Zitto Kabwe unapompambania Erick Kabendera mkumbuke na Juliet Dorie Kulangwa anayeshikiliwa na Polisi Italia

ATAKUWA YEYE ASEE!
Na hii ni kweli kabisa! 🤭😂
 
Mkuu kukosoa positively kukoje?.
 
Sawa.
 
Haitakusaidia, labda kwa mkate wa siku moja
 
Du tangu mwaka 2013 anachunguzwa na alikuwa anadunda tu? Basi vyombo vyetu navyo inawezekana kuna sehemu wanafeli. Speed ya uchunguzi iongezwe
 
Huyu dada angekamatwa Tanzania Zitto angesema kabambikiwa kwa sababu ya misinamo ya chombo.anachofanyia kazi
Ukiona mtu anafukuzwa mpaka na chadema,ujue huyo hata motoni sio.size yake.Zitto anajulikana kwa usaliti,undumilakuwili na usanii
 
Siyo kwa kujikomba huko
Your browser is not able to display this video.

Sent from my HUAWEI VNS-L31 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kukosoa positively kukoje?.
Hivi kazi ya mwandishi wa habari ni kukosoa serikali? sasa tofauti ya mwandishi na vyama vya upinzani ni ipi?, tatizo kubwa kwetu watanzania vijana wote tumekuwa wanaharakati , uana harakati una effect ambazo ni ngumu kwetu
 
Hebu hainisha yale yote unayo perceive kuwa ni makosa ya Kabendera, yaweke hapo. Mahana mtu akiandika kuwa Magufuli hajuwi kiingereza kwenu ni kosa la kutosha kutoa uhai wake, wakati huo kwangu naona ni kawaida mtu aliye soma tz mpaka level yoyote kutokumaster lugha hiyo.
 
Hamna kitu hapo ni unafiki tu, wageni wamejaa ktk nchi hii hadi wengine wanafanya kazi serikalini lkn hamna kitu.

Ila ikitokea tu yeyote akaonekana kukosoa au kuwa na mawazo kinzani basi automatically anachunguzwa uraia kama sio kutekwa ila ni vema mjue yoote haya yana mwisho kwa mujibu wa historia.
 
Nikajua umeandika kitu cha maana.
mnasema kabendera sio mtanzania basi mtafutueni nchi yake mumpeleke
 
Tuwekee makala moja tuu ya Kabendera tuweze kujitafakurisha
 
Hivi kazi ya mwandishi wa habari ni kukosoa serikali? sasa tofauti ya mwandishi na vyama vya upinzani ni ipi?, tatizo kubwa kwetu watanzania vijana wote tumekuwa wanaharakati , uana harakati una effect ambazo ni ngumu kwetu
Ndio kazi yamwandishi wahabari nikukosoa lolote lile ndani yajamii au serikalini nakueleza mazuri pia.serikali lenu lijitahidi kua vumilivu
 
Hivi ni ulozi au bangi au ugonjwa wa akili?? Kwahiyo Eric amekamatwa kwa kosa la madawa ya kulevya?? Hebu achana na Juliet na madawa ya kulevya na basi tuambie wewe kwanini Eric amekamatwa na ni kwa kosa lipi...??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…