Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Makala zake kule The Economist alikuwa anaficha jina wote sawa kea hilo, Lakini 'motive' tofauti.Mwezako anajulikana kwajina wewe unajificha unaogopa nn bwege kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makala zake kule The Economist alikuwa anaficha jina wote sawa kea hilo, Lakini 'motive' tofauti.Mwezako anajulikana kwajina wewe unajificha unaogopa nn bwege kweli
We jamaa kweli una njaa,unataka kuteuliwa?Haina ubishi kwamba kukamatwa kwa Erick Kabendera imekuwa pigo kubwa sana kwa Zitto Kabwe ambaye amekuwa akimtumia Erick kusambaza taarifa zake anazozitengeneza kwa lengo la kuishambulia Serikali ya Rais Magufuli kwenye vyombo vya habari vya Mwananchi Communication Ltd yaani Magazeti ya The Citizen na Mwananchi.
Baada ya Erick kukamatwa Zitto amepaniki na ndiye amekuwa mdomo wa Erick kuliko hata wazazi wake, waandishi wa habari wenzake na waajiri wake ambako amekuwa akiandikia habari zake.
Zitto anatumia mitandao ya Kijamii kila saa kupost kitu fulani ilimradi kuonesha Erick kashikwa kwa kuonewa na kuvidhalilisha vyombo vya dola vya Tanzania.
Yaani Mwananchi Communication wakiandaa ukurasa wa gazeti wanampa kwanza Zitto apost ndipo baadaye Watanzania wengine wanapata gazeti wasome. Mfano ni post yake ya leo tarehe 03 Agosti 2019 aliyoipost saa 6:33 usiku ikionesha ukurasa wa mbele wa gazeti la Citizen na kuweka picha ya Mama yake Erick ameshika tama na kuandikiwa anahuzunika na kuomba mwanae aachiwe.
Zitto ameshasahau kuwa juzi alipost habari iliyowahi kuandikwa na Erick miaka ya nyuma ikieleza kuwa Mama yake aliwahi kumuonya juu ya kuandika habari za kuishambulia Serikali.
Tuache hayo, ukweli ni kwamba Erick Kabendera amekuwa akitumiwa na Zitto kupika habari na kuichafua Serikali na kisha kuzisambaza kwenye vyombo vya habari vya kimataifa likiwemo jarida maarufu la The Economist na mengine.
Upo ushahidi wa hata fedha ambazo Zitto humlipa Erick kwa kazi hiyo na pia upo ushahidi wa vikao vya Zitto na Erick wakipanga namna ya kuidhohofisha Serikali. Nadhani ni suala la muda tu teknolojia itatoa msaada ili Watanzania wawajue vibaraka hawa wanaotumiwa na wazungu kudhohofisha Tanzania.
Wakati Watanzania kwa maelfu wakimiminika kwenye kila post ya Zitto Kabwe na kumshambulia kwa uchochezi anaoufanya wa kujaribu kuponda jitihada za Serikali, inashangaza kuona Zitto Kabwe aliyeshikilia bango kutaka Erick Kabendera aachiwe na Polisi ya Tanzania amekaa kimya juu ya Juliet Dorie Kulangwa ambaye anashikiliwa na Polisi ya Italia kwa tuhuma za kuhusika na dawa za kulevya.
Nadhani hapo kisu kimegusa mfupa.
Kampuni ya Mwananchi Communication ambao ndio wamiliki wa magazeti ya The Citizen na Mwananchi ambako Juliet ni mwandishi wao wamekaa kimya na kufunika habari hii licha ya Juliet kukamatwa takribani mwezi mzima uliopita. Zitto nae analijua jambo hili lakini kabana kimya.
Kwa hiyo kwake Zitto na washirika wake magazeti ya Mwananchi na The Citizen wanaona Polisi Tanzania ikimshikilia Erick Kabendera kwa tuhuma za kuhusika katika uvunjaji wa sheria NI KOSA lakini Polisi Italia ikimshikilia Juliet Dorie Kulangwa kwa kuvunja sheria NI SAWA (double standard) na wanakaa kimya kama vile hakuna mwandishi wa habari aliyepo rumande.
Na suala la Juliet kuhusika na uhalifu limekuwa linazungumzwa siku nyingi na vyombo vya Dola vya hapa nchini vilishaanza kufuatilia, amekwenda kukamatwa Italia. Kama ambavyo Erick Kabendera amekuwa na tuhuma za mashaka ya uraia na upotoshaji wa taarifa kwenye vyombo vya habari tangu siku nyingi hadi juzi kati alipotiwa mikononi mwa vyombo vya dola baada ya kukaidi amri ya kufika Polisi.
Hapa sasa ndio namkumbuka Rais Magufuli aliposema tupo katika vita kubwa na tunaowagusa hawafurahii, na watakuja na mbinu nyingi za kutaka kuturudisha nyuma. Watu hao ndio hawa hawa akina Zitto Kabwe na sasa Mungu anawaumbua.
Maana sasa Zitto aliyesifika kwa kuibua mambo mazito sasa amekuwa mwana udaku kama alivyokuwa Mange Kimambi ambaye baadaye kaona anamaliza nguvu zake bure.
Na gazeti la The Citizen na Mwananchi kama kweli nyie ni wanahabari wenye weledi chapisheni taarifa ya kushikwa kwa mwandishi wenu kule Italia.
Tunawajua sana jinsi wahariri wa magazeti haya wanavyotumiwa na vibaraka na wahalifu, ndio maana wamekuwa wakali dhidi ya Serikali ya Rais Magufuli iliyodhibiti mianya ya upigaji, madawa ya kulevya na vibaraka wanaotumiwa na wazungu kuhujumu nchi.
Mwananchi Communication acheni kumshurutisha Mama yake Kabendera ili aseme na nyie mpate Story. Mama huyo tunamfahamu hawezi kwenda kwenye chombo cha habari kuomba aandikiwe habari hiyo. Yeye alishatimiza jukumu lake la kumuonya mwanae juu ya miendo yake ya kuiandika vibaya Tanzania. Haya mengine mmeyasababisha nyie Mwananchi na Zitto wenu. Mmelikoroga na mjue kulinywa.
Bahati nzuri Serikali hii haibabaishwi na kelele za kina Zitto ndio maana kabaki anabwabwaja kama kuku anayetaka kutaga yai na hakuna mtu anayemjibu. Hata Cyprian Musiba sasa kaachana nae. Anguko baya sana hili.
Serikali gani duniani itamwacha mwandishi wa aina ya Erick Kabendera abaki anatamba kuichonganisha kwenye Jumuiya ya kimataifa na kuivuruga nchi kwa uandishi wa aina ile?
Waandishi wa Habari wakati mwingine mnajiweka pabaya nyinyi wenyewe ama kwa tamaa zenu ama kwa kutojielewa. Sasa Erick yupo ndani hao waliokuwa wanamtuma wakamtoe sasa.
JITAFAKARINI.
Kwa herini ndugu zangu.
_Makala hii imeandikwa na Mwandishi wa Habari, aliyewahi kufanya kazi Mwananchi Communication Ltd._
Ndiyo uzuri wa demokrasia inayotoweka. Una uhuru wa kutoa mawazo yako hata kama siyo sahii wala hayakubaliki.blix22
Nadhani umekosea kulitaja jina la huyo aliyekamatwa huko Italy,bila shaka mamlaka husika na hata serikali yetu, watakuwa wanalijuwa hilo na huenda wanafanya kazi kubwa kwa usiri ili kuwakamata woote wanaohusika na mtandao huo wa madawa ya kulevya.
Hayo ni maoni yangu tu.
Madawa ya kulevya tuyapige vita usiku na mchana,ni kitu mbaya kuliko Bomu la nuclear.
Haina ubishi kwamba kukamatwa kwa Erick Kabendera imekuwa pigo kubwa sana kwa Zitto Kabwe ambaye amekuwa akimtumia Erick kusambaza taarifa zake anazozitengeneza kwa lengo la kuishambulia Serikali ya Rais Magufuli kwenye vyombo vya habari vya Mwananchi Communication Ltd yaani Magazeti ya The Citizen na Mwananchi.
Baada ya Erick kukamatwa Zitto amepaniki na ndiye amekuwa mdomo wa Erick kuliko hata wazazi wake, waandishi wa habari wenzake na waajiri wake ambako amekuwa akiandikia habari zake.
Zitto anatumia mitandao ya Kijamii kila saa kupost kitu fulani ilimradi kuonesha Erick kashikwa kwa kuonewa na kuvidhalilisha vyombo vya dola vya Tanzania.
Yaani Mwananchi Communication wakiandaa ukurasa wa gazeti wanampa kwanza Zitto apost ndipo baadaye Watanzania wengine wanapata gazeti wasome. Mfano ni post yake ya leo tarehe 03 Agosti 2019 aliyoipost saa 6:33 usiku ikionesha ukurasa wa mbele wa gazeti la Citizen na kuweka picha ya Mama yake Erick ameshika tama na kuandikiwa anahuzunika na kuomba mwanae aachiwe.
Zitto ameshasahau kuwa juzi alipost habari iliyowahi kuandikwa na Erick miaka ya nyuma ikieleza kuwa Mama yake aliwahi kumuonya juu ya kuandika habari za kuishambulia Serikali.
Tuache hayo, ukweli ni kwamba Erick Kabendera amekuwa akitumiwa na Zitto kupika habari na kuichafua Serikali na kisha kuzisambaza kwenye vyombo vya habari vya kimataifa likiwemo jarida maarufu la The Economist na mengine.
Upo ushahidi wa hata fedha ambazo Zitto humlipa Erick kwa kazi hiyo na pia upo ushahidi wa vikao vya Zitto na Erick wakipanga namna ya kuidhohofisha Serikali. Nadhani ni suala la muda tu teknolojia itatoa msaada ili Watanzania wawajue vibaraka hawa wanaotumiwa na wazungu kudhohofisha Tanzania.
Wakati Watanzania kwa maelfu wakimiminika kwenye kila post ya Zitto Kabwe na kumshambulia kwa uchochezi anaoufanya wa kujaribu kuponda jitihada za Serikali, inashangaza kuona Zitto Kabwe aliyeshikilia bango kutaka Erick Kabendera aachiwe na Polisi ya Tanzania amekaa kimya juu ya Juliet Dorie Kulangwa ambaye anashikiliwa na Polisi ya Italia kwa tuhuma za kuhusika na dawa za kulevya.
Nadhani hapo kisu kimegusa mfupa.
Kampuni ya Mwananchi Communication ambao ndio wamiliki wa magazeti ya The Citizen na Mwananchi ambako Juliet ni mwandishi wao wamekaa kimya na kufunika habari hii licha ya Juliet kukamatwa takribani mwezi mzima uliopita. Zitto nae analijua jambo hili lakini kabana kimya.
Kwa hiyo kwake Zitto na washirika wake magazeti ya Mwananchi na The Citizen wanaona Polisi Tanzania ikimshikilia Erick Kabendera kwa tuhuma za kuhusika katika uvunjaji wa sheria NI KOSA lakini Polisi Italia ikimshikilia Juliet Dorie Kulangwa kwa kuvunja sheria NI SAWA (double standard) na wanakaa kimya kama vile hakuna mwandishi wa habari aliyepo rumande.
Na suala la Juliet kuhusika na uhalifu limekuwa linazungumzwa siku nyingi na vyombo vya Dola vya hapa nchini vilishaanza kufuatilia, amekwenda kukamatwa Italia. Kama ambavyo Erick Kabendera amekuwa na tuhuma za mashaka ya uraia na upotoshaji wa taarifa kwenye vyombo vya habari tangu siku nyingi hadi juzi kati alipotiwa mikononi mwa vyombo vya dola baada ya kukaidi amri ya kufika Polisi.
Hapa sasa ndio namkumbuka Rais Magufuli aliposema tupo katika vita kubwa na tunaowagusa hawafurahii, na watakuja na mbinu nyingi za kutaka kuturudisha nyuma. Watu hao ndio hawa hawa akina Zitto Kabwe na sasa Mungu anawaumbua.
Maana sasa Zitto aliyesifika kwa kuibua mambo mazito sasa amekuwa mwana udaku kama alivyokuwa Mange Kimambi ambaye baadaye kaona anamaliza nguvu zake bure.
Na gazeti la The Citizen na Mwananchi kama kweli nyie ni wanahabari wenye weledi chapisheni taarifa ya kushikwa kwa mwandishi wenu kule Italia.
Tunawajua sana jinsi wahariri wa magazeti haya wanavyotumiwa na vibaraka na wahalifu, ndio maana wamekuwa wakali dhidi ya Serikali ya Rais Magufuli iliyodhibiti mianya ya upigaji, madawa ya kulevya na vibaraka wanaotumiwa na wazungu kuhujumu nchi.
Mwananchi Communication acheni kumshurutisha Mama yake Kabendera ili aseme na nyie mpate Story. Mama huyo tunamfahamu hawezi kwenda kwenye chombo cha habari kuomba aandikiwe habari hiyo. Yeye alishatimiza jukumu lake la kumuonya mwanae juu ya miendo yake ya kuiandika vibaya Tanzania. Haya mengine mmeyasababisha nyie Mwananchi na Zitto wenu. Mmelikoroga na mjue kulinywa.
Bahati nzuri Serikali hii haibabaishwi na kelele za kina Zitto ndio maana kabaki anabwabwaja kama kuku anayetaka kutaga yai na hakuna mtu anayemjibu. Hata Cyprian Musiba sasa kaachana nae. Anguko baya sana hili.
Serikali gani duniani itamwacha mwandishi wa aina ya Erick Kabendera abaki anatamba kuichonganisha kwenye Jumuiya ya kimataifa na kuivuruga nchi kwa uandishi wa aina ile?
Waandishi wa Habari wakati mwingine mnajiweka pabaya nyinyi wenyewe ama kwa tamaa zenu ama kwa kutojielewa. Sasa Erick yupo ndani hao waliokuwa wanamtuma wakamtoe sasa.
JITAFAKARINI.
Kwa herini ndugu zangu.
_Makala hii imeandikwa na Mwandishi wa Habari, aliyewahi kufanya kazi Mwananchi Communication Ltd._
Shida ya maccm mkiambiwa ukweli mnasema mnachafuliwa. Hivi aliyeibua uchafu wa akina mikataba ya madini kusainiwa London (waziri Karamagi), tena hotelini si ni zitto huyu huyu na tukampongeza?? Iweje leo akikosoa maovu ya serikali ya sasa iwe nongwa???
Zitto endelea na kutupa mwangaza sisi ambao tuko nje ya ulingo wa siasa
Mkuu hua nakukubali ile mbaya kwa kuumbua wanafiki na wazandiki hapa bongo,big up guy
Hovyooooo!Haina ubishi kwamba kukamatwa kwa Erick Kabendera imekuwa pigo kubwa sana kwa Zitto Kabwe ambaye amekuwa akimtumia Erick kusambaza taarifa zake anazozitengeneza kwa lengo la kuishambulia Serikali ya Rais Magufuli kwenye vyombo vya habari vya Mwananchi Communication Ltd yaani Magazeti ya The Citizen na Mwananchi.
Baada ya Erick kukamatwa Zitto amepaniki na ndiye amekuwa mdomo wa Erick kuliko hata wazazi wake, waandishi wa habari wenzake na waajiri wake ambako amekuwa akiandikia habari zake.
Zitto anatumia mitandao ya Kijamii kila saa kupost kitu fulani ilimradi kuonesha Erick kashikwa kwa kuonewa na kuvidhalilisha vyombo vya dola vya Tanzania.
Yaani Mwananchi Communication wakiandaa ukurasa wa gazeti wanampa kwanza Zitto apost ndipo baadaye Watanzania wengine wanapata gazeti wasome. Mfano ni post yake ya leo tarehe 03 Agosti 2019 aliyoipost saa 6:33 usiku ikionesha ukurasa wa mbele wa gazeti la Citizen na kuweka picha ya Mama yake Erick ameshika tama na kuandikiwa anahuzunika na kuomba mwanae aachiwe.
Zitto ameshasahau kuwa juzi alipost habari iliyowahi kuandikwa na Erick miaka ya nyuma ikieleza kuwa Mama yake aliwahi kumuonya juu ya kuandika habari za kuishambulia Serikali.
Tuache hayo, ukweli ni kwamba Erick Kabendera amekuwa akitumiwa na Zitto kupika habari na kuichafua Serikali na kisha kuzisambaza kwenye vyombo vya habari vya kimataifa likiwemo jarida maarufu la The Economist na mengine.
Upo ushahidi wa hata fedha ambazo Zitto humlipa Erick kwa kazi hiyo na pia upo ushahidi wa vikao vya Zitto na Erick wakipanga namna ya kuidhohofisha Serikali. Nadhani ni suala la muda tu teknolojia itatoa msaada ili Watanzania wawajue vibaraka hawa wanaotumiwa na wazungu kudhohofisha Tanzania.
Wakati Watanzania kwa maelfu wakimiminika kwenye kila post ya Zitto Kabwe na kumshambulia kwa uchochezi anaoufanya wa kujaribu kuponda jitihada za Serikali, inashangaza kuona Zitto Kabwe aliyeshikilia bango kutaka Erick Kabendera aachiwe na Polisi ya Tanzania amekaa kimya juu ya Juliet Dorie Kulangwa ambaye anashikiliwa na Polisi ya Italia kwa tuhuma za kuhusika na dawa za kulevya.
Nadhani hapo kisu kimegusa mfupa.
Kampuni ya Mwananchi Communication ambao ndio wamiliki wa magazeti ya The Citizen na Mwananchi ambako Juliet ni mwandishi wao wamekaa kimya na kufunika habari hii licha ya Juliet kukamatwa takribani mwezi mzima uliopita. Zitto nae analijua jambo hili lakini kabana kimya.
Kwa hiyo kwake Zitto na washirika wake magazeti ya Mwananchi na The Citizen wanaona Polisi Tanzania ikimshikilia Erick Kabendera kwa tuhuma za kuhusika katika uvunjaji wa sheria NI KOSA lakini Polisi Italia ikimshikilia Juliet Dorie Kulangwa kwa kuvunja sheria NI SAWA (double standard) na wanakaa kimya kama vile hakuna mwandishi wa habari aliyepo rumande.
Na suala la Juliet kuhusika na uhalifu limekuwa linazungumzwa siku nyingi na vyombo vya Dola vya hapa nchini vilishaanza kufuatilia, amekwenda kukamatwa Italia. Kama ambavyo Erick Kabendera amekuwa na tuhuma za mashaka ya uraia na upotoshaji wa taarifa kwenye vyombo vya habari tangu siku nyingi hadi juzi kati alipotiwa mikononi mwa vyombo vya dola baada ya kukaidi amri ya kufika Polisi.
Hapa sasa ndio namkumbuka Rais Magufuli aliposema tupo katika vita kubwa na tunaowagusa hawafurahii, na watakuja na mbinu nyingi za kutaka kuturudisha nyuma. Watu hao ndio hawa hawa akina Zitto Kabwe na sasa Mungu anawaumbua.
Maana sasa Zitto aliyesifika kwa kuibua mambo mazito sasa amekuwa mwana udaku kama alivyokuwa Mange Kimambi ambaye baadaye kaona anamaliza nguvu zake bure.
Na gazeti la The Citizen na Mwananchi kama kweli nyie ni wanahabari wenye weledi chapisheni taarifa ya kushikwa kwa mwandishi wenu kule Italia.
Tunawajua sana jinsi wahariri wa magazeti haya wanavyotumiwa na vibaraka na wahalifu, ndio maana wamekuwa wakali dhidi ya Serikali ya Rais Magufuli iliyodhibiti mianya ya upigaji, madawa ya kulevya na vibaraka wanaotumiwa na wazungu kuhujumu nchi.
Mwananchi Communication acheni kumshurutisha Mama yake Kabendera ili aseme na nyie mpate Story. Mama huyo tunamfahamu hawezi kwenda kwenye chombo cha habari kuomba aandikiwe habari hiyo. Yeye alishatimiza jukumu lake la kumuonya mwanae juu ya miendo yake ya kuiandika vibaya Tanzania. Haya mengine mmeyasababisha nyie Mwananchi na Zitto wenu. Mmelikoroga na mjue kulinywa.
Bahati nzuri Serikali hii haibabaishwi na kelele za kina Zitto ndio maana kabaki anabwabwaja kama kuku anayetaka kutaga yai na hakuna mtu anayemjibu. Hata Cyprian Musiba sasa kaachana nae. Anguko baya sana hili.
Serikali gani duniani itamwacha mwandishi wa aina ya Erick Kabendera abaki anatamba kuichonganisha kwenye Jumuiya ya kimataifa na kuivuruga nchi kwa uandishi wa aina ile?
Waandishi wa Habari wakati mwingine mnajiweka pabaya nyinyi wenyewe ama kwa tamaa zenu ama kwa kutojielewa. Sasa Erick yupo ndani hao waliokuwa wanamtuma wakamtoe sasa.
JITAFAKARINI.
Kwa herini ndugu zangu.
_Makala hii imeandikwa na Mwandishi wa Habari, aliyewahi kufanya kazi Mwananchi Communication Ltd._
Kwani ni kosa kufanya siasa?, Kabendera amekamtwa kwa kufanya siasa?Mwandishi wa habari ni raia wa kawaida wa Tanzania, kama ana makosa ana kamatwa tu, mbona raia wengi tuna kamatwa na polisi nchini?,ni kawaida, cha msingi waende mahakamani wakajipange huko,tatizo kubwa naliona hapa waandishi wa habari wengi wamejiingiza kwenye siasa na uana harakati kama njia ya kutoka na kupata umaaufu ambao hauna maana hivyo kusahau maadili ya kazi yao, wakikamatwa wanasiasa wana kuja kuanza kuwa tetea na kutuaminisha kuwa wameonewa, ni mahakama pekee ndio inaweza thibitisha kuwa umeonewa au la.
Siasa sio kosa , kufanya siasa kwa mazingira ya uandishi wa habari hapo kuna shida maana utakuwa na upande , mbaya zaidi utaletewa habari za kisiasa una publish bila kujua madhara yake, kama ukiwa ni mfuasi wa chama fulani na ni mwandishi wa habari basi kuwa positive , kosoa serikali positively inapofanya makosa, na tuambie nini kifanyike ili mambo hayo yasijirudie, sio tu kuegemea kwenye negativity kila siku kila leo miaka yote , una mislead watu kwa maslahi yako binafsi huo ni ubinafsi kwa taifa, watu wengi tuna shindwa kuelewa kuwa nchi yetu ni hii, hata ukiandika mabaya kiasi gani hayana maana , tuweni muda mwingine positive kwa nchi yetu, at the end of the day sisi bado tutabaki kuwa watanzania .Kwani ni kosa kufanya siasa?, Kabendera amekamtwa kwa kufanya siasa?
hakuna sababu ya kumshililia kama si raia akiachiwa ataenda huko kwao na mchezo umeisha. SIONI SABABU YA KUMNYIMA DHMANA."Kwa sababu ni mwandishi wa BBC, anaongea na wazungu, basi akishikiliwa inakuwa ni habari kubwa sana, lakini mimi najua wanahabari wengi wanahojiwa, haiwi habari. Wenzetu wa Uhamiaji wameeleza vizuri sana kuwa wamekuwa wakimchunguza tangu 2013, na wamepata ushahidi si raia.
Kama wamepata ushahidi (kuwa si raia) wafanye nini, waache kwa kuwa jumuiya ya kimataifa itaongea? Hapana. Sisi ni Tanzania, na tutafanya maamuzi sisi."- Waziri wa Habari, Dk Mwakyembe kuhusu kushikiliwa kwa mwandishi wa habari, Erick Kabendera
Kwahyo ndivo mlivomtesa aseme kua alikua yeye.je unaamini hayoyote ndo msingi waushindi kwake mahakamani?Makala zake kule The Economist alikuwa anaficha jina wote sawa kea hilo, Lakini 'motive' tofauti.
Hawezi kuteuliwa kwani hanajina lake kamili hapaWe jamaa kweli una njaa,unataka kuteuliwa?
Kuikosoa serikali unakuwa umevunja sheria IPI?
Kwanini hoja za kabendera na gazeti la economist,hazijibiwi kwa hoja?badala yake zinajibiwa kwa mabavu?
Jenerali Ulimwengu,ambaye alishawahi kuwa mbunge,kuna kipindi awamu ya tatu ya Mkapa,alivuliwa Uraia,kisa kuokosoa Serikali.
Mwandishi wa habari Kabendera Shinani,alivuliwa uraia wake miaka ya 96,akajiua.
Mwanaharakati Eyakuze,aliikosoa serikali,akanyanganywa passport yake!
Huu ni mwendelezo tu,
Kila anayeikosoa serikali,utasikia Uhamiaji,wanasema walikuwa wanamchunguza