Zitto Kabwe: Vitabu nilivyosoma Mwaka 2022

Mwaka huu unaomalizika 2022 nimebahatika kusoma vitabu mbalimbali 33 (2021:29, 2020:16, 2019:34). Ulikuwa mwaka mzuri kwa usomaji vitabu na pia mwaka ambao nilibahatika kupata zawadi nyingi za vitabu kutoka kwa marafiki zangu na ndugu zangu.

Heri ya mwaka mpya 2023

23/12/2022
Hongera sana
Merry Christmas and Prosperous New Year.
P
 
Mwaka huu unaomalizika 2022 nimebahatika kusoma vitabu mbalimbali 33 (2021:29, 2020:16, 2019:34). Ulikuwa mwaka mzuri kwa usomaji vitabu na pia mwaka ambao nilibahatika kupata zawadi nyingi za vitabu kutoka kwa marafiki zangu na ndugu zangu.

Nitaanza mwaka 2023, Mungu akijaalia kuvuka salama, nikiwa na karibu dazeni ya vitabu ambavyo sijasoma. Kama nilivyofanya mwaka jana, kutoka orodha ya mwaka huu nimeshatoa orodha ya vitabu 10 ninavyopendekeza watu kuvisoma mwaka ujao kama hawajavisoma.

Vitabu nilivyosoma mwaka huu kwa makundi mbalimbali ni kama ifuatavyo;

Riwaya
  • Magic of Saida – MG Vassanji
  • I am Semba – Ajeka&Fox
  • The Book of Secrets – MG Vassanji
  • The House of Rust – Khadija Abdallah Bajaber
  • Mtumwa kwenye Nchi Huru – Elizabeth Mramba
  • A Line In The River: Khartoum City of Memory – Jamal Mahjoub
  • We are all Birds of Uganda – Hafsa Zayyan
  • The In-Between World of Vikram Lall – MG Vassanji
  • Next In Line – Jeffrey Archer
  • Tea with Ms. Tanzania – Fayyaz Vellani
  • The Shadow King – Maaza Mengiste
Wasifu/Tawasifu
  • The Chancellor: The Remarkable Odyssey of Angela Merkel – Kati Marton
  • Njinga of Angola: Africa’s Warrior Queen – Linda M. Heywood
  • The Prime Ministers We Never Had: Success and Failure from Butler to Corbyn – Steve Richards
  • 38 Reflections on Mwalimu Nyerere – Ed. Mark Mwandosya and Juma V Mwapachu
  • Hani: A life too short – Janet Smith and Beauregard Tromp
  • Juhudi na Changamoto – Sheikh Ponda Issa Ponda
  • The Bhutto Dynasty: The Struggle for Power in Pakistan – Owen Bennett-Jones
  • Maisha Yangu – Khamis Abdallah Ameir
  • Revolution in Zanzibar: An American’s Cold War Tale – Don Petterson
  • The Tanganyika Way: A personal Story of Tanganyika’s Growth to Independence – Sophia Mustafa
Nchi ya mwaka, India
  • Indian Summer: The Secret History of the End of an Empire – Alex Von Tunzelm
  • Pride, Prejudice and Punditry: The Essential – Shashi Tharoor
  • Mamata Beyond 2021 – Jayanta Ghosal
  • The Rise of The BJP: The Making of the World’s Largest Political Party – Bhupender Yadav and Ila Patnak
  • India in a New Key: Nehru to Modi, 75 years of freedom and democracy – Narain D. Batra
Mchanganyiko
  • Time for Socialism – Thomas Piketty
  • Capturing Hope: The Struggle Continues for a New Malaysia – Mahathir Mohamed
  • Final Reckoning: An Insider’s View of the Fall of Malaysia’s Barisan Nasional Government – Romen Bose
  • The World for Sale: Money, Power and the Traders Who Barter the Earth’s Resources – Javier Blas and Jack Farchy
  • Sudan’s Unfinished Democracy: The Promise and Betrayal of a People Revolution – Willow Berridge, Justin Lynch, Raga Makawi and Alex De Waal
  • From Rebel to Ruler: One Hundred Years of the Chinese Communist Party – Tony Saich
  • Borderland: A Journey Through the History of Ukraine – Anna Reid
Heri ya mwaka mpya 2023

23/12/2022

ILANI: Kila mwaka, nikibahatika na kujaaliwa, huwa ninasafiri pamoja na familia yangu. Kwa muda sasa nchi ninayotembelea huchomoza kupitia vitabu nilivyosoma mwaka huo. Mwaka huu nimeamua kuweka kundi la Nchi ya Mwaka ili kuonyesha vitabu nilivyosoma kuhusu nchi husika. Mwaka 2022 ilikuwa India (Rwanda 2021).
Bora hata ungesoma Quran tukufu! Ungepata nafasi ya kuiponya nafsi yako! Umejaa unafiki,udini,ukabila na udanganyifu! Endelea kulamba asali ya Hangaya huna lolote!
 
Siku zote mti wenye matunda ndio hupigwa mawe , kama ulivyo kuwa unampiga mawe magufuli . hivyo ndivyo unapigwa mawe na wadau wa JF , cha kujifunza ni KUSONGA MBELE na mungu akusaidie nakupenda kiongozi uwe na siku njema
 
Mwaka huu unaomalizika 2022 nimebahatika kusoma vitabu mbalimbali 33 (2021:29, 2020:16, 2019:34). Ulikuwa mwaka mzuri kwa usomaji vitabu na pia mwaka ambao nilibahatika kupata zawadi nyingi za vitabu kutoka kwa marafiki zangu na ndugu zangu.

Nitaanza mwaka 2023, Mungu akijaalia kuvuka salama, nikiwa na karibu dazeni ya vitabu ambavyo sijasoma. Kama nilivyofanya mwaka jana, kutoka orodha ya mwaka huu nimeshatoa orodha ya vitabu 10 ninavyopendekeza watu kuvisoma mwaka ujao kama hawajavisoma.

Vitabu nilivyosoma mwaka huu kwa makundi mbalimbali ni kama ifuatavyo;

Riwaya
  • Magic of Saida – MG Vassanji
  • I am Semba – Ajeka&Fox
  • The Book of Secrets – MG Vassanji
  • The House of Rust – Khadija Abdallah Bajaber
  • Mtumwa kwenye Nchi Huru – Elizabeth Mramba
  • A Line In The River: Khartoum City of Memory – Jamal Mahjoub
  • We are all Birds of Uganda – Hafsa Zayyan
  • The In-Between World of Vikram Lall – MG Vassanji
  • Next In Line – Jeffrey Archer
  • Tea with Ms. Tanzania – Fayyaz Vellani
  • The Shadow King – Maaza Mengiste
Wasifu/Tawasifu
  • The Chancellor: The Remarkable Odyssey of Angela Merkel – Kati Marton
  • Njinga of Angola: Africa’s Warrior Queen – Linda M. Heywood
  • The Prime Ministers We Never Had: Success and Failure from Butler to Corbyn – Steve Richards
  • 38 Reflections on Mwalimu Nyerere – Ed. Mark Mwandosya and Juma V Mwapachu
  • Hani: A life too short – Janet Smith and Beauregard Tromp
  • Juhudi na Changamoto – Sheikh Ponda Issa Ponda
  • The Bhutto Dynasty: The Struggle for Power in Pakistan – Owen Bennett-Jones
  • Maisha Yangu – Khamis Abdallah Ameir
  • Revolution in Zanzibar: An American’s Cold War Tale – Don Petterson
  • The Tanganyika Way: A personal Story of Tanganyika’s Growth to Independence – Sophia Mustafa
Nchi ya mwaka, India
  • Indian Summer: The Secret History of the End of an Empire – Alex Von Tunzelm
  • Pride, Prejudice and Punditry: The Essential – Shashi Tharoor
  • Mamata Beyond 2021 – Jayanta Ghosal
  • The Rise of The BJP: The Making of the World’s Largest Political Party – Bhupender Yadav and Ila Patnak
  • India in a New Key: Nehru to Modi, 75 years of freedom and democracy – Narain D. Batra
Mchanganyiko
  • Time for Socialism – Thomas Piketty
  • Capturing Hope: The Struggle Continues for a New Malaysia – Mahathir Mohamed
  • Final Reckoning: An Insider’s View of the Fall of Malaysia’s Barisan Nasional Government – Romen Bose
  • The World for Sale: Money, Power and the Traders Who Barter the Earth’s Resources – Javier Blas and Jack Farchy
  • Sudan’s Unfinished Democracy: The Promise and Betrayal of a People Revolution – Willow Berridge, Justin Lynch, Raga Makawi and Alex De Waal
  • From Rebel to Ruler: One Hundred Years of the Chinese Communist Party – Tony Saich
  • Borderland: A Journey Through the History of Ukraine – Anna Reid
Heri ya mwaka mpya 2023

23/12/2022

ILANI: Kila mwaka, nikibahatika na kujaaliwa, huwa ninasafiri pamoja na familia yangu. Kwa muda sasa nchi ninayotembelea huchomoza kupitia vitabu nilivyosoma mwaka huo. Mwaka huu nimeamua kuweka kundi la Nchi ya Mwaka ili kuonyesha vitabu nilivyosoma kuhusu nchi husika. Mwaka 2022 ilikuwa India (Rwanda 2021).
Zitto umeona bwawa la Nyerere wape habari binge la ujeruman
 
Usije kumtafuta mchawi. Umejiua mwenyewe kisiasa. Nilidhani ww ni mtu mwenye akili na hekima. Ulipoanza kujipendekeza kwa viongozi wa juu, kuwasaliti wenzio, unafki, tamaa ya kujilimbikizia mali, kupenda sifa za kijinga nimekutoa maana. Ndio maana wana kigoma hawataki hata kukusikia. Wameona heri waichague CCM
 
Mwaka huu unaomalizika 2022 nimebahatika kusoma vitabu mbalimbali 33 (2021:29, 2020:16, 2019:34). Ulikuwa mwaka mzuri kwa usomaji vitabu na pia mwaka ambao nilibahatika kupata zawadi nyingi za vitabu kutoka kwa marafiki zangu na ndugu zangu.

Nitaanza mwaka 2023, Mungu akijaalia kuvuka salama, nikiwa na karibu dazeni ya vitabu ambavyo sijasoma. Kama nilivyofanya mwaka jana, kutoka orodha ya mwaka huu nimeshatoa orodha ya vitabu 10 ninavyopendekeza watu kuvisoma mwaka ujao kama hawajavisoma.

Vitabu nilivyosoma mwaka huu kwa makundi mbalimbali ni kama ifuatavyo;

Riwaya
  • Magic of Saida – MG Vassanji
  • I am Semba – Ajeka&Fox
  • The Book of Secrets – MG Vassanji
  • The House of Rust – Khadija Abdallah Bajaber
  • Mtumwa kwenye Nchi Huru – Elizabeth Mramba
  • A Line In The River: Khartoum City of Memory – Jamal Mahjoub
  • We are all Birds of Uganda – Hafsa Zayyan
  • The In-Between World of Vikram Lall – MG Vassanji
  • Next In Line – Jeffrey Archer
  • Tea with Ms. Tanzania – Fayyaz Vellani
  • The Shadow King – Maaza Mengiste
Wasifu/Tawasifu
  • The Chancellor: The Remarkable Odyssey of Angela Merkel – Kati Marton
  • Njinga of Angola: Africa’s Warrior Queen – Linda M. Heywood
  • The Prime Ministers We Never Had: Success and Failure from Butler to Corbyn – Steve Richards
  • 38 Reflections on Mwalimu Nyerere – Ed. Mark Mwandosya and Juma V Mwapachu
  • Hani: A life too short – Janet Smith and Beauregard Tromp
  • Juhudi na Changamoto – Sheikh Ponda Issa Ponda
  • The Bhutto Dynasty: The Struggle for Power in Pakistan – Owen Bennett-Jones
  • Maisha Yangu – Khamis Abdallah Ameir
  • Revolution in Zanzibar: An American’s Cold War Tale – Don Petterson
  • The Tanganyika Way: A personal Story of Tanganyika’s Growth to Independence – Sophia Mustafa
Nchi ya mwaka, India
  • Indian Summer: The Secret History of the End of an Empire – Alex Von Tunzelm
  • Pride, Prejudice and Punditry: The Essential – Shashi Tharoor
  • Mamata Beyond 2021 – Jayanta Ghosal
  • The Rise of The BJP: The Making of the World’s Largest Political Party – Bhupender Yadav and Ila Patnak
  • India in a New Key: Nehru to Modi, 75 years of freedom and democracy – Narain D. Batra
Mchanganyiko
  • Time for Socialism – Thomas Piketty
  • Capturing Hope: The Struggle Continues for a New Malaysia – Mahathir Mohamed
  • Final Reckoning: An Insider’s View of the Fall of Malaysia’s Barisan Nasional Government – Romen Bose
  • The World for Sale: Money, Power and the Traders Who Barter the Earth’s Resources – Javier Blas and Jack Farchy
  • Sudan’s Unfinished Democracy: The Promise and Betrayal of a People Revolution – Willow Berridge, Justin Lynch, Raga Makawi and Alex De Waal
  • From Rebel to Ruler: One Hundred Years of the Chinese Communist Party – Tony Saich
  • Borderland: A Journey Through the History of Ukraine – Anna Reid
Heri ya mwaka mpya 2023

23/12/2022

ILANI: Kila mwaka, nikibahatika na kujaaliwa, huwa ninasafiri pamoja na familia yangu. Kwa muda sasa nchi ninayotembelea huchomoza kupitia vitabu nilivyosoma mwaka huo. Mwaka huu nimeamua kuweka kundi la Nchi ya Mwaka ili kuonyesha vitabu nilivyosoma kuhusu nchi husika. Mwaka 2022 ilikuwa India (Rwanda 2021).
Hongera saana.

I wish .. Ningepata muda mwingi wa kusoma hivi.
 
Hivi vitabu vinakusaidiaga nininkama bado unakua goigoi na mnafiki,?
 
Comments zikusaidie kupata IMAGE yako Kwa JAMII Kwa sasa.

RUSHWA hupofusha ufahamu- The bible says.

Vitabu vingi havitasaidia kuua ugongwa wa RUSHWA.

Ukiaminiwa, tunza Imani.
 
Akili yako Ni ya kimavi mavi,busara yako ya kimavi mavi,Hata usome vitabu vyote duniani hutoweza kusaidia chochote hapa Tz Zaid ya ku wa mwanasiasa mchumia tumbo.Mavi wew
 
Siku Zitto akistaafu siasa ndipo upinzani utapata nguvu. Wenzako wameomba msusie chaguzi ili kuweka msisitizo kwa Tume Huru, mmewaona hawana maana. Ila CCM wamewasghulikia Tanga kwa kuzuia mawakala wenu siku ya uchaguzi ndio mkajitoa. Sasa mlishiriki ili iweje?

Wewe Ni mnafiki na msaliti mkubwa huna jipya.
 
Back
Top Bottom