ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Zito ameshamuelezea vizuri hapo Juu au google taarifa zakemwakangale ndo nani?
zitto ndo nani?Zito ameshamuelezea vizuri hapo Juu au google taarifa zake
Ahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!'''''''' jina lenyewe kama la mganga!!Unafikiri familia zingine zinahitaji majina yao zitumike...
Wapeni hela tu
Ova
Serikali haigawi hela,legacy kutambulika ni muhimu zaidi Kwa vizazi vya hizo familiaUnafikiri familia zingine zinahitaji majina yao zitumike...
Wapeni hela tu
Ova
Hiyo familia inahitaji helaSerikali haigawi hela,legacy kutambulika ni muhimu zaidi Kwa vizazi vya hizo familia
🚮🚮Uwanja upewe jina la Mheshimiwa Shein
🚮🚮Hiyo familia inahitaji hela
Siyo legacy
Oca
Wanatumia jina kwa kupata sifa tu....huku wenye jina hilo hawanufaiki kwa lolote
Una uhakika?Zitto alituambia DP world ni muhimu sana saizi pale bandarini hata mishahara ni tatizo zitto ni dalali wa kisiasa
Ayatollah ana bills za kulipa. Hana muda na kuhangaika na wanyongeZitto alituambia DP world ni muhimu sana saizi pale bandarini hata mishahara ni tatizo zitto ni dalali wa kisiasa
Huyu dingi lazima ataeleza jinsi Kleist Sykes alivyomsaidia Mwakangale.
Nyie Machadema mnaweza Jenga ofisi yenu mkaita hivyoWakiweza waite hata mwabukusi