", wengine wanasema wapo wanaokula "free range", hakuna kamba yoyote inayowazuia kula.
Kutesa kwa zamu maana zamu ya kina Sabaya na Makonda imekwisha sasa ni zamu yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…