Zitto Kabwe: Uwanja wa Ndege wa Songwe (Mbeya) Upewe Jina la John Mwakangale Ili Kuenzi Mchango wake Katika Mapambano ya Kudai Uhuru wa Tanganyika

Kuna wanasiasa walipigania uhuru wetu bega kwa bega na mwalimu wengine hata kabla ya Mwalimu hajaamza harakati hizo wao walikuwa mstari wa mbele hadi kufanya logistics za Mwalimu kusafiri na kufika UN kudai uhuru na ukapatikana.

Historia yetu imewaweka kando, hao nao wawe recognised.
 
Una matatizo ya akili sehemu.Taifa la Leo huyo bwana hakuchangia Kwa Kodi na jasho lake?
Bwana gani bwana yako? Kuna koo na familia mnaziumiza kwa kujipa majina project za nchi kiasi kwamba mnataka muonekane nyie na koo zenu kuwa ndo wenye akili kuliko koo nyingine.Kwanza ni mambo ya kizamani na yamepitwa na wakati
 
Kuna wanasiasa walipigania uhuru wetu bega kwa bega na mwalimu wengine hata kabla ya Mwalimu hajaamza harakati hizo wao walikuwa mstari wa mbele hadi kufanya logistics za Mwalimu kusafiri na kufika UN kudai uhuru na ukapatikana.

Historia yetu imewaweka kando, hao nao wawe recognised.
Hao ndio inatakiwa historia iwatambue na Kuenzi japo Kwa Majina Yao.
 
Bwana gani bwana yako? Kuna koo na familia mnaziumiza kwa kujipa majina project za nchi kiasi kwamba mnataka muonekane nyie na koo zenu kuwa ndo wenye akili kuliko koo nyingine.Kwanza ni mambo ya kizamani na yamepitwa na wakati
Koo tajwa hapo Juu umewahi isikia popote ukiacha uwanja wa 8/8 Uyole Mbeya?
 
Back
Top Bottom