Bwana gani bwana yako? Kuna koo na familia mnaziumiza kwa kujipa majina project za nchi kiasi kwamba mnataka muonekane nyie na koo zenu kuwa ndo wenye akili kuliko koo nyingine.Kwanza ni mambo ya kizamani na yamepitwa na wakatiUna matatizo ya akili sehemu.Taifa la Leo huyo bwana hakuchangia Kwa Kodi na jasho lake?
Hao ndio inatakiwa historia iwatambue na Kuenzi japo Kwa Majina Yao.Kuna wanasiasa walipigania uhuru wetu bega kwa bega na mwalimu wengine hata kabla ya Mwalimu hajaamza harakati hizo wao walikuwa mstari wa mbele hadi kufanya logistics za Mwalimu kusafiri na kufika UN kudai uhuru na ukapatikana.
Historia yetu imewaweka kando, hao nao wawe recognised.
Koo tajwa hapo Juu umewahi isikia popote ukiacha uwanja wa 8/8 Uyole Mbeya?Bwana gani bwana yako? Kuna koo na familia mnaziumiza kwa kujipa majina project za nchi kiasi kwamba mnataka muonekane nyie na koo zenu kuwa ndo wenye akili kuliko koo nyingine.Kwanza ni mambo ya kizamani na yamepitwa na wakati
Kuna uwanja wa ndege wa Kimataifa inajengwa Pemba ndio utaitwa SheinShein International airport
Hata kwa hilo mnataka kumsumbua Mzee?
Kuna ubaya ikawa miwili? Bara na Visiwani?Kuna uwanja wa ndege wa Kimataifa inajengwa Pemba ndio utaitwa Shein
Mmoja wa viongozi maarufu barani Afrika!z
zitto ndo nani?
Ndio ubaya upo maana hakuna uwanja wowote wa ndege Huwa unatumia Majina 2 yanayofanana tena kwenye Nchi Moja.Kuna ubaya ikawa miwili? Bara na Visiwani?
Hata huyo mtu ni WA eneo husika na mwenye heshima kubwa Mkoa wa Mbeya uliko uwanja.Miundombinu ingeendelea baki na majina ya eneo husika badala ya watu
Nchi moja nii ipi?Ndio ubaya upo maana hakuna uwanja wowote wa ndege Huwa unatumia Majina 2 yanayofanana tena kwenye Nchi Moja.
Ulipata ngapi civics?Nchi moja nii ipi?
Ngumbaru sikusomaUlipata ngapi civics?
Sihitaji kujiywisha ujinga wako,Elimu Haina mwisho Rudi kusomaNgumbaru sikusoma
Ili nipate nn?Sihitaji kujiywisha ujinga wako,Elimu Haina mwisho Rudi kusoma
Upate jibu la swali uliloniulizaIli nipate nn?
Samia ameitwa vitu vingi sana Hadi Sasa ikiwemo uwanja Mpya wa soka wa ArushaWauite Samia international airpot kutuheshimisha sie machawa wa mama kwa kazi kubwa tunayoifanya