Zitto Kabwe unapompambania Erick Kabendera mkumbuke na Juliet Dorie Kulangwa anayeshikiliwa na Polisi Italia

Mleta UZI naifananisha akili yako na ya msiba (serious ) sina hakika kama hayo ulioyaongea yana ukweli but kwa muktadha wa mchango wangu, let's assume kwamba upo sahihi na ulio yasema nayo ni ya kweli. Wewe msiba ( may be ndio we mwenyewe msiba) hua mnashindwa kutofautisha UHAINI na demokrasia, nyie kwenu mnaamini hivi, yeyote anae mpinga mhe rais huyo ni muhaini, Pumba.vu kabisa. Hi ni nchi ya vyama vingi, haitakuja kutokea duniani kote kwenye nchi ambayo ina chama Zaidi ya kimoja utegemee uungwe mkono na chama pinzani, hilo halitakuja kutokea, ushamba wenu sometimes ndio unawafanya mfikirie hivyo. Nimesoma uzi wako lakini sijaona hasa unacho taka kukisema; ukimlaum Zitto eti kua msemaji Zaidi wa Kabendera kuliko mama yake, hivi hata hilo nalo unataka mtu kutoka mbinguni aje akueleweshe? Zitto ni mwana siasa tena Msomi na mtu mwenye ushawishi na anajua kujenga HOJA, sasa unataka mama yake ndio amsemee Kabendera kuliko hao watu wenye sifa hizo? Shule ulikwenda kusomea Ujinga!? Eti mama yake aliwahi kumuonya mwanae asiwe anaandika habari za kuikosoa serikali, so unadhani mzazi yeyote ( hasa mama ) kama kuna jambo baya limekukuta na alikua anakuonya mapema eti ataacha kusikitika katika yale yaliokupa tu kwasababu alikuonya mapema? Huyo labda mamamyako ndio anaweza kua na tabia za hivyo but sio mama wa wengine. Tumeona mara kadhaa hata majambazi yameuawa kwenye ujambazi wao but still mama nadada zake watalia kuwasikitikia, ijekua kwa mtu aliyekua anafanya kazi ambayo kikatiba imeruhusiwa? Binafsi hua ninapata mashaka sana kama na nyie wenzetu hua na nyie mna UBONGO kama wengine. Anyway, hebu twende taratibu sasa, Kabendera alizimiwa line yake ya simu kwanza, yaani simu yake ilipoteza mawasiliano, alipouliza Vodacom we all know alicho jibiwa, Kabendera akachukuliwa kwa mfumo wa kutekwa, police walikataa na karibu vituo vyote vilikana kumshikiria, baadae police wakasema, wanae Kabendera na tukaambiwa anapelelezwa kama sio raia, sijui wamethibitisha kwamba ni raia but now limetengezwa KOSA linguine na cyber crime na of course ndio hata wewe unajaribu kueleza hivyo hivyo, sasa kama that was the case then, UAHAMIAJI waliingiaje? Hili suala la Kabendera hata kama serikali inaweza kujiteteaje, shida ni timing yake ndio sio sawa. Wengine sisi ambao hatuna maslahi na yeyote hapa tunajikuta tunahusisha suala lake na kina askofu Kakobe, yule askofu wa kule Lulenge, Zitto, Jenerali Ulimwengu nk. Huwezi kusikia Dr Banna anatuhumiwa sio raia ingawa anatoka mkoa mmoja na Kabendera, wala huwezi kusikia waziri wa elimu na yule wa fedha wanatuhumiwa issue ya uraia ingawa nao wanatoka mkoa mmoja na Zitto, why? Jibu lake linajulikana
ATAKUWA YEYE ASEE!
Na hii ni kweli kabisa! 🤭😂
 
Siasa sio kosa , kufanya siasa kwa mazingira ya uandishi wa habari hapo kuna shida maana utakuwa na upande , mbaya zaidi utaletewa habari za kisiasa una publish bila kujua madhara yake, kama ukiwa ni mfuasi wa chama fulani na ni mwandishi wa habari basi kuwa positive , kosoa serikali positively inapofanya makosa, na tuambie nini kifanyike ili mambo hayo yasijirudie, sio tu kuegemea kwenye negativity kila siku kila leo miaka yote , una mislead watu kwa maslahi yako binafsi huo ni ubinafsi kwa taifa, watu wengi tuna shindwa kuelewa kuwa nchi yetu ni hii, hata ukiandika mabaya kiasi gani hayana maana , tuweni muda mwingine positive kwa nchi yetu, at the end of the day sisi bado tutabaki kuwa watanzania .
Mkuu kukosoa positively kukoje?.
 
Haina ubishi kwamba kukamatwa kwa Erick Kabendera imekuwa pigo kubwa sana kwa Zitto Kabwe ambaye amekuwa akimtumia Erick kusambaza taarifa zake anazozitengeneza kwa lengo la kuishambulia Serikali ya Rais Magufuli kwenye vyombo vya habari vya Mwananchi Communication Ltd yaani Magazeti ya The Citizen na Mwananchi.

Baada ya Erick kukamatwa Zitto amepaniki na ndiye amekuwa mdomo wa Erick kuliko hata wazazi wake, waandishi wa habari wenzake na waajiri wake ambako amekuwa akiandikia habari zake.

Zitto anatumia mitandao ya Kijamii kila saa kupost kitu fulani ilimradi kuonesha Erick kashikwa kwa kuonewa na kuvidhalilisha vyombo vya dola vya Tanzania.

Yaani Mwananchi Communication wakiandaa ukurasa wa gazeti wanampa kwanza Zitto apost ndipo baadaye Watanzania wengine wanapata gazeti wasome. Mfano ni post yake ya leo tarehe 03 Agosti 2019 aliyoipost saa 6:33 usiku ikionesha ukurasa wa mbele wa gazeti la Citizen na kuweka picha ya Mama yake Erick ameshika tama na kuandikiwa anahuzunika na kuomba mwanae aachiwe.

Zitto ameshasahau kuwa juzi alipost habari iliyowahi kuandikwa na Erick miaka ya nyuma ikieleza kuwa Mama yake aliwahi kumuonya juu ya kuandika habari za kuishambulia Serikali.

Tuache hayo, ukweli ni kwamba Erick Kabendera amekuwa akitumiwa na Zitto kupika habari na kuichafua Serikali na kisha kuzisambaza kwenye vyombo vya habari vya kimataifa likiwemo jarida maarufu la The Economist na mengine.

Upo ushahidi wa hata fedha ambazo Zitto humlipa Erick kwa kazi hiyo na pia upo ushahidi wa vikao vya Zitto na Erick wakipanga namna ya kuidhohofisha Serikali. Nadhani ni suala la muda tu teknolojia itatoa msaada ili Watanzania wawajue vibaraka hawa wanaotumiwa na wazungu kudhohofisha Tanzania.

Wakati Watanzania kwa maelfu wakimiminika kwenye kila post ya Zitto Kabwe na kumshambulia kwa uchochezi anaoufanya wa kujaribu kuponda jitihada za Serikali, inashangaza kuona Zitto Kabwe aliyeshikilia bango kutaka Erick Kabendera aachiwe na Polisi ya Tanzania amekaa kimya juu ya Juliet Dorie Kulangwa ambaye anashikiliwa na Polisi ya Italia kwa tuhuma za kuhusika na dawa za kulevya.

Nadhani hapo kisu kimegusa mfupa.

Kampuni ya Mwananchi Communication ambao ndio wamiliki wa magazeti ya The Citizen na Mwananchi ambako Juliet ni mwandishi wao wamekaa kimya na kufunika habari hii licha ya Juliet kukamatwa takribani mwezi mzima uliopita. Zitto nae analijua jambo hili lakini kabana kimya.

Kwa hiyo kwake Zitto na washirika wake magazeti ya Mwananchi na The Citizen wanaona Polisi Tanzania ikimshikilia Erick Kabendera kwa tuhuma za kuhusika katika uvunjaji wa sheria NI KOSA lakini Polisi Italia ikimshikilia Juliet Dorie Kulangwa kwa kuvunja sheria NI SAWA (double standard) na wanakaa kimya kama vile hakuna mwandishi wa habari aliyepo rumande.

Na suala la Juliet kuhusika na uhalifu limekuwa linazungumzwa siku nyingi na vyombo vya Dola vya hapa nchini vilishaanza kufuatilia, amekwenda kukamatwa Italia. Kama ambavyo Erick Kabendera amekuwa na tuhuma za mashaka ya uraia na upotoshaji wa taarifa kwenye vyombo vya habari tangu siku nyingi hadi juzi kati alipotiwa mikononi mwa vyombo vya dola baada ya kukaidi amri ya kufika Polisi.

Hapa sasa ndio namkumbuka Rais Magufuli aliposema tupo katika vita kubwa na tunaowagusa hawafurahii, na watakuja na mbinu nyingi za kutaka kuturudisha nyuma. Watu hao ndio hawa hawa akina Zitto Kabwe na sasa Mungu anawaumbua.

Maana sasa Zitto aliyesifika kwa kuibua mambo mazito sasa amekuwa mwana udaku kama alivyokuwa Mange Kimambi ambaye baadaye kaona anamaliza nguvu zake bure.

Na gazeti la The Citizen na Mwananchi kama kweli nyie ni wanahabari wenye weledi chapisheni taarifa ya kushikwa kwa mwandishi wenu kule Italia.

Tunawajua sana jinsi wahariri wa magazeti haya wanavyotumiwa na vibaraka na wahalifu, ndio maana wamekuwa wakali dhidi ya Serikali ya Rais Magufuli iliyodhibiti mianya ya upigaji, madawa ya kulevya na vibaraka wanaotumiwa na wazungu kuhujumu nchi.

Mwananchi Communication acheni kumshurutisha Mama yake Kabendera ili aseme na nyie mpate Story. Mama huyo tunamfahamu hawezi kwenda kwenye chombo cha habari kuomba aandikiwe habari hiyo. Yeye alishatimiza jukumu lake la kumuonya mwanae juu ya miendo yake ya kuiandika vibaya Tanzania. Haya mengine mmeyasababisha nyie Mwananchi na Zitto wenu. Mmelikoroga na mjue kulinywa.

Bahati nzuri Serikali hii haibabaishwi na kelele za kina Zitto ndio maana kabaki anabwabwaja kama kuku anayetaka kutaga yai na hakuna mtu anayemjibu. Hata Cyprian Musiba sasa kaachana nae. Anguko baya sana hili.

Serikali gani duniani itamwacha mwandishi wa aina ya Erick Kabendera abaki anatamba kuichonganisha kwenye Jumuiya ya kimataifa na kuivuruga nchi kwa uandishi wa aina ile?

Waandishi wa Habari wakati mwingine mnajiweka pabaya nyinyi wenyewe ama kwa tamaa zenu ama kwa kutojielewa. Sasa Erick yupo ndani hao waliokuwa wanamtuma wakamtoe sasa.

JITAFAKARINI.

Kwa herini ndugu zangu.

_Makala hii imeandikwa na Mwandishi wa Habari, aliyewahi kufanya kazi Mwananchi Communication Ltd._
Sawa.
 
Haitakusaidia, labda kwa mkate wa siku moja

"Kwa sababu ni mwandishi wa BBC, anaongea na wazungu, basi akishikiliwa inakuwa ni habari kubwa sana, lakini mimi najua wanahabari wengi wanahojiwa, haiwi habari. Wenzetu wa Uhamiaji wameeleza vizuri sana kuwa wamekuwa wakimchunguza tangu 2013, na wamepata ushahidi si raia.

Kama wamepata ushahidi (kuwa si raia) wafanye nini, waache kwa kuwa jumuiya ya kimataifa itaongea? Hapana. Sisi ni Tanzania, na tutafanya maamuzi sisi."- Waziri wa Habari, Dk Mwakyembe kuhusu kushikiliwa kwa mwandishi wa habari, Erick Kabendera
Du tangu mwaka 2013 anachunguzwa na alikuwa anadunda tu? Basi vyombo vyetu navyo inawezekana kuna sehemu wanafeli. Speed ya uchunguzi iongezwe
 
Wakati Watanzania kwa maelfu wakimiminika kwenye kila post ya Zitto Kabwe na kumshambulia kwa uchochezi anaoufanya wa kujaribu kuponda jitihada za Serikali, inashangaza kuona Zitto Kabwe aliyeshikilia bango kutaka Erick Kabendera aachiwe na Polisi ya Tanzania amekaa kimya juu ya Juliet Dorie Kulangwa ambaye anashikiliwa na Polisi ya Italia kwa tuhuma za kuhusika na dawa za kulevya.
Huyu dada angekamatwa Tanzania Zitto angesema kabambikiwa kwa sababu ya misinamo ya chombo.anachofanyia kazi
Ukiona mtu anafukuzwa mpaka na chadema,ujue huyo hata motoni sio.size yake.Zitto anajulikana kwa usaliti,undumilakuwili na usanii
 
Siyo kwa kujikomba huko

Sent from my HUAWEI VNS-L31 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kukosoa positively kukoje?.
Hivi kazi ya mwandishi wa habari ni kukosoa serikali? sasa tofauti ya mwandishi na vyama vya upinzani ni ipi?, tatizo kubwa kwetu watanzania vijana wote tumekuwa wanaharakati , uana harakati una effect ambazo ni ngumu kwetu
 
Hebu hainisha yale yote unayo perceive kuwa ni makosa ya Kabendera, yaweke hapo. Mahana mtu akiandika kuwa Magufuli hajuwi kiingereza kwenu ni kosa la kutosha kutoa uhai wake, wakati huo kwangu naona ni kawaida mtu aliye soma tz mpaka level yoyote kutokumaster lugha hiyo.
 
"Kwa sababu ni mwandishi wa BBC, anaongea na wazungu, basi akishikiliwa inakuwa ni habari kubwa sana, lakini mimi najua wanahabari wengi wanahojiwa, haiwi habari. Wenzetu wa Uhamiaji wameeleza vizuri sana kuwa wamekuwa wakimchunguza tangu 2013, na wamepata ushahidi si raia.

Kama wamepata ushahidi (kuwa si raia) wafanye nini, waache kwa kuwa jumuiya ya kimataifa itaongea? Hapana. Sisi ni Tanzania, na tutafanya maamuzi sisi."- Waziri wa Habari, Dk Mwakyembe kuhusu kushikiliwa kwa mwandishi wa habari, Erick Kabendera
Hamna kitu hapo ni unafiki tu, wageni wamejaa ktk nchi hii hadi wengine wanafanya kazi serikalini lkn hamna kitu.

Ila ikitokea tu yeyote akaonekana kukosoa au kuwa na mawazo kinzani basi automatically anachunguzwa uraia kama sio kutekwa ila ni vema mjue yoote haya yana mwisho kwa mujibu wa historia.
 
Nikajua umeandika kitu cha maana.
mnasema kabendera sio mtanzania basi mtafutueni nchi yake mumpeleke
 
Haina ubishi kwamba kukamatwa kwa Erick Kabendera imekuwa pigo kubwa sana kwa Zitto Kabwe ambaye amekuwa akimtumia Erick kusambaza taarifa zake anazozitengeneza kwa lengo la kuishambulia Serikali ya Rais Magufuli kwenye vyombo vya habari vya Mwananchi Communication Ltd yaani Magazeti ya The Citizen na Mwananchi.

Baada ya Erick kukamatwa Zitto amepaniki na ndiye amekuwa mdomo wa Erick kuliko hata wazazi wake, waandishi wa habari wenzake na waajiri wake ambako amekuwa akiandikia habari zake.

Zitto anatumia mitandao ya Kijamii kila saa kupost kitu fulani ilimradi kuonesha Erick kashikwa kwa kuonewa na kuvidhalilisha vyombo vya dola vya Tanzania.

Yaani Mwananchi Communication wakiandaa ukurasa wa gazeti wanampa kwanza Zitto apost ndipo baadaye Watanzania wengine wanapata gazeti wasome. Mfano ni post yake ya leo tarehe 03 Agosti 2019 aliyoipost saa 6:33 usiku ikionesha ukurasa wa mbele wa gazeti la Citizen na kuweka picha ya Mama yake Erick ameshika tama na kuandikiwa anahuzunika na kuomba mwanae aachiwe.

Zitto ameshasahau kuwa juzi alipost habari iliyowahi kuandikwa na Erick miaka ya nyuma ikieleza kuwa Mama yake aliwahi kumuonya juu ya kuandika habari za kuishambulia Serikali.

Tuache hayo, ukweli ni kwamba Erick Kabendera amekuwa akitumiwa na Zitto kupika habari na kuichafua Serikali na kisha kuzisambaza kwenye vyombo vya habari vya kimataifa likiwemo jarida maarufu la The Economist na mengine.

Upo ushahidi wa hata fedha ambazo Zitto humlipa Erick kwa kazi hiyo na pia upo ushahidi wa vikao vya Zitto na Erick wakipanga namna ya kuidhohofisha Serikali. Nadhani ni suala la muda tu teknolojia itatoa msaada ili Watanzania wawajue vibaraka hawa wanaotumiwa na wazungu kudhohofisha Tanzania.

Wakati Watanzania kwa maelfu wakimiminika kwenye kila post ya Zitto Kabwe na kumshambulia kwa uchochezi anaoufanya wa kujaribu kuponda jitihada za Serikali, inashangaza kuona Zitto Kabwe aliyeshikilia bango kutaka Erick Kabendera aachiwe na Polisi ya Tanzania amekaa kimya juu ya Juliet Dorie Kulangwa ambaye anashikiliwa na Polisi ya Italia kwa tuhuma za kuhusika na dawa za kulevya.

Nadhani hapo kisu kimegusa mfupa.

Kampuni ya Mwananchi Communication ambao ndio wamiliki wa magazeti ya The Citizen na Mwananchi ambako Juliet ni mwandishi wao wamekaa kimya na kufunika habari hii licha ya Juliet kukamatwa takribani mwezi mzima uliopita. Zitto nae analijua jambo hili lakini kabana kimya.

Kwa hiyo kwake Zitto na washirika wake magazeti ya Mwananchi na The Citizen wanaona Polisi Tanzania ikimshikilia Erick Kabendera kwa tuhuma za kuhusika katika uvunjaji wa sheria NI KOSA lakini Polisi Italia ikimshikilia Juliet Dorie Kulangwa kwa kuvunja sheria NI SAWA (double standard) na wanakaa kimya kama vile hakuna mwandishi wa habari aliyepo rumande.

Na suala la Juliet kuhusika na uhalifu limekuwa linazungumzwa siku nyingi na vyombo vya Dola vya hapa nchini vilishaanza kufuatilia, amekwenda kukamatwa Italia. Kama ambavyo Erick Kabendera amekuwa na tuhuma za mashaka ya uraia na upotoshaji wa taarifa kwenye vyombo vya habari tangu siku nyingi hadi juzi kati alipotiwa mikononi mwa vyombo vya dola baada ya kukaidi amri ya kufika Polisi.

Hapa sasa ndio namkumbuka Rais Magufuli aliposema tupo katika vita kubwa na tunaowagusa hawafurahii, na watakuja na mbinu nyingi za kutaka kuturudisha nyuma. Watu hao ndio hawa hawa akina Zitto Kabwe na sasa Mungu anawaumbua.

Maana sasa Zitto aliyesifika kwa kuibua mambo mazito sasa amekuwa mwana udaku kama alivyokuwa Mange Kimambi ambaye baadaye kaona anamaliza nguvu zake bure.

Na gazeti la The Citizen na Mwananchi kama kweli nyie ni wanahabari wenye weledi chapisheni taarifa ya kushikwa kwa mwandishi wenu kule Italia.

Tunawajua sana jinsi wahariri wa magazeti haya wanavyotumiwa na vibaraka na wahalifu, ndio maana wamekuwa wakali dhidi ya Serikali ya Rais Magufuli iliyodhibiti mianya ya upigaji, madawa ya kulevya na vibaraka wanaotumiwa na wazungu kuhujumu nchi.

Mwananchi Communication acheni kumshurutisha Mama yake Kabendera ili aseme na nyie mpate Story. Mama huyo tunamfahamu hawezi kwenda kwenye chombo cha habari kuomba aandikiwe habari hiyo. Yeye alishatimiza jukumu lake la kumuonya mwanae juu ya miendo yake ya kuiandika vibaya Tanzania. Haya mengine mmeyasababisha nyie Mwananchi na Zitto wenu. Mmelikoroga na mjue kulinywa.

Bahati nzuri Serikali hii haibabaishwi na kelele za kina Zitto ndio maana kabaki anabwabwaja kama kuku anayetaka kutaga yai na hakuna mtu anayemjibu. Hata Cyprian Musiba sasa kaachana nae. Anguko baya sana hili.

Serikali gani duniani itamwacha mwandishi wa aina ya Erick Kabendera abaki anatamba kuichonganisha kwenye Jumuiya ya kimataifa na kuivuruga nchi kwa uandishi wa aina ile?

Waandishi wa Habari wakati mwingine mnajiweka pabaya nyinyi wenyewe ama kwa tamaa zenu ama kwa kutojielewa. Sasa Erick yupo ndani hao waliokuwa wanamtuma wakamtoe sasa.

JITAFAKARINI.

Kwa herini ndugu zangu.

_Makala hii imeandikwa na Mwandishi wa Habari, aliyewahi kufanya kazi Mwananchi Communication Ltd._
Tuwekee makala moja tuu ya Kabendera tuweze kujitafakurisha
 
Hivi kazi ya mwandishi wa habari ni kukosoa serikali? sasa tofauti ya mwandishi na vyama vya upinzani ni ipi?, tatizo kubwa kwetu watanzania vijana wote tumekuwa wanaharakati , uana harakati una effect ambazo ni ngumu kwetu
Ndio kazi yamwandishi wahabari nikukosoa lolote lile ndani yajamii au serikalini nakueleza mazuri pia.serikali lenu lijitahidi kua vumilivu
 
Hivi ni ulozi au bangi au ugonjwa wa akili?? Kwahiyo Eric amekamatwa kwa kosa la madawa ya kulevya?? Hebu achana na Juliet na madawa ya kulevya na basi tuambie wewe kwanini Eric amekamatwa na ni kwa kosa lipi...??
 
Back
Top Bottom